×

Ruto: Mungu Amelikumbuka Taifa la Kenya

Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto.

Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto,  ameupokea uamuzi wa mahakama kwa furaha kubwa. Ameandika kwenye Twitter kwamba: “Halleluyah! Atukuzwe Mungu aliye mbinguni. Amelikumbuka taifa letu na kutupatia matumaini na mustakabali.”

Leave a Comment