×

Video: Pereira Ame Silima Achukua Fomu Ya Kugombea Urais Zanzibar

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Pereira Ame Silima, leo Juni 25, 2020 amechukua Fomu ya kuwania kuteuliwa na CCM kugombea Urais wa Zanzibar.

Piereira amekuwa Mbunge wa Chumbuni tangu mwaka 2010-2015. Pia ni Katibu wa Oganization CCM

Idadi ya wagombea wanaoomba kuteuliwa kugombea urais Zanzibar kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM wamefikia wagombea 27.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment