×

Mwenyekiti wa CCM na Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma.

Leave a Comment