×

Afya

Fahamu tatizo la mzio au allergy

Leo tutatungumzia tatizo la mzio au aleji. Ili kufahamu tatizo hilo na kujua jinsi ya kukabiliana nalo. Mzio au aleji...

READ MORE

Tiba ya chawa kichwani

Kwa mjini ni mara chache kusikia kuwa kuna mtu anasumbuliwa  na chawa kichwani, lakini kwa vijijini si kitu cha kushangaza...

READ MORE

Aina tatu za kiharusi (Stroke)

Baada ya kuona kinachosababisha kiharusi sasa tuone jinsi ugonjwa wa kiharusi ulivyogawanyika katika aina kuu mbili kulingana na jinsi kinavyotokea,...

READ MORE

UTI; gonjwa linalosumbua wanawake

Leo tutazungumzia kwa undani tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo,  ugonjwa unaowasumbua wanawake wengi na watoto,  kitaalamu huitwa Urinary...

READ MORE

Jinsi ya kupika wali wa maharage na nazi

Leo tunajifunza kupika wali na maharage ya nazi. MAHITAJI Mchele kilo moja Maharage nusu Mafuta ya kupikia Iliki pakiti moja...

READ MORE

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuwa mjamzito

UJAUZITO ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi...

READ MORE

Maumivu ya kiuno kwa wanawake

Kuna wanawake wengi ambao husumbuliwa na maumivu ya kiuno mara kwa mara hasa wakati wa hedhi na kisha kufifia, huugua...

READ MORE

Muwasho na kutokwa na majimaji ukeni (Vaginal Discharge)-2

Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia aina za magonjwa yanayohusiana na mwanamke kupata muwasho na kutokwa na majimaji ukeni. Wiki hii naendelea…...

READ MORE

Wanaosumbuliwa na mba, tiba hii hapa!

Kwenye makala zilizopita nimewahi kuandika urembo unaohusu kutibu mba wa kichwani kwa kutumia uwatu, limao nk. Kutokana na wasomaji kuendelea...

READ MORE

Siki ya tufaha hutibu harufu mwilini

WATU wengi wamekuwa wakinilalamikia kusumbuliwa na harufu mwilini, hii hapa ni tiba ya tatizo hilo, kwa wenye uwezo wanaweza kuitumia...

READ MORE

Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara kwa wanawake

Inaendelea kutoka wiki iliyopita Maambukizi nje ya kizazi humfanya mwanamke aumwe tumbo lote na kupata hali iitwayo ‘Perionitis’, hupata homa...

READ MORE

Muwasho na kutokwa majimaji ukeni (Vaginal Discharge)

Ni tatizo linalowapata zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa ingawa katika hali isiyo ya kawaida inaweza kuwatokea watoto ambao...

READ MORE

Fahamu Ugonjwa wa Zika na dalili zake-2

Baada ya wiki iliyopita kueleza ugonjwa huu wa Zika unaambukizwaje na kufafanua dalili zake, leo tutajikita kuelimisha kuhusu tiba na...

READ MORE

Kitunguu Swaumu, Mafuta ya Mzaituni kwa kutibu sikio

Wiki hii utaelekezwa namna unavyoweza kutibu sikio kwa kutengeneza dawa nyumbani kwako ambayo ni mafuta ya mzaituni na kitunguu swaumu....

READ MORE

Chanzo cha kiharusi (Stroke)

Kiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au kunapotokea kizuizi cha damu...

READ MORE

Ugonjwa sugu wa figo (Chronic Kidney Disease)-2

UGONJWA WA FIGO HUSABABISHA KISUKARI Leo tunaendelea kuelezea ugonjwa sugu wa figo kwa kuanzia na jinsi unavyosababisha matatizo ya kisukari....

READ MORE

Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara kwa wanawake

WANAWAKE wanaosumbuliwa na maumivu ya tumbo chini ya kitovu mara kwa mara hupata athari nyingi baadaye endapo kama hawatagundua chanzo...

READ MORE

Matatizo ya Uzazi Kwa Wanaume “Male Infertility”-2

Leo naendelea kuelezea matatizo ya uzazi kwa wanaume pamoja na vipimo vya kuyatambua. Endelea… Kuna wakati mwanaume unatoa mbegu nyingi...

READ MORE

Fahamu Ugonjwa wa Zika na dalili zake

Homa ya Zika ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi kijulikanacho kama “Zika Virus.” Na Ugonjwa huu unaenezwa na mbu aina ya...

READ MORE

Kukosa hamu ya chakula!

Sukutua na kunywa siki ya tufaha Watu wengi hujisikia kama wanaoumwa, wakiamini ni malaria, hali inayowafanya wakose hamu ya kula...

READ MORE

Ugonjwa sugu wa figo (Chronic Kidney Disease)

Leo tunajadili ugonjwa sugu wa figo au Chronic Kidney Disease kwa kitabibu. Ugonjwa huu hutokea pale figo zinapopoteza uwezo wa...

READ MORE

Jinsi ya kupika rosti maini

KAMA ilivyo kawaida ya kila wiki huwa tunakutana katika safu hii ya Mahanjumati ambapo leo tunajifunza kupika maini kama wengi...

READ MORE

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuwa mjamzito

Ujauzito ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi...

READ MORE

Matatizo Ya Uzazi Kwa Wanaume “Male Infertility”

‘Male Infertility’ kwa Kiswahili ni ugumba kwa mwanaume, ni hali ambayo mwanaume anashindwa kumpa mimba mwanamke, tatizo hili kwa mujibu...

READ MORE

Ujue ugonjwa mpya wa kisonono – 2

WIKI iliyopita tuliishia katika kuzungumzia dalili ya ugonjwa wa kisonono (gono), leo tunaendelea na sehemu yetu ya pili na ya...

READ MORE

Homa ya mapafu kwa watoto (Pneumonia)-2

Stori:  Daktari wa Uwazi, UWAZI Tunamalizia kuelezea ugonjwa wa homa ya mapafu kwa watoto. Dalili mojawapo ya mtoto  kuwa na...

READ MORE

Tofauti ya kuwa na virusi vya Ukimwi na kuwa na Ukimwi

Wasomaji wengi wa safu hii wamekuwa wakiniuliza nini tofauti kati ya kuwa na virusi vya Ukimwi na mtu kuwa na...

READ MORE

Jinsi ya kupika chapati za maji

Natumaini hujambo mpenzi msomaji wa safu hii ya Mahanjumati na unaendelea vizuri na majukumu ya kujenga taifa. Leo kama ilivyo...

READ MORE

Maendeleo ya mtoto na ukuaji wake-2

Naendelea na mada hii ambayo nimeianza wiki iliyopita. Mtoto apewe fursa ya kucheza peke yake au na wenzake, apewe uhuru...

READ MORE

Ujue ugonjwa mpya wa kisonono

Wasomaji wa safu hii, wiki hii tunawaletea taarifa nzito kuhusu usugu wa dawa kwa wenye ugonjwa wa kisonono. Taarifa ya...

READ MORE

Homa ya mapafu kwa watoto (Pneumonia)

Leo tutajadili ugonjwa wa homa ya mapafu kwa watoto maarufu kama Pneumonia (Nimonia), ni aina ya maambukizi yanayoathiri mapafu. Inakadiriwa...

READ MORE

Tatizo la kutoka mimba mara kwa mara

Mimba kutoka mara kwa mara ni tatizo linalotokea kwa wajawazito ambao mimba zao hutoka zikiwa na umri wa chini ya...

READ MORE

Matatizo yanayoambatana na ukomo wa hedhi

Ukomo wa hedhi ni kipindi ambacho mwanamke anaacha kuziona siku zake kama ilivyokuwa tangu anavunja ungo. Kitaalamu, hiki ni kipindi...

READ MORE

Mimba kuchoropoka (Miscarriage-2)

Mpenzi msomaji, leo naendelea kuelezea tatizo la mimba kuchoropoka ili uzidi kuelimika.Dalili kubwa za Miscarriage ni mama mjamzito kutokwa na...

READ MORE

Jinsi ya kupika keki ya mayai, vanilla na maziwa

Mambo vipi msomaji wangu? Wiki hii nakuletea upishi wa keki ya mayai, vanilla na maziwa. Unaweza kuandaa keki hii kwa...

READ MORE

Jinsi ya kutibu tatizo la kutopata ujauzito

Tatizo la kutopata ujauzito, ugumba kitaalamu linaitwa ‘Infertility’. Hili lipo kwa mwanaume na mwanamke. Uchunguzi wa ugumba hufanyika katika hospitali...

READ MORE

Tatizo la nguvu za kiume, maana yake na tiba – 4

Ilipoishia wiki iliyopita. Mfano ulevi kupita kiasi wa pombe, madawa ya kulevya husababisha mwanaume kupoteza nguvu za kiume. Msomaji ningependa...

READ MORE

Tiba ya kisukari-5

Baada ya kuelezea kwa kirefu tiba ya kisukari, leo tunamalizia hivyo ungana nani ili uelimike zaidi. Kuna faida nyingine kubwa...

READ MORE

Shoga; kwa nini UTI iwe kwako kila siku?

Asalaam alaykhum shoga yangu! Kwa upande wangu sijambo namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo na nipo ofisini naandika mada ya wiki...

READ MORE

Ascaris; Minyoo inayosumbua wengi-2

Wiki iliyopita katika makala haya tuliishia kipengele cha athari za minyoo jamii ya Ascaris. Leo tunaendelea na sehemu ya mwisho...

READ MORE