Kuna hali nyingi zinazoweza kusababisha maumivu ya tumbo. Chanzo cha maumivu hutegemea na sehemu maumivu yalipo. Maumivu chini ya mbavu...
READ MOREUnywaji wa maziwa unaopendekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ni mtu mmoja kunywa lita 200 kwa mwaka. Tovuti za...
READ MOREUgonjwa wa Trich ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya jamii ya Protozoan na huathiri mrija wa kupitisha mkojo unaojulikana kama...
READ MOREHILI ni tatizo linalosababisha ugumba kwa wanawake kwa kiasi kikubwa. Wanawake wanaoshindwa kupata ujauzito hukabiliwa na matatizo matatu; kwanza kabisa...
READ MORETunapozungumzia uzito unavyoathiri uzazi kwa mwanamke, hapa tunamaanisha uzito uwe mkubwa au mdogo vyote vina madhara makubwa katika uzazi. Madhara...
READ MOREKuna aina nyingi za ugonjwa wa kiharusi ambazo zinasababisha mtu kukumbwa na maradhi haya. Leo tutaeleza machache kwa mfano mtu...
READ MOREWiki hii kwenye safu yetu nitakuandikia tiba ya mtoto kukojoa kitandani, kitu kinachosumbua wazazi wengi. Dawa tunazo majumbani, lakini hatujui...
READ MOREAsali hutengenezwa na nyuki wanaotumia ‘vumbi’ maalum la maua liitwalo nectar. Kiwango cha sukari katika asali ni asilimia 70 hadi...
READ MOREFIBROID ni uvimbe unaoota ndani ya kizazi cha mwanamke, uvimbe huu upo kama nyama laini, chanzo halisi cha aina hii...
READ MOREWiki hii nakuletea kucha mpya ambazo ndiyo habari ya mjini. Kucha hizi zinaitwa Lace Nails, kucha za lesi lakini pia...
READ MORETumekwishaona katika makala iliyopita jinsi tatizo hili la kulegea kwa misuli ya uke linavyotokea. Tatizo husababishwa na kuzaa kwa njia...
READ MOREWatu wengi wanasumbuliwa na ugonjwa wa mba kichwani, awali nilishawahi kuandika kuhusu tiba nyingine, lakini ninaongeza na hii ili kuwasaidia....
READ MOREWiki iliyopita tulizungumzia kuhusu aina za uvimbe kwenye tezi za uzazi za mwanamke. Leo tunazitaja aina saba za uvimbe huo...
READ MOREKUNA wanawake wanapofanya mapenzi husikia maumivu, hakika husumbuliwa sana. Mwanamke anaweza kukosa furaha na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza...
READ MOREKutapika wakati wa ujauzito ni hali inayowatokea wajawazito wengi. Ni mojawapo ya dalili za mwanzo za ujauzito. Hali hii hutokea...
READ MORENyanya chungu au ngogwe ni tunda ambalo wengi tumekuwa tukilitumia kama mboga au kiungo kimoja wapo katika kunogesha mboga lakini...
READ MOREMwandishi: Dk. A. Mandai WIKI iliyopita nilieleza tatizo la mimba kutoka mara kwa mara na nikaahidi leo kuelezea mimba zenye...
READ MORETatizo hili huwatokea wanawake wengi na huwasumbua sana ambapo katika maisha yao hutokewa na tatizo hili. Ni wachache ambao wanaweza...
READ MORETatizo hili linaweza kuwa la kuzaliwa nalo, likasababishwa na matumizi ya baadhi ya madawa kwa mama mjamzito ukajikuta unazaa mtoto...
READ MOREAsalam Alaikum mpenzi msomaji, bila shaka unaendelea vema na ujenzi wa taifa, kwangu mimi nina majonzi ya kuondokewa na mfanyakazi...
READ MORETATIZO la kutokushika mimba ni kubwa katika jamii kuliko vile ambavyo mtu anaweza kufikiria. Na wanawake wengi wana tatizo hili,...
READ MORELeo kwenye safu hii nitaongelea tiba ya chunusi, kwa wenye chunusi sugu mnaweza kusoma dondoo hizi ili kuondoa tatizo. Barafu...
READ MOREMwanamke anachangia asilimia 40 katika tatizo la ugumba kwenywe ndoa. Sababu za ugumba kwa mwanamke zinaweza kuwa ni historia kama...
READ MORELeo tutajadili ugonjwa wa kansa ya matiti unaowashambulia zaidi wanawake. Kuna mambo kadhaa ambayo yameonekana kuwa na uhusiano, ama wa...
READ MOREWENGI tunatumia nazi kama kiungo cha mboga kutokana na tui lake au wengine kutumia mafuta yake bila kujua faida yake...
READ MOREMpendwa msomaji wetu, wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii ambayo ni tatizo linalowapata baadhi ya wanawake bila kujijua. Leo tunamalizia...
READ MORELeo tutaongelea kiungo cha mdalasini kinavyosaidia kutibu ugonjwa wa kukohoa na homa ambapo ni rahisi kutengeneza nyumbani kwako na kukutibu...
READ MOREKuna njia nyingi ya kujikinga na magonjwa mbalimbali hasa yale ya kuambukiza au kuambukizwa. Moja ya ugonjwa hatari duniani na...
READ MOREHakikisha unaimarisha mfumo wako wa kinga ya mwili kwa kula vizuri, kupumzika vya kutosha na kufanya mazoezi. Jitahidi kupumzika vya...
READ MOREChimbuko la bamia ni Ethiopia kisha ikaenea duniani kote. Unafahamu kwa kula bamia unaweza ukawa umejiondoa katika hatari ya kupata...
READ MOREUgonjwa wa kisukari kitaalam unaoitwa Diabetes Mellitus hutokea pale tezi kongosho au Pancrease inaposhindwa kutengeneza homoni au kichocheo aina ya...
READ MORENSU ni herufi zinazotumiwa kuelezea magonjwa ya bakteria yanayoathiri mfereji wa kupitisha mkojo yaani Urethra kirefu chake ni Non Specific...
READ MORESHINIKIZO la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa. Shinikizo la damu laweza kupimwa kwa ukanda wa mpira...
READ MOREWiki hii kwenye ukurasa wetu huu wa urembo nitakupa njia ya kuondoa mafuta tumboni pamoja na kukata tumbo kwa kutumia...
READ MOREHali hii wakati mwingine huitwa ‘Vaginism’, ni tatizo linaloathiri uwezo wa mwanamke kuingiliwa ukeni wakati wa kujamiiana, kujisafisha na hata...
READ MORE1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa 2. Linasaidia kukinga magonjwa ya moyo Lina uwezo wa kuondoa Cholesterol mbaya...
READ MORELeo tutazungumzia ulaji hasa wa vitu vya mafuta. Mafuta ni suala muhimu sana mwilini ila ulaji wake sharti uwe wa...
READ MORETayarisha sufuria safi, weka nyama ya kusaga peke yake bila ya kuweka maji. Changanya chumvi kiasi, tangawizi na kitunguu saumu....
READ MOREUjauzito ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi...
READ MOREMACHUNGWA, PILIPILI KALI Utafiti unaonesha kwamba, ulaji wa vyakula vyenye Vitamin C kwa wingi kila siku husaidia kuondoa au kuzuia...
READ MORE