×


Amani

AUNT MINYOOSHO KAMA YOTE !

BAADA ya kumwagana na aliyekuwa mzazi mwenzake, dansa Moses Iyobo, muigizaji Aunt Ezekiel amedaiwa kuachia mapichapicha mengi akiwa na mpenzi wake mpya kumnyoosha Iyobo.  Wambea…

SOMA ZAIDI

MUNA ASHUSHA POVU SI LA NCHI HII

MSANII wa filamu ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki wa Injili, Rose Alphonce ‘Muna Love’ amemtolea povu si la nchi hii shabiki wake aliyetaka kujua…

SOMA ZAIDIDAVINA AFUNGUKA KUPONDWA MUONEKANO MPYA

MREMBO kutoka Bongo Movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amefungukia muonekano wake mpya na kusema anashukuru umekubalika na wengi japokuwa wachache wamemponda.    Akipiga stori na Amani,…

SOMA ZAIDI

FURAHA KWA ZARI, HUZUNI KWA MONDI

NILISIKILIZA mahojiano ya Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ mara baada ya kutua Bongo juzikati katika ziara yake ya kibalozi.    Alipoulizwa kuhusu suala la…

SOMA ZAIDI


MAITI YA MAMA YAKUTWA UFUKWENI

DAR ES SALAAM: Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Moza Hussein Lukanga, mkazi wa Mianzini Mbagala jijini Dar hivi karibuni mwili wake umekutwa ufukweni maeneo…

SOMA ZAIDI


SHAMSA ATOBOA SIRI YA UBONGE !

STAA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amefunguka kuwa siku zote mwili wake unafumuka pale tu anapokuwa na mawazo tele kichwani mwake, lakini akiwa hana mawazo…

SOMA ZAIDI

LULU: TUJIFUNZE KUJIKUBALI

  MWIGIZAJI mwenye nyota ya kipekee Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa hakuna kitu kizuri kama mwanamke kujiamini maana hiyo ndiyo silaha yake kubwa. …

SOMA ZAIDI

LINAH ADAIWA KUJALADIA MAKALIO

MREMBO kutoka Bongo Flevani, Esterlina Sanga ‘Linah’ amekwaa skendo ya ‘kujaladia’ makalio baada ya kuonekana katika picha mpya akiwa amejaa zaidi eneo la nyuma.  Wananzengo wa…

SOMA ZAIDI

FAHAMU TATIZO LA MAPAFU KUJAA MAJI

 MAPAFU ndio kiungo kinacho-tegemewa sana katika mwili kama utafanya mazingatio maana ubongo ukikosa oksijeni ndani ya dakika 5 kwenda juu seli za ubongo hupata athari…

SOMA ZAIDI


ANASWA KWA WIZI FEDHA MTANDAONI

MOROGORO: Kijana mmoja ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikupatikana mara moja amepokea kochapo kutoka kwa wananchi waliomshutumu kuiba pesa kwa njia ya mtandao wa simu.   …

SOMA ZAIDI

MIMBA YA TANASHA FAMILIA YACHEKELEA

DAR ES SALAAM: Mpenzi wa sasa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ameibua gumzo kufuatia muonekano wake wa sasa unaomuonesha akiwa na…

SOMA ZAIDI

MASTAA BONGO WAISHI KWA NAMBA 9

UKIONA mtu anatukanwa halafu anacheka ujue maisha yake yanaongozwa na namba 9. Uzuri wa namba hii ni kwamba hutoa majibu sahihi kutegemea mtu anaposimama wakati…

SOMA ZAIDI

WEMA WA SASA ANAFELI WAPI?

KWA takriban miaka kumi tangu mrembo wa Taifa, Wema Sepetu atwae Taji la Miss Tanzania hakuwahi kuchuja. Kama ni moto ulikuwa unawaka kila uchwao. Tangu…

SOMA ZAIDI


KISA PIERRE SHILOLE YAMKUTA

YAMEMKUTA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kujikuta akishambuliwa kwa maneno makali na wananzengo kutokana na kauli yake ya…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online