×

Burudani

Amber Lulu Aanika Alivyoshea Bwana na Gigy!

DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ amefunguka suala la kushea bwana na msanii mwenzake, Gift...

READ MORE

Kanye West Ameokoka Abadili Dini Aingia Ukristo

RAPA kutoka pande za Marekani, Kanye West amethibitisha kubadili na kuingia kwenye dini ya  Ukristo, masahabiki wa kanye west walikuwa...

READ MORE

Diana Hapawezi Mantoni!

PAMOJA na kwamba aliposepa Bongo na kutimkia mamtoni (Marekani), staa wa Bongo Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli...

READ MORE

Kumbe Kajala Watammisi Sana!

KILA kitu kina wakati wake! Hebu msikie staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’, anasema eti kwa jinsi ambavyo...

READ MORE

Tuzo za MTV EMA: Mpigie Kura Harmonize Hapa

UMESHAMPIGIA kura? Kama bado ni wakati wako sasa wa kumpigia kura staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ili aweze...

READ MORE

Mahakama yavunja ndoa ya Muna Love

HATIMAYE Mahakama ya Mwanzo Magomeni jijini Dar, imevunja ndoa ya msanii wa filamu nchini, Rose Alphone ‘Muna Love’ na aliyekuwa...

READ MORE

Ijumaa Sexiest Girl 2019 Linaanza!  

IJUMAA Lile shindano baab’kubwa la kumtafuta Mrembo wa Gazeti la Ijumaa mwenye mvuto zaidi wa kimahaba (Ijumaa Sexiest Girl), linaanza...

READ MORE

MISS UTALII WALAMBA SHAVU NONO

SHINDANO la Miss Utalii limeingia makubaliano ya kudhamini shindano la Kimataifa la Miss Utalii Tanzania 2019/2020 na hotel ya kitalii...

READ MORE

Tekashi Apata Dili La Mamilioni Akiwa Jela

AKIWA jela akisubiri hukumu Rapa Tekashi 69 ameweza kupewa dili nono la kurekodi Album mbili na label ya 10k projects...

READ MORE

Tanasha Afungukia EP Yake

ZIKIWA zimepita wiki chache tangu ajifungue, mtangazaji wa redio kutoka Mombasa, Kenya, Tanasha Donna Oketch amefungukia ujio wa albamu yake...

READ MORE

Usiyoyajua Mtoto wa Mondi na Tanasha!

HATIMAYE Oktoba 2, 2019, mwanamama mtangazaji na mwanamuziki Tanasha Donna Oketch, raia wa Kenya alijaliwa mtoto mwanamume. Tanasha ni mchumba...

READ MORE

Prezzo: Tungepata Marais 10 Kama JPM Tungekuwa Mbali

KWA mara ya kwanza tangu aingie kwenye muziki, rapa kutoka Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ ameshindwa kuzuia hisia zake baada...

READ MORE

Amber Rose Ajifungua Mtoto Wapili Wakiume

MWANAMITINDO maarufu Amber Rose amefanikiwa kujifungua mtoto wa kiume aliye bahatika kumpata na mpenzi wake AE Edwards usiku wa kuamkia...

READ MORE

NDEGE YAANGUKA IKIJARIBU KUPAA

ABIRIA 50 wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wamepanda kukosea njia na kudondoka katika eneo la Uwanja wa Wilson jijini...

READ MORE

Ben pol ataja sababu ndoa ya kimyakimya!

DAR ES SALAAM: Staa mkubwa wa muziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ ametaja siri ya kufunga ndoa ya...

READ MORE

Aunt atonesha kidonda cha wema!

DAR ES SALAAM: Ama kweli ule usemi usemao mtoto si nguo umuazime mwenzako una maana kubwa! Staa mkubwa wa filamu...

READ MORE

Nandy Alamba Ubalozi Sabuni Mpya za Azania Group

      Nandy akibadilishana mikataba na uongozi wa Azania Group.. MAKAMPUNI ya Azania Group yanayomiliki Kampuni kubwa ya bidhaa...

READ MORE

Miss Universe Tanzania Yarudi Kwa Kishindo

BAADA ya kimya cha mwaka mmoja, kampuni ya Compass Communication imeandaa tena mwaka huu, shindano la Miss Universe Tanzania.  ...

READ MORE

Rihanna Anaanika Mahusiano Yake Mapya

  JARIDA la Vogue limeripoti kuwa mwanamuziki Rihanna amethibitisha kuwa kwasasa yupo kwenye mahusiano yenye malengo na furaha zaidi kwakua...

READ MORE

Kevin Hart Arejea Kwenye Filamu

BAADA ya kupita miezi miwili tangu muigizaji na mchekeshaji Kevin Hart apate ajali mbaya ya gari, inasemekana anarejea tena kazini....

READ MORE

Mistari 8 Ya Kwenye Kijiwe Nongwa

TUNGO tata ni moja kati ya njia nzuri ya msanii kufikisha ujumbe wake kwa hadhira. Tungo tata zina utamu wake,...

READ MORE

Mafuriko Yaua 6 Tanga, Barabara Zafungwa

WATU  sita wameripotiwa kupoteza maisha huku kaya kadhaa wilayani Korogwe zikikosa makazi baada ya nyumba zao kuanguka na zingine kujaa...

READ MORE

Wolper Ahamia Uswazi, Ataja Sababu

NANI amekwambia mastaa hawawezi kupiga mzigo wakiwa uswahilini ‘uswazi’ na mambo yakaenda? Basi huyu hapa binti wa Massawe, Jacqueline Wolper...

READ MORE

Nandy Atoa Siri ya Machozi Kaburini kwa Ruge

JUZIKATI Faustina Charles Mfinanga alijikuta akishindwa kujizuia na kumwaga machozi kaburini kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds...

READ MORE

Ma ex wa Diamond…Wanaigana au ni Madili Tu!

MASTAA wengi wa kike ni wahanga wa mitandao ya kijamii hasa kwa kupiga picha kali na kuzitupia katika kurasa zao...

READ MORE

Kim Kardashian Amekiri kuulaghai Umma

MWANAMITINDO na Staa wa Reality show Kim Kardashian amekiri kuulaghai umma kipindi ambacho alikuwa akitafuta upenyo wakutoboa kwenye tasnia ya...

READ MORE

Priyanka Chopra Anatamani Kuwa Mama

  MWIGIZAJI maarufu duniani kutokea nchini India Priyanka Chopra amekiri kuchoshwa na maisha ya kuhamahama na anatamani pia yuko tayari...

READ MORE

Ebitoke: Hata Kama Nimebabuka, Kileleni Nimechungulia

BAADA ya kuweka picha akiwa amebabuka uso huku maneno ya kejeli yakiwa mengi, msanii wa vichekesho; Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ amesema...

READ MORE

Rihanna Ametangaza Ujio Mpya, Ni Mwezi Huu

Mwaka 2016, Rihanna aliiachia ‘Anti’ kama albamu yake ambayo ni ya mwisho mpaka sasa , Rihanna hajawahi kuachia wimbo wake...

READ MORE

Mke Wa T.I Ameibiwa Vitu Vya Thamani Ya Bilioni 1.7

MKE wa rapa T.I, Tameka Tiny Harris wikiendi hii ameibiwa vitu vyenye thamani ya bilioni 172 Pete ya ndoa, saa...

READ MORE

Meneja wa Mbosso Naye Aondoka Wasafi

DAR ES SLAAM: Bado upepo siyo mzuri ndani ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)! Siku chache baada ya mwanamuziki...

READ MORE

Meninah Aibu Yake

NI aibu yake! Ndiyo maneno yaliyowatoka wengi baada ya kuona video chafu inayodaiwa ni ya msanii wa Bongo Fleva na...

READ MORE

Justine Bieber Aweka Wazi Ujio Wa Album Yake Mpya

    MWANAMUZIKI kutoka pande za Marekani Justine Bieber amewadokeza mashabiki zake ujio wa album yake mpya kabla ya mwaka...

READ MORE

Post Malone Aweka Rekodi Kwenye Mauzo Ya Album Yake

  MMWANAMUZIKI kutoka nchini Marekani, Post Malone amewka rekodi na album yake ya Hollywood’s Bleeding kwa kua ya kwanza kwa...

READ MORE

Mashabiki Wachukizwa Na DMX Kutokufika Kwenye Tamasha

MTANDAO wa TMZ umeripoti kuwa mashabiki wa rapa DMX wamechukizwa na nizamu ya mbaya ya rapa huyo baada ya kutohudhuria...

READ MORE

Tanasha Ajitetea Kudanganya Siku ya Kujifungua!

AMA kweli binadamu hawakosi la kusema! Mama mtoto wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna amelazimika...

READ MORE