×

Burudani

Shishi ampa Kiba somo la ndoa

WAKATI msanii Ally Saleh Kiba ‘AliKiba’ ndoa yake ikiwa inapumulia mashine kutokana na migogoro, mrembo kutoka Bongo Fleva, Zuwena Mohamed...

READ MORE

Mtarajiwa wa Uwoya gumzo

HUKO Instagram wewe wape picha tu, maelezo watajaza wenyewe! Umbea mpya unaosambaa mitandaoni kwa sasa ni juu ya picha inayodaiwa...

READ MORE

BEN POL: NDOA YANGU ITAACHA SIMULIZI

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Bernard Paul ‘Ben Pol’ ameweka wazi kuhusiana na maandalizi ya ndoa yake na mrembo wa Kenya...

READ MORE

Tigo Yazindua promosheni Chemsha Bongo, Kanda ya Ziwa

Mteja wa Tigo  atazawadiwa gari aina ya Renault Kwid na wengine kujishindia mamilioni kama zawadi katika promosheni iliyozinduliwa leo jijiji...

READ MORE

Video: Hivi Ndivyo Anne Makinda Alivyoongoza Bunge

 Kupitia aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania anne Makinda aliyewahi kuongoza bunge hilo mwaka 2010,...

READ MORE

Daktari Aanika Ugumu wa Mama Diamond Kuzaa Tena

UJAUZITO anaopata mwanamke mwenye zaidi ya umri wa miaka 50 huja na changamoto nyingi za kiafya na ugumu wa kuzaa,...

READ MORE

DStv Kufungua Pop-Up Channel Kuonyesha Filamu za ZIFF

Miezi michache baada ya kufanyika kwa tamasha kubwa la filamu Zanziba (ZIFF) DStv imetangaza kufungua chaneli maalum (pop-up Channel) kwa...

READ MORE

Petitman Amefulia, Hawezi Kumhudumia Mtoto Wake?

SIKU ya Septemba 23,2019 kwenye kipindi cha Katambuga kinachorushwa na  +255Global Radio, meneja wa wanamuziki, Petitman aka Batikayo,  aliongea mambo ...

READ MORE

Vanessa Mdee Amefanya Nini Kwenye Muziki?

VANESSA MEDEE aka Cash Madame au VeeMoney, ni msanii wa kurekodi mwenye asili ya Arusha Tanzania. Vanessa ni mwimbaji, mwandishi...

READ MORE

Samatta Apewa Unahodha Genk

MAMBO yanazidi kumnyookea straika Mtanzania Mbwana Samatta katika kikosi cha KRC Genk baada ya Jumamosi iliyopita kuwa nahodha kwenye mechi...

READ MORE

Kanye West Aokoka, Aja Na Albamu Ya ‘Gospo’

SIKU chache baada ya mwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian, kuthibitisha kuwa yeye na mumewe Kanye West wameokoka, Kanye  amethibitisha tarehe...

READ MORE

Kuna Dalili Faiza Kupigwa Mimba Nyingine!

MACHUNGU yote yameondoka kwa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Faiza Ally baada ya kutumia muda mrefu na baba wa mtoto...

READ MORE

Maskini Wema… Hataki Tena Kuolewa

  UMEMSIKIA staa mkubwa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu? Bidada ameamua zake kuweka wazi kuwa hataki tena ishu...

READ MORE

SHAMSA ATUPA KULE DAYATI!

MWANAMAMA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amesema anajifahamu kuwa yeye ni kibonge, lakini suala la dayati hataki kulisikia.   Akistorisha...

READ MORE

SERIKALI YAJITOSA HARMO KUJITOA WASAFI

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), imejitosa kwenye sakata la staa wa...

READ MORE

Nandy Alivyotapika Kwenye Lifti!

MWANADADA mkali kwenye Bongo Fleva kwa sasa, Faustine Charles Mfinanga ‘Nandy’ ameeleza kuwa miongoni mwa mambo yaliyowahi kumtia aibu ni...

READ MORE

Harmonize Kununua TV ya Msama!

KUFURU nyingine! Staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, kila kukicha ana habari mpya. Safari hii, jamaa huyo anadaiwa kuwa...

READ MORE

Marlaw: Siamini Harmonize Kajitoa WCB!

HUWEZI kutaja orodha ya wasanii waliokubalika katika Muziki wa Bongo Fleva mwanzoni mwa miaka ya 2,000 bila kulitaja jina la...

READ MORE

Ndoa ya Tiko kufungwa katikati ya bahari

KILA mtu na staili yake! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa filamu na muziki, Tiko Hassan kusema kuwa ndoa...

READ MORE

MTALII AFIA Chini ya Bahari ZANZIBAR Akimchumbia Mpenzi Wake! (Picha +Video)

MTALII mmoja aliyejulikana kwa jina la Steven Weber Jr, alifariki Dunia hivi karibuni akiwa chini ya Bahari alikoenda kumvisha pete...

READ MORE

Rekodi Nyingine Ya Cardi B Na Bodak Yellow

BODAK YELLOW ambayo ilikuwa ladha ya kwanza kutokea kwenye albamu yake ya kwanza ya  Invasion Of Privacy, imetengeneza rekodi nyingine...

READ MORE

VIDEO: MAUNO Ya QUEEN DARLEEN Stejini Wasafi Festival IRINGA

 Tamasha la Wasafi Festival Iringa limefanyika usiku wa leo katika Uwanja wa Samora, burudani ikitolewa na wasanii mbalimbali akiwemo...

READ MORE

AROBAINI YA MWANAYE…YAMPONZA MBOSSO!

NI shida! Ndivyo unavyoweza kusema, baada ya hivi karibuni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Yusuf Mbwana Kilungi ‘Mbosso’ kumfanyia sherehe ya...

READ MORE

DMX ASAINI MKATABA MPYA NA DEF JAM

  KAMPUNI ya muziki ya Ruff Ryders imesaini mkataba mpya na Def Jam Records, kwa mujibu wa XXL. Mwaka 1998,...

READ MORE

ISHU YA TANASHA KUJIFUNGUA…OFM watinga kimafia nyumbani kwa Diamond

BAADA ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Dimond Platnumz’ amepata mtoto wa nne kwa mpenzi...

READ MORE

Hamisa atamani kuolewa

SIKU hizi ndoa ni shughuli pevu jamani! Hilo limejidhihirisha kwa mwanamitindo na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Hamisa Mobetto ambaye ameeleza...

READ MORE

Rostam Na Nay Wa Mitego Wanatuambia Nini Kwenye Kijiwe Nongwa?

Soka la bongo linakwama wapi, TFF Maana yake nini?, ameuliza Stamina kwenye line ambayo Roma amejibu kwa kusema TFF ni...

READ MORE

NANDY AVUNJA UKIMYA ISHU YA MIMBA YAKE

BAADA ya habari kuzagaa kuwa ana mimba, mrembo anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amevunja ukimya...

READ MORE

Queen Darleen amfanyia kufuru Mbosso

DADA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ hivi karibuni alimfanyia kufuru msanii mwenzake, Yusuf...

READ MORE

Kiza Kinene: Ujio Mpwa Wa Nandy Na Nyimbo Za Mapenzi

FEBRUARI 3,  2019, mwanamuziki Nandy alichia video ya Hazipo, wimbo ambao umeandikwa na Jay Melody na kutengenezwa na studio za...

READ MORE

Ebitoke Asimulia Alivyoanza Mapenzi Na Mlela

MIONGONI mwa stori zenye wafuatiliaji wengi kuhusu mastaa wa Bongo ni ‘couple’ mpya jijini inayowahusisha waigizaji Ebitoke na Yusuph Mlela...

READ MORE

Tekashi 69 Amekiri Kutuma Wahuni Kumshambulia Mlinzi Wake

RAPA kutoka pande za Marekani, Tekashi 69, amekiri kutuma kikosi cha wahuni 12 wa kundi lake la zamani la “Nine...

READ MORE

Kanye Akunja Mkwanja ‘Mkali Kuliko’ 2019

JARIDA la Forbes la Marekani limetoa orodha ya wanamuziki wa Hip Hop wanaolipwa mkwanja mrefu zaidi mwaka huu wa 2019,...

READ MORE

Harmonize Anapata Wapi Jeuri Kujitoa Wasafi

Miongoni mwa majina ya watu maarufu wanaozungumziwa zaidi mwisho wa mwaka 2019, Yupo Harmonize ambaye amekuwa homa kila kona ya...

READ MORE

Baada ya kutua Bongo kimyakimya… Zari ampa Tano JPM

MWANAMAMA mjasiriamali wa Uganda mwenye maskani yake kwa Madiba nchini Afrika Kusini, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, wikiendi iliyopita...

READ MORE

Wema, Mobeto wamaliza bifu

BAADA ya kuishi kwa muda mrefu huku ikidaiwa hawaivi, warembo Wema Sepetu na Hamisa Mobeto wameonesha kwamba hawana tena kinyongo...

READ MORE

Marlaw ataja ukimya wake, hatima yake na Besta

MWANAMUZIKI  Lawrence Marima maarufu kama Marlaw ambaye aliwahi kutamba na wimbo wa ‘Bembeleza’,  leo Septemba 19 2019,  amefika studio za...

READ MORE