×

Burudani

NDOA YAKE NA DIAMONDI, TANASHA AANIKA KUFURU YAKE! 

DAR ES SALAAM: Mambo yameiva! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kubakiza...

READ MORE

Saa9 Usiku…Bata la MOBETO, mama’ke acha kabisa

DAR ES SALAAM: Fedha inaongea! Wakati watu wengine wakilia ukata, mwanamitindo wa Bongo, Hamisa Mobeto na mama’ke, Shufaa Rutiginga wamenaswa...

READ MORE

MADEE HACHUKII CHONGE KUFANANISHWA NA MAI ZUMO

  MKALI  wa  Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ ameweka wazi kwamba hachukii kuona watu wakimfananisha binti yake, Chonge na mchekeshaji...

READ MORE

“2018 Ulikuwa mwema kwangu” Vanessa Mdee

  SEXY lady anayefanya poa kunako gemu la Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’amesema kwa upande wake mwaka 2018 ulikuwa...

READ MORE

Harmonize Atangaza Fursa kwa Watangazaji na Ma Dj’s – (VIDEO)

  Msanii Harmonize toka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) ametangaza fursa ya kuwafanyia (utambulisho) jingles watangazaji na ma dj’s...

READ MORE

MASTAA MMEMSIKIA MZEE WA UPAKO?

  KATIKA moja ya mafundisho yake kanisani kwake, Ubungo-Kibangu jijini Dar, siku chache kabla ya kuingia Mwaka Mpya wa 2019,...

READ MORE

RAIS ZUMA KUJICHIMBIA STUDIO KUREKODI ALBAMU

RAIS Mstaafu wa Afrika Kusini Jacob Zuma, anakusudia kuingia studio hivi karibuni, kurekodi albam ambayo itakuwa na nyimbo za mapambano....

READ MORE

NDOA YA AMBER RUTTY SIRI YAFICHUKA!

DAR ES SALAAM: BAADA ya kuzungumzwa mengi kuhusu picha zinazomuonesha video queen, Muscat Abubakary ‘Amber Rutty’ amevaa shela akiwa na...

READ MORE

Coachella Yatangaza Orodha ya Watumbuizaji Mwaka 2019

  TAMASHA kubwa la muziki duniani ambalo hufanyika kila mwaka nchini Marekani la ‘Coachella’, jana waandaji wake wametangaza orodha ya...

READ MORE

Mahusiano Birdman, Ton Braxton Nd’o ‘Bye Bye’

  RAPA Birdman na aliyekuwa mchumba wake, Ton Braxton, mahusiano yao yamefikia tamati mwishoni mwa mwaka 2019 na mwanzoni mwa...

READ MORE

VIDEO: ALIKIBA ALIVYOFUNGA MWAKA MOMBASA

MWANAMUZIKI bab’kubwa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’,  usiku wa kuamkia mwaka mpya alifanya shoo ya aina yake Mombasa...

READ MORE

MHE. TEMBA Kuirejesha TMK Wanaume

BAADA ya kila msanii kuonekana kufanya kazi kivyake, staa wa Bongo Fleva, Amani Temba ‘Mheshimiwa Temba’ amesema Kundi la TMK...

READ MORE

MAUA: MWAKA 2018 NIMEJIFUNZA MENGI

MREMBO kunako Bongo Flevani, Maua Sama, aliyetamba na anaendelea kutamba na Ngoma ya Iokote, amefunguka kuwa, anamshukuru Mungu kwa kuwa...

READ MORE

Ukimtaka Odama Fanya Hivi!

USIHANGAIKE sana kutaka urafiki na Staa wa Filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’, ukijitenga na umbeya tu umempata kirahisiii! “Katika...

READ MORE

MADEE: RAHA ILIYOJE KULEA MTOTO

WAKATI wanaume wengi wakisifika kwa kukwepa kulea watoto wao, kwa mwanamuziki wa kitambo kwenye gemu ya Bongo Fleva, Hamady Ally,...

READ MORE

Chemical: Nikipima Naolewa – Video

RAPA wa kike Bongo, mwenye swaga za kiume Chemical, amefunguka mbele ya Global TV kuhusu moja ya caption yake aliyowahi...

READ MORE

Video: Christian Bella, Mobeto Wapiga shoo Masauti Luxury Dar

 Usiku wa kuamkia leo kumefanyika shoo kubwa ya aina yake ya kuufungua mwaka 2019 iliyopewa jina la Masauti Luxury ...

READ MORE

Meneja wa Harmonize (Mr Puaz) Asepa WCB

MENEJA wa mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize, Mr Puaz ameacha rasmi kazi ya umeneja kwa...

READ MORE

Balaa la Jide Kwenye Show ya Kuufungua Mwaka 2019 – VIDEO

SHOO kubwa ya aina yake ya kufungua mwaka 2019 iliyopewa jina la Masauti Luxury imefanyika usiku wa kuamkia leo katika...

READ MORE

Jike Shupa aapa kumlea mwanaye kidini

VIDEO mixen ambaye anatamba hapa Bongo, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ ameapa kumlea mwanaye ajaye katika maadili ya Kidini.   Wakati...

READ MORE

Wosia wa KIKWETE kwa Diamond Gumzo

Kama uliona picha za hivi karibuni za staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rais Mstaafu wa Tanzania...

READ MORE

USIYOYAJUA KUKUHU MAISHA HALISI YA MOZE IYOBO, AANIKA KILA KITU

MIONGONI mwa vijana wanaohamasisha vijana wenzao katika kujituma na kuendeleza vipaji vyao, yumo dansa maarufu anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic...

READ MORE

Mastaa wa Kike Waliyofanikisha 2018, Waliyopanga 2019!

MWAKA 2018 umekwenda, huu ni mwaka mpya wa 2019! Asante Mungu kwa kutufanya tuwe kati ya wale waliojaaliwa kuuona tukiwa...

READ MORE

Breaking: Fid Q Afunga Ndoa jijini Dar leo

Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo , Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q,  amefunga ndoa Leo katika Msikiti wa...

READ MORE

MAANDALIZI SHOO YA ‘MASAUTI LUXURY’ LIFE CLUB LEO – PICHA

SHOO kubwa ya aina yake ya kuufungua mwaka 2019 iliyopewa jina la Masauti Luxury itakafanyika leo  katika Viwanja vya Life...

READ MORE

GOODLUCK GOZBERT AACHA HISTORIA MKESHA WA MWAKA MPYA TAIFA

  Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert ameacha historia kubwa katika mashabiki wake wa muziki wa injili baada ya kuwaburudisha vilivyo...

READ MORE

ROSTAM WAFUNGA MWAKA KIBABE DAR LIVE ( PICHA + VIDEO)

WAKALI wawili wasioshikika kwenye Muziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki pamoja na Stamina wanaounda Kundi la Rostam pamoja na...

READ MORE

MAUA SAMA ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE (PICHA +VIDEO)

Maua Sama, leo amewathibitishia wapenzi wa burudani kwa  kufanya shoo ya nguvu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar...

READ MORE

Mavazi Yamponza Zari

WABONGO sio watu wazuri! Siku chache baada ya zilipendwa wa Na­sibu Abdul ‘Dia­mond Platnumz’ kuposti picha akiwa kwenye mavazi ya...

READ MORE

Nandy Awapa Wazazi Wake Zawadi ya Mamilioni Kwa 2018 (Picha & Video)

  MSANII wa muziki wa kizazi kipya, African Princess maarufu kama, ‘Nandy’,  ameonyesha zawadi ya nyumba aliyowajengea wazazi wake kwa...

READ MORE

Kuokoka Kwa Amber Rutty Gumzo

Video Queen Mus­cat Abubakary ‘Amber Rutty’ na mpenzi wake Said Bakary Mtopali wamedaiwa kuokoka kitendo kilichozua gumzo kwa watu kutokana...

READ MORE

Komenti Ya Diamond Kwenye Post Ya Gari La Mpenzi Wake Tanasha.

  Mwanadada Tanasha Dona raia wa Kenya ametambulisha gari yake aina ya BMW kwenye akaunti yake ya instagram ambapo imezua...

READ MORE

Alichokiandika Ben Pol Baada Ya Kukutana Na Mchoma Nyama Mkubwa Duniani

  Msanii wa Bongo Flava maarufu kama, ‘Ben Pol’ akutana na mchoma nyama mkubwa duniani  ‘Salt Bae’ alipokuwa Dubai katika...

READ MORE

Mama: Lulu Diva Alipenda Sana Kula Kuliko Kusoma

IMEFICHUKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama wa mwanamuziki Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ kufunguka siri ambayo hajawahi kuisema popote, kwamba...

READ MORE

LEO TUNAFUNGA JUMLA JUMLA 2018 ROSTAM, MAUA SAMA DAR LIVE

  WAKALI wawili wasioshikika kwenye Muziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki pamoja na Stamina wanaounda Kundi la Rostam pamoja...

READ MORE

Gigy: Nampenda MO J, Hatuachani Kirahisi

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ baada ya kukaa mbali na mzazi mwenzake MO J huku...

READ MORE

Irene Uwoya Ammwagia Sifa AliKiba

MSANII wa filamu za Kibongo mwenye mvuto wa aina yake kwenye tasnia ya sinema za Kibongo, Irene Uwoya amesema kuwa...

READ MORE