×

Burudani

SAKATA LA DIAMOND LAMUIBUA DINNO

SAKATA la msanii mkubwa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kurekodi video chafu na kuziachia mtandaoni na kusababishia ‘msala’...

READ MORE

Mimi Mars Kumwambii Kitu kwa Kolabo

MWANADADA kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Marriane Mdee ‘Mimi Mars’, amefunguka kuwa miongoni mwa vitu anavyopenda kwenye...

READ MORE

Baada ya Kufungiwa na Kufunguliwa, Roma Anena Haya

MACHI 1, mwaka huu ni mwezi usiosahaulika katika maisha ya Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’ katika Muziki wa Hip Hop Bongo...

READ MORE

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha...

READ MORE

Lynn: Siolewi Bongo, Wanaume Wababaishaji

VIDEO Queen ambaye alishawahi kukwaa skendo ya kutoka kimapenzi na mwanamuziki maarufu, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Irene Hillary ‘Lynn’ amefunguka kuwa...

READ MORE

Akiwa Leba, Kucha Zataka Kumletea Balaa Maimarta

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Maimartha Jesse amesimulia jinsi kucha zilivyotaka kumletea balaa alipokwenda kujifungua leba ambapo amewapa somo mastaa wa kike...

READ MORE

Mtangazaji wa Times FM Apata Tuzo ya YouTube (Picha +Video)

Mtangazaji maarufu wa kipindi cha The Playlist Times FM, Omary Tambwe ‘Lil Ommy’ amekuwa moja ya watu wachache duniani kupokea...

READ MORE

Lulu Diva Adondosha Chozi Mbele ya Madenti

MWANA-MUZIKI Lulu Abass ‘Lulu Diva’ hivi karibuni alidondosha chozi mbele ya wanafunzi wa Shule ya Lord Baden iliyopo Bunju jijini...

READ MORE

Siri 6 Kiba Kumuoa Mkenya Zaanikwa!

NYUMA ya tukio kubwa na la kihistoria kwenye ulimwengu wa burudani, lililogubikwa na kufuru ya fedha la staa wa Bongo...

READ MORE

Kajala Amng’oa Mke wa P-Funk!

  DAR ES SALAAM: Muigizaji wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amedaiwa kusababisha mke wa prodyuza mahiri Bongo, Paul Matthysse,...

READ MORE

Cheki Waziri wa Magufuli Anavyokata Mauno Hadharani – Video

Waswahili wanasema raha jipe mwenyewe, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingiria, Kangi Lugola amenaswa...

READ MORE

FLAVIANA MATATA; ‘Tom Boy’ ANAYEIWAKILISHA VYEMA TANZANIA

FLAVIANA Matata ni miongoni mwa wanamitindo maarufu wa Tanzania duniani. Mwaka 2013, Jarida la Fobes la Africa liliandika kwamba ni...

READ MORE

Banana Zoro Atoboa Siri ‘Dred Rock’ za Wanaye

UKIPE-NDA unaweza kumuita ‘the lejend’, ‘best vocalist of all time’, baba Randy, baba Jermaine au baba Risherde, Ton Pow kama...

READ MORE

Vera, Bwana’ke Wachafua Mitandao

SAHAU kuhusu ule ujauzito wake feki ‘ulio-trendi’ juzikati, muuza nyago kwenye video nchini Kenya, Vera Sidika amechafua mitandao baada ya...

READ MORE

Tyga, Iggy Azalea Mahaba Mpaka Basi!

RAPA Tyga anaonekana kuanza kufurahia maisha mapya baada ya kumuopoa rapa mwenzake, Iggy Azalea ambapo mahaba yao kwa sasa unaambiwa...

READ MORE

Baba’ke Diamond Atema Cheche Kesi ya Mwanaye

WAKATI leo mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ akitakiwa kuripoti kwenye Kituo Kikuu cha...

READ MORE

The LiFe Club ‘Maisha Basement’ Kuzinduliwa Usiku wa Leo Ijumaa Dar

Klabu maarufu ya burudani ya The Life Club  ‘Maisha Basement’ leo Ijumaa usiku inazinduliwa upya kwenye makao yake mapya yaliyohamishiwa...

READ MORE

NDOA YA KIBA YAACHA VILIO!

DAR ES SALAAM: Wakati mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ akitarajiwa kuangusha bonge la sherehe baada ya kufunga...

READ MORE

Diamond; Umaarufu Umekulevya Sasa, Jitathmini Upya

KWA kila mtu anayemfahamu Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, msanii wa kizazi kipya ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akiipeperusha bendera ya...

READ MORE

Black Rhino ‘Kulegeza Vyuma’

IKIWA imepita zaidi ya miaka mitatu bila kusikika kwenye gemu, mkali wa michano ambaye pia ni mdogo wa mkongwe wa...

READ MORE

Ben Pol: Nimeanza na Kiss Daniel

MWANAMUZIKI Bernard Paul ‘Ben Pol’, hivi karibuni amefunguka kwamba ujio wake mpya na mwanamuziki kutoka Nigeria, Kiss Daniel unaojulikana kwa...

READ MORE

Sherehe Ya Harusi Ya Ali Kiba Kutoka Mombasa

MSANII Alikiba amefunga ndoa na mpenzi wake Aminah Rekish asubuhi ya leo katika msikiti wa Ummul Kulthum uliopo mjini Mombasa nchini Kenya. Na...

READ MORE

MWANAHERI AMEOLEWA NA BABU? MAJIBU YAKO HAPA!

KUTOKANA na watu mbalimbali kumshambulia kwenye mitandao ya kijamii wakisema kwamba ameolewa na mwanaume mkubwa zaidi ya baba yake mzazi...

READ MORE

Mwanasheria Dar Afungukia Hukumu ya DIAMOND, NANDY

DAR ES SALAAM: Kufuatia msala wa kusambaza video zao chafu mtandaoni unaowakabili mastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’...

READ MORE

Diamond, Nandy Waomba Radhi Kwa Yote Yaliotokea, TCRA (Video)

  STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema kuwa kwa yale yote yaliomtokea ya kuachia video zilizokosa maadili...

READ MORE

SHUHUDIA UKUMBI WA HARUSI YA ALIKIBA NA AMINA UNAVYOWAKA

BAADA ya Staa wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ kufunga ndoa na mchumba wake, Amina Khaleef Mjini Mombasa nchini Kenya...

READ MORE

REKODI 3 NDOA YA KIBA!

DAR ES SALAAM: Wakati mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ amefunga ndoa leo pande za Mombasa nchini Kenya,...

READ MORE

ALIKIBA AFUNGA NDOA NA MREMBO AMINA MJINI MOMBASA – VIDEO

NI FURAHA ILIYOJE! STAA wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, amefunga ndoa na mchumba wake Amina Khalef, leo...

READ MORE

SHUGHULI YA NDOA YA ALIKIBA IMEANZA KENYA – Picha na Video

ILE siku iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu kushuhudia ndoa ya Staa wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ hatimaye imewadia na leo...

READ MORE

Cassper Nyovest Rapa Pekee Anayemiliki Ndege Afrika

HAKUNA ubishi kwamba Cassper Nyovest ni miongoni mwa marapa wakubwa zaidi Afrika Kusini kwa sasa kutokana na mafanikio aliyoyapata kwenye...

READ MORE

Maya Afunguka Kumchamba JB

STAA wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefu-ngikia maneno yake aliyoy-aweka mtandaoni na kuzua tafrani kuwa amemmchamba mwigizaji mkongwe,...

READ MORE

Ratiba Ya Ndoa ya Alikiba na Mpenzi Wake Yaanikwa

MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Alikibaba ‘King Kiba’ amesafiri pamoja na familia yake Jumanne hii (April 17, 2018) kuelekea...

READ MORE

DAZ BABA AFUNGUKA CHANGAMOTO ZA MAISHA ZILIVYOMPOTEZA

DAZ Baba ni miongoni mwa majina yaliyotikisa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva mwanzoni mwa miaka ya 2000. Jina...

READ MORE

Wema, Riyama Wawaumbua Washakunaku!

WAKATI habari zikienea mitandaoni na mitaani kwamba mastaa wawili wa filamu, Wema Isaac Sepetu na Riyama Ally wako kwenye bifu,...

READ MORE

Moni Awaka Kisa Kiki

RAPA anayefanya vizuri kwa sasa kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo, Awadhi Mtezo ‘Moni Central Zone’, amewaka kisa...

READ MORE

Diamond Mbaroni Kwa Kusambaza Picha Chafu, Nandy Asakwa – Video

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, amesema kuna baadhi ya wasanii ambao walianza kufanya uhuni ndani...

READ MORE

SAUZ HAKUNA ‘KIBA WALA DIAMOND’ – 2

UNAPOZUNGUMZIA muziki kwa nchi ya Afrika Kusini upo tofauti, kila msanii anakubalika kutokana na jiji analotoka tofauti kabisa na Tanzania...

READ MORE

Country Boy: Bila Bifu Hakuna Muziki

RAPA Ibrahim Mandingo anayefahamika zaidi kwa jina la ‘Country Boy’, amefunguka kwamba bila wanamuziki kuwa na bifu hakuna msisimko kwenye...

READ MORE

Mke wa Rommy Afunguka Mumewe Kumtongoza Najma!

WIKIENDI iliyopita, mume wa mtu, Romeo Jones ‘Rommy’ ambaye ni kaka na DJ wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

SAUZ HAKUNA ‘KIBA WALA DIAMOND’

NDANI ya Jiji la Johan-nesburg, Afrika Kusini au Sauz hali ya hewa inasoma nyuzi joto 13, baridi ni kali sana...

READ MORE