×

Burudani

Kiba Atangaza Bonge la Tour

MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ametangaza rasmi kuanza tour yake ambayo ameipa jina la #OnlyOneKingTour ambapo tour hiyo...

READ MORE

Rais Samia: Muulizeni Marioo ‘Kwa Nini Hanywi Bia’

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amesmifia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo kutokana...

READ MORE

Rais Samia: Konde Boy Kweli ni Tembo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amesmifia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize kutokana...

READ MORE

Ligi Ya Mabingwa Na Europa Kuendelea Wiki Hii

Wiki hii tunarejea kwenye muendelezo wa michezo ya Ligi ya Mabingwa na Europa barani Ulaya. Ni burudani ya soka ngazi...

READ MORE

Bieber Aagizwa Kufuta Tamasha Lake Saudi Arabia

MCHUMBA wa mwanahabari aliyeuawa Jamal Khashoggi amemtaka Justin Bieber kufuta tamasha lake lijalo nchini Saudi Arabia mwezi ujao.   Mwimbaji...

READ MORE

Mondi, Harmo Kikaangoni Skendo Dawa za Kulevya

NGOMA nzito! Wasanii wawili wakubwa nchini Tanzania, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Rajabu Abdul au Harmonize wapo kikaangoni baada...

READ MORE

Kufuru! Diamond Amwaga Dola Kwa Aristote – Video

 STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo Novemba 21, 2021 ametoa zawadi ya zaidi...

READ MORE

Coletha: Mume wangu Mzungu

MWIGIZAJI wa kitambo wa Bongo Movies tangu enzi za Kaole, Coletha Raymond amemwaga sifa kama zote kwa mumewe kwamba ni...

READ MORE

Mama Dangote: Nafurahi Kuona Diamond na Watoto Wake

MAMA mzazi wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz, Sanura Kassim anasema kuwa, anafurahi mno...

READ MORE

Burna Boy Amposti Harmonize

Miongoni mwa stori zinazotrendi ni kitendo cha staa wa muziki wa Nigeria, Burna Boy kumposti msanii wa Bongo Fleva, Harmonize...

READ MORE

Maua Sama – Baba Jeni (Official Music)

 STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama Novemba 19, 2020 ameachia wimbo wake mpya wa ‘Baba Jeni’.

READ MORE

Mac Voice: Nilijiona Kama Ninaota Kusainiwa na Rayvanny

“Mmmh siri ya mwezi… Siri ya nyota, siri ya angani… Siri ya njozi usingizi… Siri ya kitandani… Ila siri ya...

READ MORE

Pablo Awasoma Ruvu Shooting Kwa Video

HUKU wakijipanga na mchezo wa leo Ijumaa dhidi ya Ruvu Shooting kocha mkuu wa Simba, Pablo Franco amefichua kuwa ameisoma...

READ MORE

Diana: Sitaki Tena Maisha ya Bongo Movies

MWIGIZAJI wa kike kunako Bongo Movies ambaye kwa sasa amehamishia maskani yake nchini Marekani, Diana Kimari anasema kuwa, anamshukuru Mungu...

READ MORE

Epl, Serie A, Bundesliga Na La Liga Kuendelea Wikiendi Hii

Baadhi ya mataifa yameshajihakikishia kucheza Kombe la Dunia mwakani. Wengine, wataendelea kujitafuta mwezi Machi mwakani. Ligi Soka barani Ulaya kuendelea...

READ MORE

Harmonize: Diamond Alisema Simuwezi Kihela, Serikali, Kiuchawi – Video

MWANAMUZIKI Harmonize, jana Alhamisi, Novemba 18, 2021 amerejea nchini akitokea Marekani alipokwenda kufanya shoo zake baada ya kutua nchini ameongea...

READ MORE

Harmonize: Ukianza Ku-Shine Lazima Ugombane Na Diamond

MWANAMUZIKI Harmonize, leo Alhamisi, Novemba 18, 2021 amerejea nchini akitokea Marekani alipokwenda kufanya shoo zake baada ya kutua nchini amezungumza...

READ MORE

Harmonize: Mama Dangote Alikuwa Ananichora Tu!

MWANAMUZIKI Harmonize leo Novemba 18, 2021 amemfungukia mama mzazi wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Sanura Kassim,...

READ MORE

Harmonize Atua Bongo, Amlipua Diamond, Aanika Ukweli -Video

MWANAMUZIKI Harmonize, leo Alhamisi, Novemba 18, 2021 amerejea nchini akitokea Marekani alipokwenda kufanya shoo zake baada ya kutua nchini amezungumza...

READ MORE

Harmonize Apewa Cheo cha Fidel Castro

MWIMBAJI wa Mduara, AT amedai kuwa, msanii wa Bongo Fleva, Harmonize au Konde Boy Mjeshi ni sawa na Fidel Castro...

READ MORE

Expanse Studio ya Meridianbet  Kutamba Maonesho ya SIGMA 2021 Ulaya –Malta!

Expanse studio wanatarajia kuonesha ubora wa bidhaa zao kwenye maonesho ya michezo ya mtandaoni makubwa zaidi duniani ya 2021 SIGMA...

READ MORE

Jack Patrick Kuwataja Wauza Unga Bongo?

BAADA ya kufanikiwa kuyachomoka maisha ya jela aliyosota nayo kwa miaka takriban 7, msanii wa Bongo, Jacqueline Fitzpatrick ‘Jack Patrick’...

READ MORE

Letitia wa Black Panther Agomea Chanjo ya Covid-19

Watayarishaji wa filamu ya Black Panther wamemteua Winston Duke kuigiza nafasi ya Black Panther kama ile ya marehemu Chadwick Boseman...

READ MORE

Tanasha Akwaa Skendo Nzito

MADAI mazito ambayo yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii yanadai kwamba, baby mama wa Diamond Platnumz, Tanasha Donna amekwaa skendo nzito...

READ MORE

Video: Mwanamuziki Anayeimba Taarabu Ya Gospo Aibuka, Afunguka!

 Muimbaji wa Injili, Juvenalister Mabumba amewashangaza watu kwa namna ya uimbaji wake wa kumtukuza Mungu na watu wengi wamekuwa...

READ MORE

Jack Cliff Atoka Jela Baada ya Kutumikia Kifungo China

Hatimaye model maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Cliff’ ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka nane jela Macao...

READ MORE

Wolper: Hata Nikimfumania Baba Mtoto Simuachi

KUNA stori ambazo zimekuwa zikisambaa zikidai kwamba, baba mtoto wa mwigizaji wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper aitwaye Rich Mitindo eti...

READ MORE

Harmonize Atamba: Hakuna Msanii wa Kunifikia Bongo

SUPASTAA wa Bongo Fleva, namzungumzia CEO wa Konde Gang, Harmonize amewatolea uvivu wanaojaribu kumlinganisha yeye na wasanii wengine kwenye industry...

READ MORE

Walezi wa Wana Wajengewe Sanamu

MUZIKI wa Bongo Fleva unatajwa kuongoza kwa kuwa na mashabiki wengi kwa sasa nchini. Kupitia fani hii, vijana wengi wamejiajiri...

READ MORE

Nandy Adatisha Uzinduzi wa Guinness Smooth Kanda ya Nyanda za Juu Kusini

      MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Faustina Mfinanga maarufu Nandy ambaye pia ni balozi wa bia...

READ MORE

Mastaa wa Bongo Fleva, Dansi, Kukiwasha Tamasha la Biriani Festival na Coca Cola Kwanza

    MASTAA wa Bongo Fleva na dansi wanatarajiwa kukiwasha kwa pamoja kwenye tamasha la Biriani Festival lililoandaliwa na Kampuni...

READ MORE

MAC VOICE: Nilijiona Kama Ninaota Kusainiwa na Rayvanny

“Mmmh siri ya mwezi…Siri ya nyota, siri ya angani…Siri ya njozi usingizi…Siri ya kitandani…Ila siri ya penzi, siri ya moyo…Siri...

READ MORE

Meridian Gaming Group Katika Mapambano Dhidi Ya Covid – 19

  Tangu mwanzo wa janga la COVID-19, kampuni zote za Meridian Gaming Group zimekuwa zikifanya jitihada za makusudi katika kuzisaidia...

READ MORE

Kusah: Aunt Ezekiel Ameibeba Roho Yangu

MSANII wa Bongo Fleva, Salmin Hoza almaarufu Kusah anasema kuwa, kwa maisha yake ambayo ameyaishi yapata miaka miwili sasa na...

READ MORE

Malkia Karen: Baba wa Mtoto Mnampa Ninyi?

MSANII wa kike wa Bongo Fleva, Careen Gardner almaarufu Malkia Karen anasema kuwa, anawashangaa mno watu wanaompangia mtoto wake baba,...

READ MORE

Mataifa Kuzisaka Tiketi Za Kucheza Kombe La Dunia 2022

Timu za Taifa kuendelea na michezo ya kufuzu mashindano ya Kombe la Dunia 2022. Mashirikisho ya soka kwenye mabara yote...

READ MORE

Abby Cool Afungukia Shindano la Mfalme wa Rhymes, Alivyokutana na Shigongo – Video

KATIKA kipindi cha ‘KATAMBUGA’ leo Novemba 10, amesikika  mdau mkongwe wa muziki, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ ambaye ni Meneja Mkuu...

READ MORE

Rayvanny Atangaza Tamasha la Mac Voice

STAA wa muziki kutoka WCB Wasafi, Raymond Shaban maarufu kama Rayvanny ameweka wazi taarifa za ujio wa ziara ya tamasha...

READ MORE

Mbosso ft Zuchu – For Your Love (Galagala) Music Video

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mbosso ameachia video yake ya wimbo wake mpya wa For Your Love (Galagala)...

READ MORE

Maud Elka feat Alikiba – Songi Songi Remix (Official Video)

 Msanii kutokea Congo Maud Elka ameachia remix ya wimbo wake “Songi Songi” akiwa amemshirikisha Alikiba.

READ MORE