×

Burudani

Diamond Anyakua Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume AFRIMMA

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Africa Mashariki katika sherehe za...

READ MORE

Nandy Anyakua Tuzo ya Msanii Bora wa Kike AFRIMMA

Tuzo ya pili ya #AFRIMMA2021 (African Muzik Magazine Awards) msimu wa 8 imetua ndani ya ardhi ya Tanzania kufuatia mwanadada...

READ MORE

Nyashinski Afunga Ndoa

MWANAMUZIKI Nyamari Ongegu maarufu Nyashinski amefunga ndoa na mpenzi wake Zia Bett katika hafla ya faragha iliyofanyika mapema jana Desemba...

READ MORE

Mobeto Ajibu Kumkomoa Diamond

MWANAMITINDO wa kimataifa na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto amejibu madai kwamba amekuwa akionekana na mastaa wakubwa duniani kwa...

READ MORE

Kuanzia Madrid Hadi Uingereza, Burudani Na Ushindi

Wikiendi bomba kabisa ya ushindi inaanzia kule Hispania, kwenye dabi ya Madrid, wakati Real Madrid anapovaana na Atletico Madrid. Hii...

READ MORE

Kiba: Harmonize Sio Rafiki Yangu, Siijui Dini ya Diamond

NYOTA kutoka nchini Tanzania , Ali Kiba amewasili Kenya kwa ajili ya tamasha lake la ‘Only One King’ litakalofanyika Naivasha...

READ MORE

Mzunguko Wa Sita Hatua Ya Makundi Ya Ligi Ya Mabingwa Kumalizika Wiki Hii

Baadhi ya timu zimeshafuzu hatua ya Mtoano kunako Ligi ya Mabingwa, zingine, bado zinajitafuta na michezo ya mwisho itaamua. Wiki...

READ MORE

Zuchu Amtunishia Misuli Diamond

JANUARI 30, mwaka huu msanii kutoka kiwanda cha Bongo Fleva, Zuchu aliachia wimbo wake wa SUKARI, ndani ya miezi 10...

READ MORE

Vanessa Apigwa Tukio Kama Zuchu

MWANAMAMA aliyetundika daruga kunako Bongo Fleva, Vanessa Mdee au V-Money anawatahadharisha wasanii Bongo juu ya kukubali kutumika vibaya na kupigwa...

READ MORE

Hawa Ndiyo Wakongwe Waliofanya Albam Nyingi Zaidi Bongo

MIAKA ya nyuma mafanikio ya msanii ilikuwa ni kuwa na album ambayo ilikuwa kama utambulisho wa msanii katika kazi zake....

READ MORE

Tamaa Maisha Ya Kifahari… Mastaa, Watoto wa Mjini Wasota Magereza kwa Unga

MORINE Amatusi Liyumba ni binti mrembo wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu...

READ MORE

Snura atoboa siri ugomvi na Shilole

MWANAMAMA anayefanya vizuri kunako muziki wa Singeli Bongo, Snura Mushi ametoboa siri ya ugomvi wake na msanii mwenzake, Zuwena Mohammed...

READ MORE

Uwoya: Ukiingia Anga Zangu Huchomoki

MWANAMAMA mkali wa Bongo Movies, Irene Uwoya anasema kuwa, kutokana na kujua kulihimili jiko vizuri ni ngumu hata anapopata mpenzi...

READ MORE

Jela Miaka Mitano kwa Kuuza Albamu ya Alikiba Mtaani

Ofisa Mtendaji Mkuu na msimamizi wa hatimiliki kutoka Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Doreen Anthony Sinare amekemea vikali watu wanaouza...

READ MORE

Zuchu: Diamond Alinipata Nikiwa Masikini

MSANII wa Bongo Fleva, Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajiliwa katika Lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa Bongo,...

READ MORE

Rihana Kuhusu Ujauzito: Kila Mwaka Mnanizalilisha

KUFUATIA kuzuka kwa tetesi katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari nchini Marekani kuwa msanii maarufu nchini...

READ MORE

Ni Super Weekend Kunako Soka Barani Ulaya. Bundesliga, Serie A Na Epl Kimeumana

Baadhi ya mitanange ya kibabe kuchezwa kwenye ulimwengu wa kandanda wikiendi hii. Ni Super Weekend ya kibabe sana viwanjani. Mchongo...

READ MORE

Lava Lava Iwe Funzo Kwake na Wengine

MWAKA 2017 ndipo Lava Lava alianza kusikika kupitia ngoma zake akiwa kwenye lebo kubwa ya muziki Bongo ya Wasafi Classic...

READ MORE

Snura Atoboa Siri Ugomvi na Shilole

MWANAMAMA anayefanya vizuri kunako muziki wa Singeli Bongo, Snura Mushi ametoboa siri ya ugomvi wake na msanii mwenzake, Zuwena Mohammed...

READ MORE

Kumbe Nandy Yupo Kwenye Tuzo za Grammy

HII ni hatua nyingine kubwa kwa msanii Nandy kwenye safari ya kuelekea katika Tuzo za Grammy siku za usoni. Hii...

READ MORE

Marioo Hataki Kupoa

WAKATI bado ngoma yake ya Bia Tamu ikiendelea kupenya kwenye masikio ya wengi na kusababisha vaibu kama lote, msanii Marioo...

READ MORE

Tanzania Kutoshiriki Miss World 2021, Sababu ni Hizi

WAKATI zikiwa zimebaki siku kumi kufanyika kwa mashindano ya Miss World, mwakilishi wa Tanzania Juliana Rugamisa hatoweza kwenda sababu zikitajwa...

READ MORE

Nay wa Mitego Kimeumana Huko

TAYARI kimeumana huko! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya video ya Wimbo wa Acha Niongee wa Nay wa Mitego kufutwa kwenye...

READ MORE

Harmo Atahimili Visanga Alivyofanyiwa Kiba?

MIMI binafsi ni binadamu ambaye nikifika mwisho au nikisema inatosha, jua ama zako au zangu. Hakuna suluhu. Tafuta chaka lako...

READ MORE

Stamina Aachia Albamu ya Pili ‘Paradiso’

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Boniventure Kabogo (Stamina), ameachia album yake ya pili aliyoipa jina la Paradiso ambayo...

READ MORE

Snura Atambulisha EP Yake ya Jini, Amkataa Shilole

MALKIA wa Muziki wa Singeli Snura Mushi a.k.a Snura Majanga ameweka wazi kuwa bado hatamani wala kufikiria kumshirikisha Msanii mwenzake...

READ MORE

Mdundo Yazindua Shindano la Ma-DJ 2021

KAMPUNI inayoongoza kwa huduma mtandaoni Barani Afrika ya Mdundo, imezindua shindano la Ma-DJ, lenye lengo la kutoa fursa kwa Ma-DJ...

READ MORE

Epl, Championship Na Nba Kuendelea Kutoa Burudani Wiki Hii

Mwezi Disemba unaanza kwa burudani za kibingwa. Kuanzia NBA, Ligi Soka nchini Uingereza (EPL) na kule kwenye Championship, ni vitasa...

READ MORE

Wizkid Msanii Bora Apple Music

Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ametangazwa kuwa msanii bora wa mwaka barani Afrika ‘Apple Music Artist of the...

READ MORE

Chid Beenz Aachia Album Yake Mpya

Album mpya ya rapa Chid Beenz inayokwenda kwa jina la W2 WANGU imetoka rasmi na sasa inapatikana kupitia majukwaa mbalimbali...

READ MORE

Burna Boy Ampongeza Wiz Kid Kwa Show Yake UK

Msanii Burna Boy hakuacha hili lipite kwakuwa yeye pia ni miongoni mwa waliovutiwa na show kali aliyoifanya msanii mwenzake toka...

READ MORE

Mobeto: Msijikanyage Siko Singo

MWANAMAMA ambaye ni msanii wa Bongo Fleva na mwanamitindo wa kimataifa, Hamisa Hassan Mobeto anasema kuwa, yupo bize na mambo...

READ MORE

Fahyma, Paula Mwisho wa Ubishi

WAREMBO wawili maarufu Bongo wanaozungumzwa zaidi juu ya ni nani anayejua kuvaa kuliko mwingine, Fahyma na Paula Kajala; ubishi huo...

READ MORE

Masha Love: Sijafanya Sajari Wala Nini

MWANAMAMA Masha Love ambaye amejizolea umaarufu mkubwa Bongo kutokana na matiti yake kwa kuyaachia wazi bila kuyavalia kitu ndani, ameweka...

READ MORE

Kanye West Alilia Ndoa na Kim Kardashian

  RAPA maarufu duniani kutoka pande za Marekani Kanye West amekiri kuwa alifanya makosa katika ndoa yake na Kim Kardashian...

READ MORE

Harmo wa Jana Siyo Huyu wa Leo

Ni zaidi ya miaka mitano tangu Harmonize atambulike rasmi kwenye Bongo Fleva. Ngoma iliyomtoa ni Aiyola iliyotoka siku ile ya...

READ MORE

Mwasiti Featuring Dogo Janja – Ameniwahi (Official Video)

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Mwasiti ameachia video ya wimbo wake mpya Ameniwahi ..

READ MORE

Orodha Kamili Mastaa Wanaowania tuzo za Grammy 2022

Orodha kamili ya wasanii walioteuliwa kuwania Tuzo za 64 za Grammy imetangazwa. Ni mastaa gani wamefanikiwa kupata uteuzi wa tuzo...

READ MORE

Lynn: Fahyma, Rayvanny Hawajaachana

VIDEO vixen na msanii wa Bongo Fleva, Official Lyyn ni rafiki au shogale mkubwa wa baby mama wa Rayvanny, Fahyma...

READ MORE

King Kiba Akimbiza Mwizi Kimyakimya

MFALME wa Bongo Fleva, King Kiba anakimbiza mwizi kimyakimya baada ya kufikisha jumla ya streams milioni 28.3 kupitia nyimbo zake...

READ MORE