×

Celebrities

Mashabiki Walivyomvamia DIAMOND Hotelini Mwanza – Video

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, na crew nzima ya wasanii watakaopafomu leo kwenye Tamasha la Wasafi Festival wamewasili jana...

READ MORE

Ugeni Mpya Umewasili Kwa Remy Ma na Papoose

  Mahusiano ya muda mrefu ya rapa wa kike Remy Ma na mume wake Papoose, yamefanikiwa kuwaonyesha furaha waliokuwa wakiitaka...

READ MORE

Ushauri wa BELLA kwa DIAMOND Kuhusu Wasafi Festival – Video

Msanii nguli wa muziki wa dansi nchini, Christian Bella, amemshauri mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, na menejiment yake kiujumla...

READ MORE

Mkuu wa Chuo Kutekwa Mwanza, MKE Asimulia, Inasikitisha – Video

KUFUATIA tukio la kutekwa kwa, Mkuu wa Chuo cha Nyakato Islamic Institute kilichopo chini ya Taasisi ya Elimu ya The...

READ MORE

MWANZA: WASAFI WAANGUSHA BONGE LA PARTY, DUDU BAYA AIBUKA NA KIFAA

Kundi la Wasafi Classic Baby (WCB) katika kuonesha wameikamia shoo yao ya Wasafi Festival inayotarajiwa kufanyika leo Jumamosi usiku wa...

READ MORE

NIKKI WA PILI AELEZA ALIVYOKUTANA NA MCHUMBA’KE

MKALI wa Hip Hop Bongo kutoka Kundi la Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ ameeleza alivyokutana na mchumba’ke anayetarajia kumuoa...

READ MORE

MBASHA AELEZA ANAVYOTEKETEZA PESA KWENYE SUTI

MUIMBA Injili Bongo, Emmanuel Mbasha ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha Hizo Habari Mbaya Sizitaki, baada ya kuonekana...

READ MORE

SIKIA MAPYA YA ZARI, MOND KUHUSU NDOA

DAR ES SALAAM: Tambo! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa ‘zilipendwa’; Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ na Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

WEMA AMKA, JIPANGUSE NA UKIMBIE!

TANGU ametwaa taji la Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Abraham Sepetu, hajawahi kuchuja. Nyota yake ilianza kung’ara tangu aliposhiriki mashindano...

READ MORE

TATHMINI UHUSIANO WAKO, 2018 UNAKUACHAJE, 2019 UNAINGIAJE?

ZIMEBAKI wiki chache kabla ya kuuaga mwaka 2018 na kuingia Mwaka Mpya wa 2019! Ni suala la kila mmoja wetu...

READ MORE

LULU DIVA AAHIDI NDOA, MTOTO 2019

MWANAMUZIKI na mwigizaji wa filamu Bongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ameweka ‘pleini’ kuwa lazima mwaka unaokuja na yeye ajikwamue kwa...

READ MORE

SIRI YA VIPOCHI VYA WASANII WA WCB NI HII

WASANII wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) wamekuwa wakionekana sehemu mbalimbali wakiwa na vipochi kiunoni huku mashabiki wao wakihoji,...

READ MORE

TANASHA WA DIAMOND ALIAMSHA DUDE!

MAMBO ni moto! Baada ya hivi karibuni mrembo kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna Barbieri Okech ‘Zahara Zaire’ kuahidiwa ndoa na...

READ MORE

Wasanii 7 Toka Bongo Wametajwa Kwenye Tuzo za Soundcity/ Wasanii 3 Toka WCB

Kituo kikubwa cha televisheni ‘Soundcity’ toka Nigeria kimetangaza wasanii ambao watagombea tuzo za Soundcity MVP kwa mwaka 2018.   List...

READ MORE

MASTAA WAPENDANAO WALIOMWAGANA 2018

TUKIWA tumesalia na siku 19 mkononi tuumalize mwaka huu 2018, yapo mengi yametokea kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo.   Kuna...

READ MORE

SHILOLE Afunguka! Mjengo Wake Mpya “Nina Tattoo 17” – Video

Msanii wa Bongo Fleva na mjasiriamali Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole au ‘Shishi Baby’ baada ya kupata dili nono la...

READ MORE

BABA AMPA OMBI MAALUM DIAMOND

Baba wa Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa ametoa ombi kwa mtoto wake baada ya kutangaza...

READ MORE

MAMA AIBUKA NA MAPYA YA WEMA

DAR ES SALAAM: Baada ya mwanaye kukaa kimya kwa muda mrefu, mama mzazi wa muigizaji Wema Sepetu, Miriam Sepetu ameibuka...

READ MORE

TUNDA: SIONI TATIZO KUMPOST CASTO !

BAADA ya penzi lao kuvunjika na kila mtu kushika hamsini zake, kwa mara ya kwanza mrembo anayenogesha video za wasanii...

READ MORE

Hollystar Achora Tattoo Makalioni, Sister Fey Hoi! – BEAUTY & STYLES

Katika kipindi cha Beauty & Styles wiki hii tumefanya na Wanamuziki wa Bongo Fleva ambao pia ni Wanandoa waliojaa vituo...

READ MORE

KUAZIMWA NGUO NA LINAH, NAI ATOA POVU

BAADA ya kunangwa kwamba ameazima nguo kwa mwanamuziki, Esterlina Sanga ‘Linah’, muuza nyago kwenye video mbalimbali za wasanii wa muziki...

READ MORE

VANESSA AJIBU ISHU YA KUMWAGANA NA JUX

MWANADADA anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ kwa mara ya kwanza ameibuka na kufunguka kuhusu...

READ MORE

EXCLUSIVE YA YA ALIKIBA ATAKACHOFANYA KABLA YA KUFUNGA MWAKA

STAA wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba a.k.a Alikiba ameweka wazi kuwa Desemba 29, 2018 ataachia nyimbo zake mbili na...

READ MORE

DIDA: HABARI ZA NDOA TUPA KULE

LICHA ya kusifika kwa kuwa na bahati ya kuolewa mara nyingi, mtangazaji maarufu wa Redio Times, Khadija Shahibu ‘Dida’ amefunguka...

READ MORE

KONKI MASTER ALAINIKA KWA GIGY MONEY

AMA kweli hakuna mkate mgumu mbele ya kikombe cha chai ya rangi! Ndivyo ilivyo kwa mahaba kwani ukipatikana ni lazima...

READ MORE

ROSE MUHANDO AIANGUKIA SERIKALI

BADO afya ya mwimbaji maarufu wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando ni tete ambapo ameiangukia serikali imsaidie ili aweze...

READ MORE

WASAFI FESTIVAL: KILICHOMKUTA DIAMOND SUMBAWANGA, HATOSAHAU

NI hekaheka! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekiona cha moto baada ya kundi la vijana kumvamia, kumzonga...

READ MORE

MIMBA YA SARAH WA HARMONIZE ILIVYOYEYUKA

MSHTUKO! Ile mimba iliyokuwa inawanyima usingizi wengi ya mchumba wa msanii wa Bongo Fleva anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby...

READ MORE

HUYU NDIYE MPENZI MPYA WA NICKI MINAJ, BYE BYE MEEK MILL (PICHA)

Rapa wa kike Nicki Minaj ametumia  ukurasa wake wa Instagram kumtambulisha mpenzi wake mpya, Keneth Petty Mwenye umri wa miaka...

READ MORE

UNYAMA WA MEEK MILL KWENYE MAUZO YA WEEK YA KWANZA YA ALBUM YAKE

Album ya Meek Mill Championshops ilitoka November 29 na kwa muda wa week ya kwanza kukatika, album hiyo tayari imeshauza...

READ MORE

DJ KHALED, MCHUMBA’KE WAANGUSHA BETHIDEI YA KUFA MTU!

DJ Khaled  na mchumba wake,  Nicole Tuck, wiki iliyopita waliadhimisha siku zao za kuzaliwa kwa kishindo kikubwa kilichojumuisha saa za mkononi za...

READ MORE

SHILOLE ATAJA SIRI YA MAFANIKIO

Zuwena Mohammed ‘Shilole’ KUDORORA kwa fani za filamu na muziki nchini kumezidi kuwaongezea akili baadhi ya wasanii kwa kujiongeza na...

READ MORE

IDRIS SULTAN APATA DILI NONO SAUZ

MSHINDI wa Big Brother Afrika 2014 na mchekeshaji, Idris Sultan amealikwa kuhudhuria tamasha kubwa la  Komedi lililoandaliwa na Comedy Central,...

READ MORE

UJUMBE WA BASATA KWA DIAMOND ALICHOKIFANYA SUMBAWANGA

  Baraza la sanaa Taifa (BASATA) limechukua uamuzi wa kumpongeza msanii wa muziki nchini Tanzania Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa...

READ MORE

AMBER RUTTY ATINGA KISUTU NA MCHUNGAJI

Msanii Nascat Abubakar ‘Amber Rutty’ na mpenzi wake Said Mtopari, wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, Desemba 10, 2018 kwa...

READ MORE

WASANII VIJANA MATAJIRI BONGO

TANZANIA ina vijana waliojaliwa vipaji vikubwa mno na laiti kama wangepata sapoti zaidi ya hapa walipo, basi wangekuwa mbali mno...

READ MORE

Mtanzania Atunukiwa Ushindi wa Mr Albino Afrika Mashariki 2018

MTANZANIA Emmanuel Silas Shedrack (20) ametawazwa Mr Albino katika mashindano ya uzuri na mvuto yaliyoshirikisha maalbino wanawake na wanaume kutoka...

READ MORE

RAPA OFFSET AMLILIA CARDI B BAADA YA KUACHWA (VIDEO)

Rapa Offset toka kundi la Migos amemlilia aliyekuwa mke wake Cardi B baada ya mwanadada huyo kutangaza kwamba ameamua kuachana...

READ MORE

DARASSA ARUDI TENA UPYA,KUNA NINI? (VIDEO)

  Rapa Darassa CMG aliyefanya vizuri na nyimbo zake ikiwemo Kama utanipenda, Muziki, Too much na nyinginezo amerudi tena upya...

READ MORE

UWOYA AAPA KUTOOLEWA TENA!

KIAPO! Mkali wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameapa mbele ya Gazeti la Ijumaa Wikienda kwamba hataki tena kusikia kitu...

READ MORE