×

Celebrities

STEVE NYERERE FUNGA ZIPU

‘STEVE Nyerere funga zipu kaka unaaibika’! Ndivyo walivyosikika baadhi ya mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva waliofurika kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Diamond: WASAFI FESTIVAL Kurudiwa Bure leo Sumbawanga – Video

 Tamasha la Wasafi Festival lililokuwa likifanyika jana (Jumamosi) usiku limeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha na hivyo kushindwa kuendelea....

READ MORE

BABU SEYA AIBULIWA MAFICHONI

DAR ES SALAAM: ALIPOFUNGWA kifungo cha maisha kwa kosa la ubakaji na ulawiti, mwanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ mali zake...

READ MORE

Grammy Imetoa Orodha Kamili Ya Wagombea Tuzo Hizo Kwa Mwaka 2019

Waandaaji wa tuzo za Grammy wametoa orodha kamili ya washiriki wanaogombea tuzo hizo za 61 kwa mwaka 2019.   Rapa...

READ MORE

DIAMOND APEWA SHULE SUMBAWANGA – VIDEO

Msanii Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameweka jiwe la msingi na kukabidhiwa Shule ya Senti ambayo wamemuomba...

READ MORE

TUNDA AJIPANGA KURUDI SHULE

MREMBO aliyejipatia umaarufu kupitia video za wasanii mbalimbali pamoja na matukio kwenye mitandao ya kijamii, Anna Kimario ‘Tunda’ ameeleza kuwa,...

READ MORE

Wazee wa Kimila SUMBAWANGA Wamfanyia Tambiko Diamond – Video

  STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama ‘Diamond Platnumz’ amefanyiwa tambiko la ulinzi na wazee wa kimila wa...

READ MORE

KIBA, MCHUMBA WA MONDI WAIBUA GUMZO

 DAR ES SALAAM: Habari ‘hot’ kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo ni kuhusu msanii wa muziki Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz...

READ MORE

DIANA AJIGANDISHA KWA WEMA

BAADA ya kudaiwa kuwa msanii wa Bongo Muvi, Diana Kimari ni kati ya marafiki wa Wema Sepetu waliotakiwa kuwa mbali...

READ MORE

HII NDIYO ORODHA YA WACHEKESHAJI WAKALI BONGO

KATIKA tasnia ya vichekesho Bongo, kuna vijana wanafanya vizuri mno. Vijana hawa wamekuwa wakionesha vipaji vikubwa na laiti kama tasnia...

READ MORE

IYOBO ASISITIZA; SEMENI YOTE, NAMUOA AUNT

DANSA maarufu anayepiga mzigo na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Moses Iyobo ameweka wazi kuwa hawezi kusikiliza maneno ya...

READ MORE

MAMA D AWAKA ISHU YA KUMUIGA MOBETO

MAMA wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Sanura Kassim ‘Mama D’ amegeuka mbogo baada ya kuambiwa kuwa amemuiga aliyekuwa mkwewe,...

READ MORE

MTOTO WA PAPII, UTATA WAIBUKA!

DAR ES SALAAM: Wabongo sio watu wazuri kabisa! Siku chache baada ya msanii wa Muziki wa Dansi, Johnson Nguza ‘Papii...

READ MORE

MSHTUKO: UTAJIRI WA GHAFLA WA MSANII BONGO MUVI WASHTUA!

MSANII wa Bongo Muvi wa ‘long time’, Gladys Chiduo ‘MC Zipompa’ ambaye hivi karibuni amebadili jina na kutaka aitwe Madam...

READ MORE

DIAMOND ATUA SUMBAWANGA KWA NDEGE, MAPOKEZI YAKE BALAA! (VIDEO & PICHA)

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platniumz na crew yake ya kutoka Lebo ya Wasafi leo wamewasili mjini Sumbawanga kwa ajili...

READ MORE

MASTAA WANAORUDISHA WALICHOKIPATA KWA JAMII

WASWAHILI wanasema, “kutoa ni moyo si utajiri”. Hiyo humaanisha kwamba si kila anayetoa msaada kwa jamii ana fedha nyingi sana...

READ MORE

UKIMYA WA MIAKA 8 WA ICE CUBE UMEILETA ALBUM YAKE MPYA LEO

Rapa na muigizaji maarufu O’Shea Jackson Sr kwa jina maarufu Ice Cube amevunja ukimya wake wa miaka nane baada ya...

READ MORE

HUU NDIYO UKWELI UWOYA KUPORA MUME WA MTU

DAR ES SALAAM: Ile skendo kabambe iliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya...

READ MORE

FAHYMA, RAYVANNY WAFUNGA NDOA YA SIRI

MAMA mtoto wa mkali wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’ Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ‘Mama Jayden’...

READ MORE

BELLA, FIRST CLASS KUKINUKISHA KRISMAS HII

KAMA ulikuwa ukijiuliza sikukuu hii ya Krismas huende wapi jibu simpo tu. Uwanja wa Kimataifa wa Burudani, Dar Live unatarajia...

READ MORE

GIGY AIBARIKI NDOA YA MZAZI MWENZAKE

BAADA ya kumwagana na kila mtu kushika hamsini zake, hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibariki ndoa...

READ MORE

BAADA YA KUSHINDA TUZO… CALISAH ATOA YA MOYONI

BAADA ya kufanikiwa kuiwakilisha vyema Tanzania na kuwa mshindi wa Mr Africa International 2018, huko nchini Nigeria mwanamitindo, Calisah Abdulhamiid...

READ MORE

VIDEO YA HARMONIZE & SARA MAHABA LIVE, WOLPER TABU IKO PALEPALE

Msanii kutoka WCB,  Harmonize na mpenzi wake Sarah (Mzungu) wameachia kipande cha video inayowaonyesha wakicheza kwa mahaba wimbo mpya wa ‘Paranawe‘...

READ MORE

Miss Tanzania Akimbiza Shindano la Miss World, Mpigie Kura Hapa

Zikiwa  zimebaki siku mbili ili kufanyika kwa kilele cha shindano la urembo la dunia (Miss World), mwakilishi wa Tanzania, Queen Elizabeth...

READ MORE

WACHUNGAJI MATAJIRI BONGO HAWA HAPA

WATUMishi wa Mungu wakiwemo maaskofu, manabii, wachungaji na walimu wa neno la Mungu wapo vizuri na lile neno wanalolihubiri kwamba,...

READ MORE

MABODIGADI… DIAMOND ANAWAFUNIKA JAY Z, DRAKE ?

KUJITENGEN­EZEA hesh­ima kwa watu maarufu ni jambo lenye umuhimu mkubwa. Ndio maana zamani tulikuwa tunaona baadhi ya wasanii Bongo wa­najaribu...

READ MORE

SHEHE MKUU AMFUNGUKIA IRENE UWOYA

DAR ES SALAAM: Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa amemfungukia Msanii wa Filamu za Kibongo, Irene Uwoya baada ya kutangaza...

READ MORE

DHAMANA YA AMBER RUTTY MCHEZO UKO HIVI

 DAR ES SALAAM: Baada ya dhamana ya msanii Nascat Abubakar ‘Amber Rutty’ kuibua sintofahamu kwa baadhi ya watu, Amani linakudadavulia...

READ MORE

ROSTAM: TUNAKESHA TUKIFUNGA JUMLA JUMLA

WAKALI wawili wasioshikika kwenye Muziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki pamoja na Stamina wanaounda Kundi la Rostam wamesema kuwa,...

READ MORE

MCHUMBA WA MOND ACHAFUKA UKWENI

BAADA ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutangaza tarehe ya kumuoa mrembo shombeshombe wa Mombasa nchini Kenya,...

READ MORE

LICHA YA MKWARA WA BASATA… GIGY SIKIO LA KUFA – VIDEO

LICHA ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kukemea wasanii kila kukicha kuacha kukaa nusu utupu, staa wa muziki wa...

READ MORE

RASMI : CARDI B ATANGAZA KUACHANA NA OFFSET WA MIGOS (VIDEO)

Rapa wa kike Cardi B ametangaza kuachana na mzazi mwenzake, ‘Offset’  anayeliunda kundi la Migos siku ya jumanne Disemba 5....

READ MORE

DOGO JANJA AMPA MAMA YAKE ZAWADI YA MAMILIONI (PICHA)

Msanii Dogo Janja amemzawadia zawadi ya bei ghali mama yake mzazi toka arusha, ikiwa ni miaka miwili imepita tangu baba...

READ MORE

WAJUE WANAMUZIKI NA WALIOSIKILIZWA ZAIDI MWAKA 2018 SPOTIFY

  Mtandao wa Spotify unaouza nyimbo na kumwezesha mtu kusikiliza, umetoa orodha kamili ya mwaka 2018 ya wasanii pamoja na...

READ MORE

IMETHIBITISHWA: MEEK MILL, THE GAME WAMALIZA TOFAUTI ZAO

  Baada ya rapa Meek Mill kumaliza tofauti zake na hasimu wake Drake,muda huu tena amemaliza tofauti kubwa iliyokuwepo kati...

READ MORE

ROSE MUHANDO ALAZWA ICU KENYA

DUA zinahitajika kutokana na madai kwamba, nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando amelazwa hospitalini nchini Kenya, katika chumba...

READ MORE

KITAMBI CHA THEA CHAZUA GUMZO

MSANII mkongwe wa filamu nchini, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ hivi karibuni alizua gumzo kutokana na kuonekana kunenepeana na kuwa na kitambi...

READ MORE

WAIMBA INJILI WANAOTIKISA BONGO

KATIKA kila jambo au kazi kuna kuzidiana na kila mtu duniani ana wakati wake wa kuwa juu na kuonekana anafanya...

READ MORE

SISTER FAY AFUNGUKA ANAVYOHENYESHWA NA TCRA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Faidha Omary ‘Sister Fay’ ameeleza anavyohenyeshwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ kisa kujiachia mitandaoni.    ...

READ MORE

MAUA SAMA : NAKUJA NA NAFUNGA JUMLA JUMLA

BAADA ya wakali wa Hip Hop, Roma Mkatoliki na Stamina wanaounda Kundi la Rostam kuja na msemo wa Kufunga Jumla...

READ MORE