×

Celebrities

FID Q, BABU TALE BIFU ZITO “Nunua Sabuni Utoe Upele” – Video

RAPA maarufu Bongo, Faridi Kubanda Fid Q ameingia kwenye bifu zito na meneja wa msanii Diamond Platnumz, Babu Tale chanzo...

READ MORE

Mtanzania Achaguliwa Katika Wanawake Bora 100 wa BBC 2018

BBC imetangaza orodha ya wanawake 100 bora wenye ushawishi kutoka kote duniani kwa mwaka 2018. Kwa usaidizi wao tutaangazia masuala...

READ MORE

Wema Sepetu Kortini Tena Kesi ya Kusambaza Picha za Ngono – Video

Msanii wa filamu za Bongo Movies, Wema Sepetu, leo Jumatano, Novemba 21, amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini...

READ MORE

AMBER LULU: PREZZO AMENIBADILI TABIA

BAADA ya kurudiana kimapenzi na msanii wa muziki a, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ ameibuka na kusema kuwa kwa kiasi kikubwa...

READ MORE

LAVALAVA AFUNGUKA KUMTELEKEZA MWANAMKE

HITMAKER wa Go Gaga kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Abdul Iddi ‘Lava Lava’ amefungukia tetesi za kuwa amemtelekeza...

READ MORE

LYNN; KUTOKA USWAHILINI HADI KUMILIKI MAGARI 4 YA KIFAHARI

MAISHA ni safari ndefu, unaweza kuanzia kwenye maisha mazuri ukaishia kwenye mabaya au ya kawaida lakini pia ukaanzia kwenye mabaya...

READ MORE

Snoop Dogg Apata Heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame- (VIDEO)

Rapper  wa Marekani, ‘Snoop Dogg’ amefanikiwa kuungana na mastaa wengine duniani waliowahi kupatiwa heshima ya nyota ya Hollywood Walk of...

READ MORE

FARASI KUBEBA JENEZA LA KIM PORTER, P DIDDY AFUNGUKA

Kim Porter (47), aliyekuwa mzazi mwenzake rapa maarufu wa Marekani, P Diddy, atazikwa mahali alipokulia, na Diddy amesema atahakikisha anampa...

READ MORE

CHRIS ZYLKA AMTAKA PARIS ARUDISHE PETE YA UCHUMBA

LICHA ya uchumba baina ya waigizaji na mastaa Wamarekani,  Chris Zylka na Paris Hilton, kuvunjika karibu mwaka mmoja sasa, bado...

READ MORE

MPAKA MAREKANI? AY ANATISHA!

 WASANII wa Af­rika ambao katika miaka ya hivikaribuni wamepata umaarufu sana na kusi­fika kwamba ni matajiri ni Davido na P...

READ MORE

Albamu ya Lil Wayne ‘Carter V’ Yafanya Makubwa

IKIWA ni takribani miezi miwili tu tangu Albamu mpya ya Rapa Dwayne Michael Carter Jr maarufu kwa jina la ‘Lil...

READ MORE

LAVALAVA: Diamond Ana Mapungufu, Tunavumilia, Alikiba….! – Video

Hit maker wa ngoma ya Go Gaga, Lavalava kutoka WCB, ambaye usiku wa kuamkia leo ameachia video ya ngoma yake...

READ MORE

WASANII 15 BONGO WALIOKUZWA NA SANAA WAKANG’ARA KISIASA

SIASA hasa ya vyama vingi lazima ukubali kuwa na makundi mawili ya wanaokupenda na wanaokuchukia; utake usitake.  Kwenye sanaa makundi hayo...

READ MORE

MA-MISS T Z WALIOTOBOA

SHINDANO la urembo nchini Tanzania (Miss Tanzania) lilipata kuwa moja ya mashindano makubwa hapa nchini. Shindano hili lilivuta hisia za...

READ MORE

SOULJA BOY ALAMBA DILI LA MAANA (PICHA)

Rapa wa Atlanta, Marekani aliyefanya vizuri na wimbo wake wa Kiss Me Thru The Phone mwaka 2008, SOULJA BOY ametangaza...

READ MORE

MASTAA WALIOFUNIKA TUZO ZA BURUDANI (NEA) 2018

Tuzo za 13 za Nigeria Entertainment (NEA) zilizofanyika Novemba 10  ndani ya Washington DC, Marekani zimefanikiwa kumalizika vizuri huku Davido...

READ MORE

Exclusive: Rapa T.I Ndani ya Albamu ya Harmonize (VIDEO)

Msanii wa Lebo ya WCB, Rajab Abdul Kahali maarufu kwa jina la Harmonize ama Konde Boy amefunguka juu ya baadhi...

READ MORE

MTOTO WA ROSE MUHANDO AKABIDHIWA TUZO TATU ZA GOSPEL

Mtoto wa muimbaji nyimbo za Injili, Rose Muhando, Annoint Amani,  jana amekabidhiwa tuzo tatu baada ya kufanya vyema kwenye muziki...

READ MORE

HATIMAYE MAJIZZO AMTOLEA MAHARI LULU, NDOA YAO YANUKIA!

BAADA ya Staa wa Filamu BONGO, ‘Elizabeth Michael’ maarufu kama Lulu  kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake Majizzo, usiku wa Septemba...

READ MORE

BAADA YA KUFIWA NA MAMA WATOTO, DIDY ANG’OA KIFAA KINGINE

Siku moja baada ya mama watoto wa Diddy, ‘Kim Porte’ kufariki Dunia, rapa huyo ameonekana Los Angeles akiwa na mwanadada...

READ MORE

HOYCE TEMU APATA PIGO KUBWA

MISS Tanzania wa mwaka 1999, Hoyce Temu amepata pigo kubwa baada ya kufiwa na mtoto wake wa kike aitwaye Rania...

READ MORE

TRAVIS SCOTT AFICHUA SIRI NA MZAZI MWENZAKE MBELE YA MASHABIKI (VIDEO)

Rapa maarufu, Travis Scott ametoa kauli iliyowashangaza wengi kuhusiana na mama mtoto wake ‘Kylie Jenner’  huko Huston, juzi Novemba 17,...

READ MORE

ESMA AANIKA BATA LA MAMA D, MUMEWE DUBAI

 MWANAMAMA maarufu kwenye mitandao ya kijamii (socialite) ambaye ni dada wa staa wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma...

READ MORE

MASTAA WALIOPITIA MISS TZ KISHA WAKAWIKA

 MASTAA wengi ambao wanawika kwenye tasnia ya filamu za Kibongo chimbuko lao ni kutoka kwenye Shindano la Miss Tanzania ambapo...

READ MORE

Navy Kenzo Wapewa Heshima ya Nguvu Kenya

Kundi la muziki wa Bongo Fleva, Navy Kenzo wamepewa nafasi ya kipekee ya kuwa wafunguzi maalum wa Kituo cha Cancer...

READ MORE

Wema ana rekodi yake Miss TZ

MIONGONI mwa warembo waliotwaa Taji la Miss Tanzania, Wema Isaac Sepetu ndiye mwenye rekodi yake ya kipekee ya kuwa na...

READ MORE

KINGUO CHA JENIFER LOPEZ, TABU TUPU!

Watanzania wengi wamekuwa wakiiga baadhi ya mitindo wanayokutana nayo katika mitandao ya kijamii hususani ikiwemo Instagram, lakini kuna mitindo mingine...

READ MORE

Jokate noma, alishika namba 2 Miss Tz, lakini…!

LINAPOTAJWA jina la Jokate Mwegelo, kila mtu ana namna anavyomjua. Wengine watakwambia kabla ya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe...

READ MORE

NANDY AMNASA BWANA WA WEMA

HABARI ya mjini kwa sasa ni kuhusu madai ya msanii wa kike anayefanya fresh kwenye muziki Bongo, Faustina Charles Mfinanga...

READ MORE

MASTAA BONGO WANAOISHI NYUMBA ZA GHOROFA !

MASTAA kumiliki magari na vitu vya thamani limekuwa ni jambo la kawaida kwani tumekuwa tukiona wengi wakifanya hivyo. Lakini pia...

READ MORE

WASANII WALIOVUMA, WAKASANDA

UNAWAK-UMBUKA jamaa wawili waliokuwa wakiunda Kundi la Uswahilini Matola kutoka jijini Mbeya? Unaikumbuka ngoma yao ya Kosa la Marehemu? Unayakumbuka...

READ MORE

NAVY KENZO; KUTOKA BANDA LA UANI HADI GHOROFA LA MIL. 400

KWA wafuatiliaji wa burudani ni wazi watakuwa wanalikumbuka Kundi la Pah One lililokuwa likiundwa na vichwa hatari kama vile Igwe,...

READ MORE

HUKU AKITANGAZA KUPORA MUME WA MTU UWOYA AZUA TAHARUKI

BAADA ya kutangaza kuwa anataka kukwapua bwana wa mtu, staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya, amezua hofu ya aina yake...

READ MORE

PRETTY ACHEKELEA KUTAMBULIKA INSTAGRAM

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amejikuta akitoa ‘meno yote nje’ baada ya kutambulika kwenye Mtandao...

READ MORE

MAYWEATHER ATAKA MILIONI 345 KUZIPIGA NA KHABIB

Mayweather (kulia) na mdhamini Dana. BONDIA Floyd Mayweather amefikia makubaliano na mdhamini wa masumbwi, Dana White, kuzipiga na bondia Khabib,...

READ MORE

MUME WA AMBER RUTTY AIBUKA!

SIKU chache baada ya Abubakary Milenga, baba mzazi wa msanii aliyetikisa kwa skendo ya video ya ulawiti, Nascat Abubakar ‘Amber...

READ MORE

MARTIN KADINDA ANYAKUA TUZO KUBWA AFRICA

Katika Usiku wa Maonyesho ya Mavazi ya Kiume yaliyofanyika Lagos nchini Nigeria jana Novemba 16, 2018, mbunifu wa mavazi maarufu...

READ MORE

CHRISTIAN BELLA ALIVYOWADATISHA MASHABIKI TABATA

Mwanamuziki wa dansi, Christian Bella ‘Obama’ na Malaika Band, usiku wa kuamkia leo walifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Ukumbi...

READ MORE

Mobeto aombwa kuvumiliwa asema ameumia sana!

MWANAMITINDO maarufu nchini Hamisa Mobeto, ambaye pia mzazi mwenziye na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa angewaomba...

READ MORE

Maamuzi Mazito Basata, Rayvanny Kuirudisha YouTube ‘NYEGEZI MWANZA’

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa kauli kuhusiana na video ya Mwanza ya Rayvanny akimshirikisha Diamond Platnumz baada ya video...

READ MORE