×

Celebrities

Zari Atua Bongo, Atoa kauli ya Kumkacha Mpenzi Wake – Video

MFANYABIASHARA Zari The Bosslady ametua Tanzania, leo jioni  Septemba 13, akitokea nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuzindua duka jipya la...

READ MORE

ACHA ASLAY ATAMBE… ALIFICHWA YAMOTO BAND!

NAENDA Kusema ndio moja kati ya ngoma ambazo zilimfanya Aslay Isihaka ajulikane kwenye gemu la Bongo Fleva, wakati huo alikuwa...

READ MORE

Gigy Money Adaiwa Kunasa Kibendi

MUUZA ‘nyago’ na msanii wa filamu Bongo, Gifty Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kubeba ujauzito wa mwandani wake Moulad Alpha ‘Moj’...

READ MORE

Dansi Inapita Barabara ya Bongo Movie!

ACHANA na muziki wa Dansi ile ya zamani, ya bendi kama Marquis, MK Beats, Dar International, Mlimani Park au Juwata...

READ MORE

Esha Sasa Kuzaa Dabodabo

MSANII anayefanya vizuri katika anga la filamu Tanzania, Esha Buhet, baada ya kujaaliwa kupata mtoto wa pili aliyemsubiri kwa miaka...

READ MORE

Aslay Afungukia Bifu Lake na Beka Flavor

HUKU kukiwa na fununu za kuwepo kwa bifu zito kati ya Aslay na mwanamuziki mwenzake Beka Flavor, ambao walifanya kazi...

READ MORE

Madee: Ilikuwa Niwe Bondia

RAPA anayetamba na Video ya Sema aliyomshirikisha mwimbaji mahiri Nandy, Hamadi Ally ‘Madee’ ameweka wazi kuwa kabla ya kuibukia katika...

READ MORE

Flora Mvungi Atoboa Siri za Tanzanite!

TANZANITE ni mtoto wa mastaa wawili Bongo, waigizaji ambao pia ni wanamuziki, Hamis Baba ‘H-Baba’ na Flora Mvungi. Mbali na...

READ MORE

Uwoya Achoshwa na Dogo Janja

MKALI kunako soko la filamu Bongo, Irene Uwoya, amesema kuwa amechoshwa kuuliza maswali juu ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

MASTAA WASHEREHEA BETHIDEI NA WATOTO YATIMA

PWANI: Mastaa mbalimbali wa filamu wakiongozwa na Ndumbangwe Mithayo ‘Thea’, Blandina Jagula ‘Johari’ na Chiki Mchoma, jana waliungana na mwigizaji...

READ MORE

Mwana FA Ashindwa Kujizuia Kwa Lady Jaydee

RAPA Mkongwe anayetamba na ngoma ya Dume Suruali, Mwana FA  ameshindwa kuvumilia na kuvunja ukimya kwa kuonyesha sapoti kwenye video ya...

READ MORE

Wabongo Wamkwaza Lulu Diva Kimapenzi

HIT maker wa Kibao cha Usimwache, Lulu Abasi maarufu kama Lulu Diva, ameelezea kukwazwa kwake na wanaume wa Kibongo kutokana...

READ MORE

Roma: Mwanaume Kuoga Mwisho Mara Mbili

STAA namba moja katika Hip Hop kwa sasa nchini, anayetamba na kibao na video yake ya Zimbabwe, Ibrahimu Musa a.k.a...

READ MORE

Matonya… Dudu Baya, Chid Benz, Jifunzeni Kitu

MATONYA ni jina la mwanamuziki mwenye heshima kubwa Bongo, amewahi kutamba na nyimbo nyingi zikiwemo Uaminifu, Siamini, Vaileti, Anita, Zilipendwa...

READ MORE

Nuh Afungukia Povu la X-Wake

KUFUATIA povu alilolitoa aliyewahi kuwa mke wa mwanamuziki Nuh Mziwanda, bidada Nawali kwenye kituo kimoja cha televisheni kwamba baba wa...

READ MORE

Duma Afungukia Kufanya Uchafu na Uwoya

MUUZA nyago kwenye muvi za Kibongo, Daud Michael ‘Duma’ juzi kati alipobanwa juu ya kufanya uchafu na muigizaji mwenziye Irene...

READ MORE

Wolper aonyesha mahaba kwa Fid Q

STAA wa Filamu Bongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa msanii anayemkubali kwa sasa Bongo ni Fareed Kubanda ‘Fid Q’ na hiyo...

READ MORE

Maua Sama Afunguka Kuhusu Kuolewa!

WIKI chache baada ya kuchumbiwa na Mzungu, staa wa Muziki wa R&B, Maua Sama amefunguka kuwa ataolewa mwakani. Akichonga na...

READ MORE

Z-Anto Atokwa Povu Kisa Binti Kiziwi

antoSTAA aliyewahi kuwika na Kundi la Tip Top Connection, Z-Anto ametokwa povu baada ya kuulizwa kuhusiana na aliyekuwa mchumba wake,...

READ MORE

TID Kugombea Ubunge wa Kinondoni 2020

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Khalid Mohamed maarufu kama T.I.D, ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni, kwenye...

READ MORE

Lulu Diva Alivyozichapa Kavukavu na Njemba

HIT Maker wa ngoma ya Usimwache, Lulu Abasi ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa katika maisha yake, kitu cha kijinga ambacho kamwe...

READ MORE

Jay Moe: Msiba wa Ngwair Sikulia Kama wa Langa

MKONGWE asiyechuja kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Juma Mchopanga ‘Jay Moe’ amefunguka kuwa alipofariki msanii mwenzake Ngwair alijikaza na...

READ MORE

Nuh Mziwanda Atoboa Kilichovunja Ndoa Yake

MSANII wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Nuh Mziwanda ambaye jina lake la kuzaliwa ni Naftal Mlawa, ni mmoja...

READ MORE

DOGO JANJA KATOA POVU KWA YOUNG DEE

JANJMSANII wa Hip Hop nchini Dogo Janja aliyekaa kimya juu ya kauli za Young Killer na Young Dee, sasa kafunguka...

READ MORE

Betty G Amliza Nandy ‘Coke Studio Africa’

MSANII wa muziki kutoka  Namibia,  Betty G Amliza Nandy ‘Coke Studio Africa’, amemtoa machozi Nandy kwenye Stage ya Coke Studio...

READ MORE

ALI KIBA ALIVYOITEKA MWANZA NA SEDUCE ME

MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ usiku wa kuamkia jana aliliteka Jiji la Mwanza kupitia wimbo wake...

READ MORE

Nandy: Nilikata Tamaa Nikiwa B-Band

MKALI wa Ngoma ya Wasikudanganye, Fausta Charles ‘Nandy’, kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa, katika maisha yake ya muziki amewahi...

READ MORE

TAMKO LA GLOBAL KUHUSU HABARI YA WEMA NA BWANA MPYA

WAPENZI wasomaji wetu, mara kadhaa Kampuni ya Global Publishers, wachapishaji wa Magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi Mchanganyiko, Risasi Jumamosi,...

READ MORE

ESHA KUMWANIKA MWANAYE LEO

MSANII wa filamu za Kibongo, Esha Buheti leo anatarajia kumwanika mwanaye kwa ndugu na marafiki ambapo atamfanyia sherehe ya nguvu....

READ MORE

Kumbe Ruby Alikuwa na Ujauzito Feki?

BAADA ya hivi karibuni kuonekana na mwenyewe kukiri kwamba ni mjamzito lakini ghafla ujauzito huo kuyeyuka na kuzua gumzo kwa...

READ MORE

Ua la Idris Lamtoa Machozi Wema

STAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa Ua alilodaiwa kumpelekea Idris ambalo si lake limemsababishia kugombana...

READ MORE

Mainda Azua Timbwili Nyumbani Kwao!

STAA wa Filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ juzikati alizua timbwili nyumbani kwao maeneo ya Mikocheni jijini Dar alipotembelewa na waandishi...

READ MORE

Nikki wa Pili Ampa Makavu Dogo Janja

STAA wa Hip Hop Bongo, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’, amempa makavu msanii mwenzake, Abdulaziz Aboubakar Chende ‘Dogo Janja’ kwa...

READ MORE

Shetta Apata Mtoto Mwingine

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Nurdin Bilal maarufu kwa jina la Shetta, ameonyesha urijali wake kwa kubahatika kupata mtoto...

READ MORE

WIZKID AWEKA REKODI KITABU CHA KUMBUKUMBU CHA DUNIA

SALUTE kwake mzee baba! Mwanamuziki wa Kinigeria mwenye jina kubwa Afrika, anayekimbiza kila kona, Wizkid ameweka rekodi mpya ya kuwekwa...

READ MORE

Wema Anaswa Live Kwenye Sofa Kochi na Kidume Kipya -Video

MALKIA wa Filamu za Bongo, Wema Sepetu amenaswa LIVE akiwa na mwanamme anayedaiwa kuwa ni bwana wake mpya. Wawili hao...

READ MORE

Kajala Adaiwa Nyakunyaku, Afunguka!

KUFUATIA uwepo wa tuhuma kwamba anaongoza kwa kukwapua mabwana wa watu, muigizaji kiwango, Kajala Masanja ameibuka na kukanusha vikali madai...

READ MORE

Mama: Nasubiri ndoa ya Lulu

MAMA wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila amefunguka kuwa anasubiri ndoa ya mwanaye kwani mkwewe mtarajiwa yupo na ameonesha...

READ MORE

Nyamwela: Bora Bongo Fleva Kuliko Dansi

MNENGUAJI na mwanamuziki wa Dansi ambaye kwa sasa amegeukia pia Bongo Fleva, Hassan Musa ‘Super Nyamwela’ bendi za muziki wa...

READ MORE