×

Celebrities

Chuzi Akwaa Balaa Jingine!

IKIWA bado lile sakata lake na Chama cha Waigizaji kupelekana mahakamani halijapoa, msanii nguli wa tamthiliya Bongo, Tuesday Kihangala ‘Mr....

READ MORE

FA Adai Fid Q ‘Mlaini’

RAPA asiyechuja kwenye muziki wa Hip Hop Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ amedai mkali mwenziye mwenyeji wa Mwanza, Farid Kubanda ‘Fid...

READ MORE

Kisa Mtoto wa Mobeto, Zari Atoa Mapovu Balaa

LILE sakata la mtoto wa mwanamitindo Hamisa Mobeto, Abdulatif Nasibu kuzua utata, kila mmoja akiwa na shauku ya kumjua baba...

READ MORE

Hili la Zari na Mobeto Lamuibua RC Makonda

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameshindwa kujizuia kufuatia kinachoendelea mitandaoni kuhusu warembo wawili, Zarinah Hassan maarufu...

READ MORE

Prodyuza Zest Afungukia Maajabu ya Aslay

MWIMBAJI wa Nyimbo za Injili ambaye pia ni prodyuza wa nyimbo za msanii, Aslay Isihaka, Zest Daud, ameshangazwa na maajabu...

READ MORE

Kisa kushindanishwa na Gigy… Pam D Atokwa Povu la Mwaka

MWANADADA kiwango kwenye Bongo Fleva, Pamela Daffa `Pam D’ amesema anakerwa na baadhi ya mashabiki wa muziki wanaomshindanisha na mwanamuziki...

READ MORE

Chid Benz Awaka Kisa Wimbo wa Govinda

MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa kwenye Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ amewaka kwa kusema kuwa, wanaoiponda ngoma yake mpya...

READ MORE

R.O.M.A ni Freemason?

R.O.M.A ambaye jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Ibrahimu Mussa, si jina geni kwenye ulimwengu wa burudani, ni jina...

READ MORE

Idris Sultan na Skendo ya Kuwachanganya Wema, Sanchi

MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Idris Sultan amekuwa kwenye tetesi nyingi ambazo zimekuwa zikiendelea kila kona juu ya maisha yake, ikiwemo mamilioni...

READ MORE

Irene Paul: Sikuingia Kwenye Ndoa Kama Fasheni

UKITAJA waigizaji wanaojua nini wanapaswa kufanya mbele ya kamera na kuzitendea haki nafasi anazopewa kuigiza, basi huwezi kumuweka kando mwanadada...

READ MORE

Gigy Aumbuka ‘Kufeki’ Gharama Za Mavazi

MUUZA nyago matata ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameumbuka baada ya kufanya mahojiano na...

READ MORE

Dayna Nyange Amtolea Povu Nas B

  MWANADADA ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Chovya, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’, hivi karibuni amemtolea povu mkali aliyewahi...

READ MORE

Aika Azidisi Timu za Wasanii

MWANADADA anyeunda kundi la Muziki la Navy Kenzo, Aika amefunguka kuwa suala la wasanii kuwa na makundi wanayoyaita timu zao...

READ MORE

NAY NA SIRI YA KUJILIPUA TENA!

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye gemu ya Muziki wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefunguka mambo mengi kuhusu...

READ MORE

Kisa Kuzaa na Msanii… Hamisa Afungwa Mdomo

MAMA mzazi wa mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobetto ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto anayedaiwa kuzaa na msanii wa Bongo Flava,...

READ MORE

Shilole: Siachani na Mchumba Wangu Ng’o

BAADA ya habari kusambaa kwamba ana mgogoro na anamtesa mchumba wake, Uchebe, staa wa muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka...

READ MORE

WAZIRI MKUU ATOA MSAADA WA SH. 10M KWA MWANAMUZIKI WA DANSI

  11 SEPTEMBA , 2017                                     TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU ATOA MSAADA WA SH. MILIONI 10  ...

READ MORE

Nyakunyaku Wataka Kumpora Linah

SEXY lady wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ au ‘Ndege Mnana’ amefunguka kuwa amekuwa akikutana na vikwazo vingi kutoka kwa...

READ MORE

Sholo Mwamba: Dogo Janja Aliniharibia!

MWAMBA wa Muziki wa Singeli, ‘Sholo Mwamba’ amedai kuwa, msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja ndiye aliyemharibia na...

READ MORE

Lulu: Kama Ndoa Amepanga Mungu Ipo Tu!

STAA wa sinema za Kibongo ambaye pia alikuwa msanii wa kwanza kuigiza akiwa na umri mdogo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kwa...

READ MORE

Hatimaye Vee Money, Jux Uso kwa Uso Jukwaa la Fiesta Arusha (Video)

WASANII wa Bongo Fleva ambao pia wamekuwa wapenzi kwenye mahusiano yao kwa miaka kadhaa huku wakidai kuachana hivi karibuni, Juma...

READ MORE

Nandy Afunguka Bifu Lake na Ruby

MSANII wa Bongo, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa, japo watu wengi wamekuwa wakijadili kuhusu ukaribu wake na msanii wa zamani...

READ MORE

Dkt. Mwaka Aibuka na Gigy Money (Video)

BAADA ya ukimya wa muda mrefu, aliekuwa mmiliki wa Kituo cha Tiba Asili cha Fore Plan, Dk. Mwaka ameibuka live...

READ MORE

Uwoya Ajifananisha na Jini

STAA wa filamu za Bongo, Irene Uwoya ameibuka na kusema kuwa uzuri alionao unamfanya wakati mwingine ajifananishe na jini kwani...

READ MORE

Wolper Ajipanga Kumuoa Mwanaume

TOFAUTI na mila na desturi za Kiafrika kwa mwanaume kumuoa mwanamke, mrembo Jacqueline Wolper amevunja ukimya kwa kusema, yuko tayari...

READ MORE

Mastaa 7 Bongo Wachuana Kwa Mitungo ya Ngono

BAADHI ya mastaa Bongo wamekuwa na tabia ya kubadilisha wanaume baada ya muda mfupi wanapokuwa nao kwenye uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

Quick Racka: Mimi na Kajala Zilipendwa Tu!

MSANII wa Bongo Fleva, Aboot Racka ‘Quick Racka’ amefunguka kuwa yeye na staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja wamebaki zilipendwa...

READ MORE

Kisa Kuchafuliwa, MR CHUZ Atoa Siku 14 Kuombwa Radhi (Video)

MKONGWE wa filamu Bongo anayewika na Tamthilia ya Closed Chapter, Tuesday Kihangala ‘Mr. Chuz’ ametoa siku 14 kuombwa radhi na...

READ MORE

Sabby Ajitosa Kupima ‘Ngoma’

MSANII wa filamu Bongo Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ ameamua kujitosa kupima Ukimwi ‘ngoma’ ili kuwa na amani ya moyo na...

READ MORE

Lulu Diva Aporwa Gari

MIEZI michache ikiwa imepita tangu mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza nyago, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ahongwe gari...

READ MORE

Bongo Muvi, Hii ‘Ngoma Ya Kimasai’ Hadi Lini?

NIANZE kwa kuwapa heshima kubwa wacheza filamu wote Bongo, kwa sababu kazi waliyoifanya kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita ni...

READ MORE

HATUA KWA HATUA UNAVYOWEZA KUPATA 100M

KAMPUNI ya kubashiri matokeo ya Sokabet maarufu kwa jina la Wababe wa Kubet wanaendelea kuteka soko la washiriki wa mchezo...

READ MORE

Mameneja Hawa wa Kike ni Shiida!

INAWEZA kuwa ni nadra kusikia katika Tasnia ya Muziki au Filamu kuwepo na mameneja wa kike (wanawake), ambao wanaweza kusimama...

READ MORE

Nas B: Bongo Fleva Inatumbukia Shimoni

MKALI wa muziki Bongo aliyewahi kutamba na Ngoma za Kawaida, Dua la Kuku na Tunatumia ambaye pia ni Prodyuza wa...

READ MORE

G Nako: Tungelegea Saida Angetuficha

RAPA anayekimbiza kwenye gemu la Bongo Fleva, George Sixtus Mdemu ‘G Nako’ amesema kuwa, Saida Karoli ni mwanamama mwenye kipaji...

READ MORE

Faiza: Sugu Akihitaji Mtoto, Namzalia!

MREMBO Faiza Ally ambaye aliwahi ‘kubanjuka’ penzini na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, ametoa kali ya aina yake...

READ MORE

CHEMICAL: SIJAWAHI KUPENDWA NA STEREO KWA DHATI

RAPA wa kike anayefanya vizuri kwenye Hip Hop Bongo, Claudia Lubao ‘Chemical’, amefunguka kuwa, msanii Stereo ambaye amekuwa akijanasibu kwenye...

READ MORE

NIKKI WA PILI: NILIWAHI KUWA WA MWISHO DARASANI

  MKONGWE asiyechuja kwenye Hip Hop Bongo ambaye pia ni msomi wa Shahada ya Uzamivu (Master Degree), Nickson Simon ‘Nikki...

READ MORE

Full Dozi Concert… Dully, Q Chillah Kutikisa Dar Live

ULWAKONGWE wawili wasioshikika kunako gemu ya Bongo Fleva, Dully Sykes pamoja na Q Chillah wanatarajiwa kuungana na wakali wengine kibao...

READ MORE

Huyu Ndo Prodyuza Aliyetengeneza Zimbabwe ya ROMA

UKISIKILIZA ngoma mpya ya mkali wa HipHop Bongo, ROMA Mkatoliki, aliyoiachia mwezi uliopita, Zimbabwe lazima utatamani kumfahamu mtayarishaji wa ngoma...

READ MORE