×

Celebrities

Tory Lanez Huenda Akatupwa Jela

MWANAMUZIKI Tory Lanez huenda akatupwa jela kwa muda usiopungua miaka 23 ikiwa atakutwa na hatia ya kesi inayomkabili ya kumpiga...

READ MORE

Harmonize: Msipoteze Bando Lenu Kunipigia Kura

  STAA wa muziki wa kizazi kipya nchini Rajab Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi kutozitambua tuzo zinazoendelea hususani African Entertainment...

READ MORE

Jay Z Ajitoa Tena Instagram

BAADA ya jana kujiunga kwenye mtandao maarufu duniani wa Instagram nakupata followers million 2 ndani ya saa 24 akiweka post...

READ MORE

Will Smith Atamani Kujiua

Mshindi wa Tuzo za Grammy na muigizaji wa Kimarekani, Will Smith amezua mjadala mitandaoni baada ya kutamka kuwa kuna wakati...

READ MORE

Mtoto wa Shah Rukh Khan Atoka Gerezani

Mtoto wa muigizaji maarufu kutoka India, Shah Rukh Khan ametoka gerezani kufuatia kesi iliyokuwa inamkabili ya kuuza na kusafirisha madawa...

READ MORE

Justin Bieber Akimbiza Peoples Choice Awards

Canada inatambulishwa vyema kimataifa, baada ya muimbaji maarufu duniani kutokea nchini humo, @justinbieber kutajwa kwenye vipengele vingi kuliko msanii yeyote...

READ MORE

Sabaya Augua Gerezani

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo Jumatano Novemba...

READ MORE

Nandy, Zuchu vs Wanigeria Hapatoshi

Hapatoshi! Ndivyo unavyoweza kusema kwenye mpambano wa wasanii wa kike wanaofanya vizuri Bongo, Nandy na Zuchu wameingia kwenye kinyang’anyiro cha...

READ MORE

Gigy: Barakah Kanikimbiza na Panga

Ugomvi wa King Kiba na Shilole umeonekana kuendelea kupita na wengi na raundi hii umehamia kwa Barakah The Prince na...

READ MORE

Hatimaye Jay Z Ajiunga Instagram

BAADA ya kuwa mbishi kwa miaka mingi, hatimaye rapa maarufu kutoka pande za Marekani, Jay Z amejiunga na familia ya...

READ MORE

Sarah Afunguka Kurudiana na Harmonize

 ALIYEKUWA mke wa msanii Harmonize au Konde Boy Mjeshi, Sarah Michelotti; kwa mara ya kwanza amefunguka uwezekano wa kurudiana na...

READ MORE

Mastaa Hawa Watajwa Tuzo Kubwa Marekani

TUZO maarufu za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) 2021, hatimaye zimerejea tena zikiwa zimesheheni majina mastaa kadhaa wa kitanzania wanaofanya...

READ MORE

Wasanii Hawa Wajitafakari Sana Kuhusu Mashairi Yao

Umeisikia hii ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Hassan Abbas ambaye ameamua kuvunja ukimya na...

READ MORE

Tunda: Ni Rasmi Sasa Nipo Singo

MUUZA sura (video vixen) maarufu kwenye video za muziki za wasanii wa Bongo Fleva, Annastazia Kimaro ‘Tunda’ ameweka wazi kuwa,...

READ MORE

Fetty Wap Mikononi mwa FBI

RAPA Willie Junior Maxwell II, maarufu kama Fetty Wap amekamatwa na Polisi wa FBI kwa tuhuma za dawa za kulevya....

READ MORE

Jux Alivyopiga Mamilioni

MKALI wa RnB Bongo, Juma Mussa ‘Jux’ anasema kuwa, biashara yake ya mavazi African Boy ilianza kwa mtaji wa shilingi...

READ MORE

Soul Food: Upendo Nkone Awapasha Waimbaji Nyimbo Za Injili -Video

 Msanii Wa Injili Upendo Nkone, leo Jumapili, Oktoba 31, 2021 amefanya mahojiano katika kipindi cha ‘SOUL FOOD’ kimchoruka kupitia...

READ MORE

Paula Hajavunja Penzi la Rayvanny na Fahyma

KAPO inayozungumzwa zaidi ya staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa almaarufu Rayvanny na Paula Kajala; imekuwa na mambo mengi.  ...

READ MORE

Harmonize Amfanyia Ukorofi Kiba

  HUU ni ukorofi kama ule wa Mama Tariki! Hivyo ndivyo wasemavyo baadhi ya mashabiki kufuatia kitendo cha msanii mwingine...

READ MORE

Viboko wa Pablo Escobar Kutambuliwa Kisheria Kama Watu

Mahakama ya nchini Marekani imepitisha sheria ya kuwatambua Viboko waliokuwa wanamilikiwa na muuzaji hatari wa madawa ya kulevya nchini Kolombia,...

READ MORE

Wolper Aibuka Bila Rich Mitindo

MWANAMAMA mkali wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper au Mama P ameibua gumzo baada ya kuibuka kwenye pati kwa mara ya...

READ MORE

Gigy Money Anunua Ugomvi wa Kiba na Shilole

Jambo linazidi kuwa jambo kwani lile bifu la kukata na shoka la wasanii wa Bongo Fleva, King Kiba na Shilole...

READ MORE

Jumba la Kifahari la Kylie Jenner Balaa Tupu

Tazama picha za ndani za jumba la kifahari analomiliki Kylie Jenner (24) ambalo alilinunua kwa dola za Kimarekani $36.5 million...

READ MORE

Zari Ageuka Adui Kwa Familia ya Mondi

MWANAMAMA Zarinah Hassan au Zari The Boss Lady ambaye ni baby mama wa staa wa muziki Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Burna Boy Atamani Kuwa Kama Dada Yake

Mshindi wa Tuzo za Grammy na mwanamuziki kutoka Nigeria, Burna Boy ameonesha kufurahishwa na hatua ya dada yake Nissi ya...

READ MORE

Kiba: Sikumwalika Shilole

SIKU chache baada ya mwanadada Esha Buheti kutangaza kujiweka kando kumsapoti Alikiba kwa kile alichodai kutothaminiwa na mwanamuziki huyo licha...

READ MORE

Mayweather Agoma Kupiga Picha na Kijana Aliyepaka Rangi Kucha

Hizi hapa ni za kutokea pande za Marekani, ambapo mchezaji wa ngumi za kulipwa duniani Floyd Mayweather  ameonekana akikataa kupiga...

READ MORE

Wikiendi Bomba Ndani Ya Epl, Serie A Na Ligue 1

Ni wikiendi inayopamba na michezo kadhaa ya kukata na shoka kwenye ulimwengu wa soka barani Ulaya. EPL, Serie A na...

READ MORE

Shilole, Alikiba Kimeumana! Una Kiburi cha Kishamba, Diamond Amekugaragaza

KIMEUMANA… Hivyo ndivyo unavyoweza kusema! ni baada ya Supastaa wa Bongo Fleva, Alikiba kudai kwamba siku ya uzinduzi wa Albamu...

READ MORE

Jide Naye Kupumzika Muziki

MWANAMUZIKI mkongwe kunako tasnia ya muziki wa Afro-Pop, Lady Jaydee au Jide anasema kuwa, anafikiria kupumzika muziki huo hadi mwaka...

READ MORE

Aveva Ahukumiwa Kifungo Cha Miezi Sita

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha nje cha miezi sita aliyekuwa Rais wa Simba, Evans Aveva kwa kosa...

READ MORE

Wameacha Majina Yao ya Asili

LIMEKUWA ni jambo la kawaida kwa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, lakini pia wa filamu na tasnia mbalimbali kubadili...

READ MORE

Uwoya Anawakera Ile Mbaya

IRENE Uwoya; wengine humuita Ophrah kwa sababu ya Filamu ya Ophrah aliyotisha mno ndani yake akiwa na mastaa wa Bongo...

READ MORE

Akamatwa kwa Uharibifu Wa Sanamu Ya George Floyd

Hizi ni ripoti za kutokea New York, Marekani  ambapo mtu mmoja anayejulikana kama Micah Beals mwenye umri wa miaka 37...

READ MORE

Nandy awafuata hukohuko nje

SEXY lady kunako Bongo Fleva, Nandy The African Princess ameamua kuwafuata mashabiki wake huko nje ya nchi baada ya kuanika...

READ MORE

Harmo Anakunywa Pombe Kamili Mwanawe Togwa

HARMONIZE ni baba wa mtoto mmoja wa kike aitwaye Zulekha au Zuu ambapo mama wa mtoto huyo amemtumia mkeka wa...

READ MORE

Fahyma: Simchukii Paula

HATIMAYE Fahyma ameanza kulegea na kukubali yaishe; amebariki laivu penzi la baby daddy wake, Rayvanny na Paula Kajala. Kwa mdomo...

READ MORE

Ukweli Shusho Kunaswa na Pombe

WIKIENDI iliyopita kumeibuka mjadala mkali kufuatia mwimba Injili na mchungaji maarufu Bongo, Christina Shusho kunaswa akinywa kitu kilichodaiwa ni aina...

READ MORE

Malkia Karen Ajifungua Mtoto wa Kiume

SIYO stori kwamba, mrembo kunako Bongo Fleva, Malkia Karen alikuwa mjamzito wa miezi mingi na leo Oktoba 27, 2021 amejifungua...

READ MORE

Burna Boy Amwambia Mama Yake Hataoa

SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake...

READ MORE