×

Celebrities

Penzi la Jux, Huddah Limekaa Hivi

MSANII anayefanya poa kunako anga la Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’, amefungukia tetesi za kutoka kimapenzi na mrembo maarufu mitandaoni...

READ MORE

Mchongo Mzima wa Mobetto na Ricky Ross

MAMA wa mwanamama staa wa fani nyingi nchini Tanzania, Hamisa Hassan Mobeto, Shufaa Rutiginga anasema kuwa, hata siku moja hawezi...

READ MORE

Stara Thomas Ataja Sababu ya Kustaafu Bongo Fleva na Utamu Wake

“HAPO ulipo unafanya nini? Sijui mpenzi we umeshakula. Napata shauku ya kukuona kwani tangu nilipoondoka, nataka nirudi nyumbani, nikupe stori...

READ MORE

Usichokijua Mpenzi Mpya wa Harmonize

UNAAMBIWA staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania, Rajabu Abdul almaarufu Harmonize au Konde Boy Mjeshi anatikisa Afrika Mashariki baada kuripotiwa...

READ MORE

Kwa Nini Diamond Anabagua Wanawe?

SIMBA anaiwakilisha vyema nchi ya Tanzania; siyo upande wa muziki pekee, bali hadi kupata watoto na wanawake wa nje ya...

READ MORE

Zabibu Afunguka Sababu za Kutoingia Mitandaoni

DADA wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’, Zabibu Kiba, kwa mara ya kwanza amefunguka sababu...

READ MORE

Nisha Azindua Nyumba Yake Mpya – Video

Usiku wa kuamkia leo mwigizaji maarufu wa vichekesho nchini, Salma Jabu maarufu kama Nisha amezindua nyumba yake aliyoijenga maeneo ya...

READ MORE

Mrembo Mpya wa Mondi Balaa Tupu!

Francia ni mrembo mwenye umri wa miaka 20 aishie na wazazi wake London nchini Uingereza, lakini mwenye asili ya Visiwa...

READ MORE

EPL, Serie A Na Laliga Ni Mwendo Mdundo

Mashindano ya Ulaya yametamatika na sasa ni muda wa kuvipasha moto viwanja ndani ya Ligi mbalimbali barani Ulaya. Yaliyotokea kwenye...

READ MORE

Wolper Kutua Mahakamani, Kisa ni Hiki….

MUIGIZAJI maarufu wa Bongo Movie Jackline Wolper amevunja ukimya kwa kueleza kwamba mtu yeyote ambaye atamchafua,kumdhalilisha au kumkashifu mtoto wake...

READ MORE

Jokate: 2025 Twende na Mama

MKUU wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameunga mkono kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa leo...

READ MORE

Mirahaba Kazi za Sanaa: Wasanii Kupata 70%, Serikali 30%

WAKATI Wasanii wa Tanzania wakisubiri kuanza kulipwa mirabaha ya nyimbo zao kuchezwa kwenye TV, Radio na maeneo mengine yanayotumia muziki...

READ MORE

Vanessa Aacha Alama 5 Bongo Fleva

KAMA unafuatilia muziki wa Tanzania, bila shaka utakuwa unafahamu alichokifanya Vanessa Mdee au V Money kwenye muziki huo.   Vanessa...

READ MORE

Hamisa Mobeto Awashika Pabaya Watesi Wake

  HIVI karibuni mwanamitindo  pia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto aliibukia kwenye miondoko ya Singeli.   Aliachia...

READ MORE

Wema Amvuruga Kabisa Zari kwa Mondi

MREMBO Wema Isaac Sepetu anadaiwa kumvuruga kabisa mzazi mwenza wa staa wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah...

READ MORE

Harmonize Achafua Hali ya Hewa Marekani

  STAA wa Bongo Fleva, Harmonize au Konde Boy Mjeshi anaendelea na ziara ya takriban miezi miwili katika majimbo mbalimbali...

READ MORE

Pogba, Burnaboy Wakiwasha Jukwaani Manchester

Kiungo wa kati wa Klabu ya Manchester United na Timu ya Taifa ya Ufaransa, Paul Pogba aliisaidia klabu yake kuilaza...

READ MORE

EX wa Rotimi Amuonya Vanessa

BAADA ya kutoa tangazo la ujauzito wake mapema wiki iliyopita, msanii maarufu wa Tanzania, Vanessa Mdee au Vee Money ameonywa...

READ MORE

JB Aachia Ngazi

MSANII wa Bongo Movies, Jacob Steven maarufu kama JB ametangaza kuachana na kazi ya uigizaji na kujikita zaidi katika uongozaji...

READ MORE

Mabaki ya Mwili wa Tupac Yalivutiwa Bangi

KWA kifupi tunaangalia mambo kumi ya kustaajabisha ya Tupac Shakur aliyefariki dunia Septemba 13, 1996 kwa kupigwa risasi huko Marekani....

READ MORE

Mtoto Ampa Utajiri Vanessa Mdee

KATIKA orodha itakayotoka ya mastaa waliotengeneza utajiri wa kutisha hasa wale wa kike barani Afrika kwa mwaka 2021, tarajia kuliona...

READ MORE

Mtoto Ampa Vanessa Utajiri wa Kutisha

KATIKA orodha itakayotoka ya mastaa waliotengeneza utajiri wa kutisha hasa wale wa kike barani Afrika kwa mwaka 2021, tarajia kuliona...

READ MORE

Petitman Afunguka Ugomvi Wake na Wema Sepetu – Video

 MENEJA na mjasiriamali Petitman Wakuache amefunguka ugomvi wake na aliyekuwa rafiki yake na Wema Sepetu  ‘Madam’ Wema Sepetu.

READ MORE

Petit Man Amfanyia 40 Mtoto Wake Kian -Video

MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hamadi Manungwi ‘Petit Man’ jana Septemba 11, 2021 amemfanyia sherehe ya kumtoa nje mwanaye, Kian...

READ MORE

Sonia: Wanasema Nina Sauti Kama Subaru – Video

MTOTO wa Staa wa filamu nchini Tanzania Monalisa aitwaye Sonia leo ameamua kuwatolea uvivu watu wanaomtukana mitandaoni kuwa ana sauti...

READ MORE

Haji Manara Amlilia Hans Pope

  Nimechelewa sana kusikia taarifa za huu msiba wa mzee wetu Zacharia. Imenifadhaisha sana na imeniondolea Mood yangu. Kwangu alikuwa Mwanamichezo...

READ MORE

Ndoa ya Zabibu Kiba Yadaiwa Kuvunjika

MIAKA kadhaa imepita tangu dada wa staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania, Ali Saleh Kiba au King Kiba aitwaye Zabibu...

READ MORE

Mchekeshaji Mamito: Sipendi Kuvaa Nguo ya Ndani

Mchekeshaji wa kipindi cha Churchill, Eunice Wanjiru Njoki anayetambulika wa jina la Mamito, kutokea nchini Kenya, ameweka wazi kuwa hapendelei...

READ MORE

Gari la Marehemu Tupac Lauzwa Bilioni 4

Gari la Marehemu Tupac Shakur ambalo alikuwa akilitumia yapata miaka 25 iliyopita aina ya BMW 750IL la mwaka 1996 linauzwa...

READ MORE

Rapcha Aachia Bonge la Albamu ‘Wanangu 99’

MSANII wa Hiphop nchini Tanzania, Cosmas Paul Mfoy almaarufu ‘Rapcha’ ameachia album yake ya kwanza iliyopewa jina la ‘Wanangu 99’...

READ MORE

Cholo Boy: Sitaki Demu – Video

MSANII wa comedy anayechipukia Bongo, Cholo Boy amesema kwa sasa hataki mwanamke kwa sababu mademu wengi wa Bongo wanataka pesa...

READ MORE

Wema Azua Mjadala “Napenda Kupigwa na Boyfriend Wangu”

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na...

READ MORE

Jerome Boateng Akutwa na Hatia ya Kumshambulia Mpenzi Wake

MWANASOKA wa Ujerumani, Jerome Boateng amepatikana na hatia ya kumshambulia mpenzi wake wa zamani, na ameamrishwa kulipa faini ya euro...

READ MORE

Rihanna Apotezea Kesi Aliyomshtaki Baba Yake

STAA wa muziki nchini Marekani, Rihanna ametupilia mbali kesi dhidi ya baba yake, wiki chache kabla ya siku waliopaswa kukutana...

READ MORE

Aunty: Kwa Moses Iyobo Nilipotea Njia, Nikifunguka Patachafuka

STAA wa Tasnia ya Bongo Movie, Aunty Ezekiel amefunguka ya moyoni kumuhusu baba wa mtoto wake ambaye ni mnenguaji wa...

READ MORE

Penzi la Nandy, Billnass Utajua Hujui

UTAJUA hujui! Ndivyo walivyosikika mashabiki baada ya kuwaona wapenzi ambao ni mastaa wa Bongo FLeva, Faustina Charles ‘Nandy’ na William...

READ MORE

Vanessa Mdee Mama Kijacho, Aanika Kibendi Chake

MIONGONI mwa headlines za mastaa zinazotikisa Bongo leo ni hii exclusive ya Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee...

READ MORE

Diamond Ali-miss Penza la Wema, Aanika Mazito

STAA wa Bongofleva kutoka WCB Wasafi, Diamond Platnumz amesema akitazama video ya wimbo wake mpya ‘Naanzaje’ analikumbuka penzi lake na...

READ MORE

Kim Ashutumiwa Kuipigia Promo Sarafu ya Matapeli

SUPASTAA nchini Marekani, Kim Kardashian amekosolewa kwa kutangaza fedha ya kidigitali ambayo haijahalalishwa kwenye mtandao wake wa Instagram, na kiongozi...

READ MORE

Michael Williams Akutwa Amefariki Dunia

MUIGIZAJI maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani Michael Williams amefariki dunia. Nyota huyo amekutwa amefariki nyumbani kwake usiku wa Septemba...

READ MORE