×

Celebrities

Ndoa ya Paula na Rayvanny Yakataliwa Mtandaoni

BIG no! Moja kati ya stori zilizotikisa kwa sasa ni tangazo la ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa...

READ MORE

Steve Nyerere Awatolea Uvivu Viongozi Wanaopinga Chanjo “Wanaowashwa Watakunwa” – Video

MWENYEKITI wa Jukwaa la Mama Ongea na Mwanao ambaye pia ni balozi wa kuhimiza Chanjo ya Corona, Msanii Stevene Mengere...

READ MORE

Baba Levo: Rayvanny Usiwe Kama Umechanganyikiwa

Msanii Baba Levo amemkatalia Rayvanny kuoa haraka kama mtu aliyechanganyikwa baada ya Rayvanny kuweka hisia zake za kufanikisha jambo hilo...

READ MORE

Milionea Akiri Kuua

MWANASIASA milionea katika Mashariki ya Mbali ya Urusi amekiri kumuua mtu ambaye anasema alidhani ni dubu. Igor Redkin, 55, amesema...

READ MORE

Mose Iyobo Amfananisha Ruby na Rihanna

MOSE Iyobo amemfananisha mpenzi wake mpya Ruby na Rihanna baada ya siku kadhaa tu kupita tangu waingie kwenye mahusiano ambayo...

READ MORE

Kajala Awachana Wanaoingilia Maisha Yake

MUIGIZAJI wa Bongo Movie, Kajala Masanja amefunguka na kusema kuwa amechoka na tabia za watu kuendelea kufuatilia maisha yake binafsi....

READ MORE

Ben Pol Mwanaume Kuomba Talaka si Dhambi

Msanii wa Bongofleva, Ben Pol ambaye hivi karibuni alimwagana na mkewe Anerlisa amesema alitamani kuwanasa watu waliokuwa wakimkejeli kutokana na...

READ MORE

‘Bwam’dogo’ wa Uwoya Dubai Gumzo

BATA analokula msanii Irene Uwoya, Dubai, Falme za Kiarabu, tangu Juni 22, mwaka huu alipotinga huko, linaendelea kuwaunguza wenye roho...

READ MORE

Majibu ya Gigy Money Kuhusu Kurudiana na Mo Jay

MSANII Gigy Money amejibu madai ya taarifa za kurudiana na mzazi mwenzie Mo Jay baada ya kuonekana wakiwa pamoja na...

READ MORE

Kanye West Anaendelea Kuwapiga Watu Hela

HUENDA Agosti 15, mwaka huu mashabiki wasiipate album mpya ya rapa maarufu duniani, Kanye West, #DONDA bali wajipange kwenda uwanjani...

READ MORE

Idris Aingia Kwenye Orodha ya Dunia kwa Kutengeneza Pesa Ndefu Instagram

Mchekeshaji @idrissultan ndiye Mtanzania pekee ambaye ametokea kwenye orodha ya mastaa wa dunia ambao wametengeneza pesa ndefu kupitia mtandao wa...

READ MORE

R. Kelly Akiri Kumdhulumu Kingono Marehemu Aaliyah

MWANAMUZIKI wa R&B Nchini Marekani, R. Kelly akiri hayo ikiwa ni Miaka 30 tangu wawili hao walipopanga kufunga Ndoa R....

READ MORE

Amber Rutty Yamkuta Tena, Achezea Kipigo cha Mbwa Koko

MSANII Rutyfiya Abubakary ‘Amber Rutty’ yamemkuta mazito tena baada ya kutembezewa kichapo na mumewe Said Bakary. Hii si mara ya...

READ MORE

Wizkid Avunja Rekodi ya Mauzo ya Tiketi London

MKALI kutokea Nigeria, Wizikid ambae time hii amechukua Vichwa vya Habari baada ya kuutaarifu umma kumalizika mapema kwa tiketi za...

READ MORE

Nandy Siri Yake ya Ghana Yafichuka

WIKI iliyopita sexy lady kwenye tasnia ya Bongo Fleva, Faustina Charles au Nandy alisafiri kuelekea nchini Ghana ambapo safari hiyo...

READ MORE

Roma: Nikki Mbishi Chuki Zinakumaliza

Rapa Roma Mkatoliki amemwambia ukweli Nikki Mbishi kwamba apunguze chuki na makasiriko kwa wasanii wenzake kwani inamaliza kipaji chake kwenye...

READ MORE

Kitenge Aondoka Wasafi, Arejea EFM

Uongozi wa Wasafi Media umetangaza mtangazaji wake maarufu, Maulid Kitenge anaondoka katika kituo hicho. Mkurugenzi wa Wasafi, Diamond Platinum amemshukuru...

READ MORE

Olimpiki Na Ngao Ya Hisani Kukupa Ushindi Mnono

Wakati mashindano ya Tokyo Olimpiki 2020 yakielekea ukingoni, baadhi ya Ligi Soka barani Ulaya kuanza kutimua vumbi wikiendi hii na...

READ MORE

T.I. Akamatwa, Ajirekodi Ndani ya Kituo cha Polisi

RAPA kutokea Nchini Marekani, T.I. alikamatwa Jumanne, Agosti 3, huko jijini. Amsterdam baada ya baiskeli aliyokuwa akiiendesha kugongana na gari...

READ MORE

Mastaa Wasiotaka Pesa Za Wanaume Wapo Hapa

Hakuna kitu kizuri duniani kama kuwa na vya kwako. Ninamaanisha uwe na kazi au biashara yako ambayo mwisho wa siku...

READ MORE

Diamond Kupiga Bilioni 1.78 Marekani

Staa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz anatarajia kuanza ziara ya kimuziki nchini Marekani ambapo atafanya shoo 11 kuanzia Oktoba...

READ MORE

Rayvanny, Paula Wala Kiapo Cha Kifo

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa au Rayvanny na mpenzi wake mpya, Paula Paul au Paula Kajala, hawapoi; kila kukicha...

READ MORE

Mafia Hushpuppi Kwenda Jela Miaka 20

Mwamba anayetajwa kuwa ni Mafia namba moja nchini Nigeria kwa kuiba pesa mitandaoni, Ramon Abbas almaarufu Ray Hushpuppi amekiri kuwa...

READ MORE

Rasmi Tanasha Apata Mrithi wa Diamond

BAADA ya kuachana na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, maisha ya Tanasha Donna ya kimapenzi hayajakuwa kwenye mitandao ya...

READ MORE

Serikali Yavunja Ukimiya Magari Matatu Ya Diamond

MAMLAKA ya Mapato Tanzania – TRA imevunja ukimya kuhusu gharama za magari ya kifahari ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

PSG Ataanzaje Msimu Baada ya Kuukosa Ubingwa?

Baada ya mapumziko ya takribani miezi miwili, hatimaye vilabu vipo tayari kuanza kurejea dimbani, na wikiendi hii mambo yatakuwa moto...

READ MORE

Petitman Achumbia Leba

Meneja wa msanii Young Lunya Petitman Wakuache amem-surprise mama wa mtoto wake Official Dodo baada ya kumvalisha pete ya uchumba...

READ MORE

Rayvanny Aungana na Kiba

KAMA ilivyo kwa nguli wa Bongofleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ kuwa na ukaribu wa kipekee na Gavana wa Mombasa, Ali...

READ MORE

Mondi Amvimbisha Kichwa Zari

AMKENI…amkeni…! Unaambiwa huko nchini Afrika Kusini kumenoga kufuatia mahaba mazito ambayo yapo fulu chaji kati ya Msanii wa Bongofleva, Diamond...

READ MORE

R. Kelly na Tuhuma Mpya za Ulawiti

MWANAMUZIKI maarufu wa R&B nchini Marekani, Robert Sylvester Kelly ‘R. Kelly’ amekabiliwa na shutuma mpya za kumdhulumu kimapenzi mvulana mwenye...

READ MORE

Yao Aatangaza Kuachana na Grand P

MWIMBAJI na mwanamitindo maarufu nchini Ivory Coast, Eudoxie yao ameanika kuwa penzi lake na msanii maarufu wa Guinea, Moussa Sandiana...

READ MORE

Mapito Ya Lulu Yamebeba Funzo Kubwa

Siyo stori kwamba supastaa kiwango kabisa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael au Lulu amejaaliwa mtoto wa kiume wikiendi iliyopita.  ...

READ MORE

Kajala Atema Nyongo Kwa Wanaomsema Mitandaoni!

SUPASTAA mwenye mvuto kunako Bongo Movies, Kajala Masanja au Mama Paula ametema nyongo laivu.Kajala amesema kuwa, baadhi ya watu wanapoamua...

READ MORE

Meninah Matatani Kifo Cha Mumewe

MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Menina Attick ‘Meninah’, ameingia kwenye mkasa na utata mzito baada ya kifo cha mumewe...

READ MORE

Kanye West Ashirikiana na Hasimu Wake Jay-Z

RAPA Kanye West amefichua kwamba Jay-Z ni miongoni mwa wasanii walioshiriki katika albamu yake mpya alioizindua. West aliandaa sherehe ya...

READ MORE

Mastaa Wafurika Kwenye Birthday Ya Kajala -Video

 Muigizaji Kajala Masanja usiku wa kuamkia leo Julai 23, 2021 amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuanya hafla ndogo...

READ MORE

Video: Paula Na Rayvanny Wammwagia Kajala Pesa Kwenye Birthday Yake

 Muigizaji Kajala Masanja usiku wa kuamkia leo Julai 23, 2021 amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuanya hafla ndogo...

READ MORE

Nandy Apiga Shoo ya Kibabe Zanzibar – Video

MWANAMUZIKI Nandy amefanya balaa usiku wa kuamkia leo Julai 22, 2021 Zanzibar kwa kupiga shoo ya nguvu kwenye Tamasha lake...

READ MORE