MDOGOMDOGO sasa vita inataka kuhama kutoka kwa mabosi kwenda kwa wasanii wao ambapo msanii wa Bongo Fleva aliyesainiwa kwenye Lebo...
READ MOREMY Style ni kolamu ambayo inakuletea maisha ya nje ya sanaa ya mastaa mbalimbali. Leo tupo na mwanadada ambaye ameamua...
READ MOREMIAKA 13 iliyopita si karibu, ni umri wa mtu, lakini kuna kisa cha mastaa wawili ‘Hot’ Bongo, kimejirudia leo katika...
READ MORESTAA mwenye mvuto wake kwenye filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema kuwa kuachana kwake na dansa wa WCB, Moses Iyobo ni...
READ MORESTAA kunako Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa mzazi mwenziye Chuchu Hans ni mwanamke mwenye wivu sana. Akizungumza...
READ MOREMSANII wa muziki wa Bongo Fleva, William Lymo ‘Billnass’ amesema anatamani kufanya kolabo na wasanii kama Cassper Nyovest na Drake....
READ MOREMwanadada mwenye figa matata Bongo, Janey Rimoy maarufu mtandaoni kwa jina la Sanchi au Sanchoka amerejea katika vichwa vya habari,...
READ MOREDAR: WAKATI nchi ikiwa kwenye janga kubwa la mlipuko wa virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19, kwa mastaa...
READ MORELICHA ya janga la Corona kuendelea kutikisa nchini na duniani kote, bado kwenye ulimwengu wa mastaa nako kulikuwa na mambo!...
READ MORENYOTA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, ametoa ruhusa kwa serikali kuitumia hoteli yake mpya aliyoinunua kama hospitali ya...
READ MORENI yeye! Ndiyo, ni yeye Tanasha Donna ambaye ametengeneza habari mpya kufuatia kuona mzazi mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anamfanyia...
READ MOREKWENYE listi ya wanamuziki wazuri wa Bongo Fleva wanaojua kuimba, kutunga, kutumia vyombo na kuzalisha (produce) ngoma kali, huwezi kuacha...
READ MOREDAR: Kruu ya Wasafi Classic Baby (WCB), limeendelea kuwa chanzo kikubwa cha habari za mastaa Bongo, safari hii kuna...
READ MOREDAR: Bata analokula mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ na wanawe wakati akituikia kipindi cha kukutoka ndani (lockdown) huku...
READ MOREDAR: Licha ya kuwepo kwa janga la maambukizi ya Virusi vya Corona, mambo hayaishi mjini kwani ndiyo kwanza yanazidi kupamba...
READ MOREIONGEZWE sauti au mmeshasikia kwamba Tanasha Donna anajuta kumzalia mtoto Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi? Mwanamke huyo raia wa Kenya,...
READ MOREKWA wafuatiliaji wa mitandano ya burudani Bongo, mkoko mpya wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aina ya Rolls Royce unaotajwa...
READ MOREMIONGONI mwa watu waliofanya kazi kubwa ya kuukuza muziki wa Injili Bongo, lazima jina la Flora Mayalah almaarufu...
READ MOREMCHUMBA wa mtu anayefanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amempigia na kumpa heshima...
READ MOREESMA Khan ambaye ni dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Mondi’ amesema wakati watu wakiwa bize kumsema ameachika, yeye yuko bize...
READ MOREMUUZA nyago kunako video za Bongo Fleva, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ ambaye alikwaa skendo ya kutoka kimapenzi na mwanamuziki Nasibu...
READ MOREBAADA ya tetesi kuzagaa kuwa ameachana na mzazi mwenzake, Moses Iyobo ‘Moze’, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amepata kigugumizi...
READ MOREMAMBO vipi msomaji wa safu yako pendwa ya My Style? Kama ilivyo kawaida, hapa tunakutana na mastaa mbalimbali nchini na...
READ MORENYUMA ya pazia la muziki wa Bongo Fleva, kuna vita nyingi na kubwa za kimyakimya! Tukio la wasanii wawili wa...
READ MOREMAMBO ni mengi sana mjini. Unaambiwa wananzengo wamepiga kelele sana huko Instagram kwamba gari analotamba nalo staa wa Bongo Fleva,...
READ MOREMAMBO ni moto! Ndiyo maneno yanayotamkwa mtaani kwa sasa kutokana na habari kueleza kuwa, harusi ya mastaa wa Bongo Fleva;...
READ MORELICHA ya janga la maambukizi ya Virusi vya Corona kumtibulia mambo mengi staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’...
READ MORESTAA wa filamu ya Baby Mama Bongo, mjasiriamali Faiza Ally amefunguka alivyofanikiwa kurejea nchini akitokea nchini China na kuhofiwa kupata...
READ MOREMWANAMUZIKI sexy wa Bongo Fleva, Maua Sama ameweka wazi juu ya ombi lake la kupata mchumba mwenye mapenzi ya kweli....
READ MOREBaraza la Sanaa Taifa (BASATA) la mfutia usajili msanii wa muziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini maarufu kama Dudu Baya...
READ MOREWATU bwana! Siku chache baada ya msanii chipukizi Zuchu Kopa kuachia albam yake fupi ‘EP’ iitwayo ‘I’m Zuchu’, wamemgeuzia kibao...
READ MOREIKIWA ni siku moja tangu wasanii wake wawili killy na Cheed waondoke kwenye lebo yake ya Kings Music Records, msanii...
READ MOREMJI mzito huu! Baada ya mapichapicha ya staa wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’ na mwanamitindo Hamisa Mobeto...
READ MOREBAADA ya utata kuibuka kutokana na mwanamuziki William Lyimo ‘Billnass’ kumvisha pete ya uchumba, mpenzi wake ambaye pia ni mwanamuziki...
READ MOREUNAPOZUNGUMZIA muziki wa Rhumba au Zuku, huwezi kuacha kulitaja jina la Bob Haisa. Ni miongoni mwa wanamuziki wakongwe Bongo...
READ MOREBAADA ya kushambuliwa kwa kutomposti mtoto wa mpenzi wake, Francis Ciza ‘Majizo’ aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobeto aitwaye Baby Fansy,...
READ MOREWASANII wawili waliokuwa chini ya lebo ya Kings Music inayomilikiwa na Staa wa Bongo fleva, Alikiba, Cheed na Killy wametangaza...
READ MOREWATU wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi juu ya aina ya ulokole wa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Rose Alphonce ‘Muna’. ...
READ MORE“KUPENDA ni vitendo si manenomaneno, leo nakupa kitengo kwa kufika malengo, umeziba mapengo, kwa upendoupendo! Bora wananzengo waanze vikao vya...
READ MORE