×

Celebrities

Shishi ampa Kiba somo la ndoa

WAKATI msanii Ally Saleh Kiba ‘AliKiba’ ndoa yake ikiwa inapumulia mashine kutokana na migogoro, mrembo kutoka Bongo Fleva, Zuwena Mohamed...

READ MORE

Mtarajiwa wa Uwoya gumzo

HUKO Instagram wewe wape picha tu, maelezo watajaza wenyewe! Umbea mpya unaosambaa mitandaoni kwa sasa ni juu ya picha inayodaiwa...

READ MORE

BEN POL: NDOA YANGU ITAACHA SIMULIZI

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Bernard Paul ‘Ben Pol’ ameweka wazi kuhusiana na maandalizi ya ndoa yake na mrembo wa Kenya...

READ MORE

P Mawenge Aachia Ngoma Yake Mpya ‘UNGENIAMBIA’ – Video

MSANII wa Bongo Fleva, P Mawenge (P The MC), ameachia wimbo wake mpya uitwao “UNGENIAMBIA” ambao tayari upo kwenye mitandao...

READ MORE

Daktari Aanika Ugumu wa Mama Diamond Kuzaa Tena

UJAUZITO anaopata mwanamke mwenye zaidi ya umri wa miaka 50 huja na changamoto nyingi za kiafya na ugumu wa kuzaa,...

READ MORE

Petitman Amefulia, Hawezi Kumhudumia Mtoto Wake?

SIKU ya Septemba 23,2019 kwenye kipindi cha Katambuga kinachorushwa na  +255Global Radio, meneja wa wanamuziki, Petitman aka Batikayo,  aliongea mambo ...

READ MORE

Samatta Apewa Unahodha Genk

MAMBO yanazidi kumnyookea straika Mtanzania Mbwana Samatta katika kikosi cha KRC Genk baada ya Jumamosi iliyopita kuwa nahodha kwenye mechi...

READ MORE

Kanye West Aokoka, Aja Na Albamu Ya ‘Gospo’

SIKU chache baada ya mwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian, kuthibitisha kuwa yeye na mumewe Kanye West wameokoka, Kanye  amethibitisha tarehe...

READ MORE

Kuna Dalili Faiza Kupigwa Mimba Nyingine!

MACHUNGU yote yameondoka kwa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Faiza Ally baada ya kutumia muda mrefu na baba wa mtoto...

READ MORE

Maskini Wema… Hataki Tena Kuolewa

  UMEMSIKIA staa mkubwa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu? Bidada ameamua zake kuweka wazi kuwa hataki tena ishu...

READ MORE

SHAMSA ATUPA KULE DAYATI!

MWANAMAMA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amesema anajifahamu kuwa yeye ni kibonge, lakini suala la dayati hataki kulisikia.   Akistorisha...

READ MORE

SERIKALI YAJITOSA HARMO KUJITOA WASAFI

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), imejitosa kwenye sakata la staa wa...

READ MORE

Nandy Alivyotapika Kwenye Lifti!

MWANADADA mkali kwenye Bongo Fleva kwa sasa, Faustine Charles Mfinanga ‘Nandy’ ameeleza kuwa miongoni mwa mambo yaliyowahi kumtia aibu ni...

READ MORE

Harmonize Kununua TV ya Msama!

KUFURU nyingine! Staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, kila kukicha ana habari mpya. Safari hii, jamaa huyo anadaiwa kuwa...

READ MORE

Marlaw: Siamini Harmonize Kajitoa WCB!

HUWEZI kutaja orodha ya wasanii waliokubalika katika Muziki wa Bongo Fleva mwanzoni mwa miaka ya 2,000 bila kulitaja jina la...

READ MORE

Ndoa ya Tiko kufungwa katikati ya bahari

KILA mtu na staili yake! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa filamu na muziki, Tiko Hassan kusema kuwa ndoa...

READ MORE

 Ijue Siri ya  Jide Kutoboa Miaka 20 Kwenye Game

DAR ES SALAAM: Mwanadada mkongwe kunako Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ amevunja ukimya juu ya suala la...

READ MORE

AROBAINI YA MWANAYE…YAMPONZA MBOSSO!

NI shida! Ndivyo unavyoweza kusema, baada ya hivi karibuni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Yusuf Mbwana Kilungi ‘Mbosso’ kumfanyia sherehe ya...

READ MORE

DMX ASAINI MKATABA MPYA NA DEF JAM

  KAMPUNI ya muziki ya Ruff Ryders imesaini mkataba mpya na Def Jam Records, kwa mujibu wa XXL. Mwaka 1998,...

READ MORE

ISHU YA TANASHA KUJIFUNGUA…OFM watinga kimafia nyumbani kwa Diamond

BAADA ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Dimond Platnumz’ amepata mtoto wa nne kwa mpenzi...

READ MORE

Hamisa atamani kuolewa

SIKU hizi ndoa ni shughuli pevu jamani! Hilo limejidhihirisha kwa mwanamitindo na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Hamisa Mobetto ambaye ameeleza...

READ MORE

NANDY AVUNJA UKIMYA ISHU YA MIMBA YAKE

BAADA ya habari kuzagaa kuwa ana mimba, mrembo anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amevunja ukimya...

READ MORE

Queen Darleen amfanyia kufuru Mbosso

DADA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ hivi karibuni alimfanyia kufuru msanii mwenzake, Yusuf...

READ MORE

Ebitoke Asimulia Alivyoanza Mapenzi Na Mlela

MIONGONI mwa stori zenye wafuatiliaji wengi kuhusu mastaa wa Bongo ni ‘couple’ mpya jijini inayowahusisha waigizaji Ebitoke na Yusuph Mlela...

READ MORE

Harmonize Anapata Wapi Jeuri Kujitoa Wasafi

Miongoni mwa majina ya watu maarufu wanaozungumziwa zaidi mwisho wa mwaka 2019, Yupo Harmonize ambaye amekuwa homa kila kona ya...

READ MORE

Baada ya kutua Bongo kimyakimya… Zari ampa Tano JPM

MWANAMAMA mjasiriamali wa Uganda mwenye maskani yake kwa Madiba nchini Afrika Kusini, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, wikiendi iliyopita...

READ MORE

Wema, Mobeto wamaliza bifu

BAADA ya kuishi kwa muda mrefu huku ikidaiwa hawaivi, warembo Wema Sepetu na Hamisa Mobeto wameonesha kwamba hawana tena kinyongo...

READ MORE

Mwanamke Mwingine Amemshitaki Chris Brown

MWANAMKE  mmoja anayetambulika kwa jina la Danielle Griffin amemshitaki Chris Brown baada ya kuteseka na maumivu ya macho kwa kipindi...

READ MORE

Celine Dion Afunguka Kifo cha Mume, Ujio Wake Mpya

JUMATANO Septemba 18, Celine Dion alifanya mahojiano na gazeti moja la burudani na kuzungumzia  mambo kadhaa ukiwemo ujio wa albamu...

READ MORE

Whozu: Staa wa Komedi Tangu Instagram Hadi Bongo Fleva

MWANZONI mwa miaka ya 2000 wakati watoto waliozaliwa miaka ya tisini wanakua, ilikuwa mara chache sana kukutana na wachekeshaji vijana...

READ MORE

Kitumbo cha Nandy chashtua!

MTOTO mzuri Nandy amedaiwa kunasa ujauzito kufuatia wananzengo kuona kipande kipya cha video cha mrembo huyo.  Kwenye kurasa mbalimbali za...

READ MORE

Jokate atoa ya moyoni followers mil. 5

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwigelo amefurahishwa na idadi ya wafuasi kwenye ukurasa wake wa Instagram kuongezeka hadi kufikia...

READ MORE

 Esha Buhet: Aunt ana roho jamani!

NI ngumu sana kusikia staa akimpigia saluti staa mwenzake lakini kwa msanii wa Bongo Muvi, Esha Buhet ni kama maji...

READ MORE

Fahyma: Natongozwa sana, ila Rayvanny…

 MKE wa msanii wa Bongo Fleva ambaye ni memba wa Kundi la Wasafi Classic Baby ‘WCB’ Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ Fahyma...

READ MORE

Dimpoz Ampigia goti Mondi

LICHA ya kuwa na tofauti kwa muda mrefu, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ametoa kauli iliyotafsiriwa kuwa...

READ MORE

Faiza atua Bongo, roho kwatu!

KUBALI yaishe! Mwanamama wa Bongo Movies, Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’...

READ MORE

Ebitoke aapa kumzalia Mlela

YA Mungu mengi! Ukimsikia komediani Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ utacheka, maana mwenyewe ameapa kumzalia mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa kiume...

READ MORE