×

Celebrities

Wolper akiri kudanga

WAKATI mastaa mbalimbali wa kike wakidaiwa kudanga kwa wanaume tofauti, mwigizaji Jacqueline Wolper amefunguka kuwa hata yeye amewahi kufanya hivyo,...

READ MORE

Full Story Skendo Mondi, Zari Kulala Hoteli ya Trump

SKENDO mpya mjini inawagusa wazazi wenza, mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’,...

READ MORE

Lulu Diva Anasa Mimba, Aibua Utata!

MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ kukiri kunasa ujauzito lakini...

READ MORE

Hali ni Mbaya Kitanzi cha R Kelly… Kumbe Alifunga Ndoa na ‘Katoto’?

KUTOKA nchini Marekani, staa wa muziki R Kelly akiwa anaendelea kusota rumande kwa kesi yake ya unyanyasaji wa kingono kwa...

READ MORE

Billnas Kuhusu Kuhongwa Gari na Nandy na Kusainiwa WCB – Video

Msanii wa Bongo fleva, William Nicholaus Lyimo aka Billnas amekanusha tetesi za kununuliwa gari na msanii mwenzie Nandy ambazo zimekuwa...

READ MORE

Baba Diamond Afunguka Harmonize Kusepa WCB

BABA wa msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mzee Abdul Juma amefunguka kuhusu uamuzi wa msanii...

READ MORE

Petit naye amnyoosha Esma

WASWAHILI wanakuambia malipo ni hapahapa duniani. Baada ya Esma kutamba sana na mpenzi wake mpya, upande wa pili nao umejibu!...

READ MORE

Rayvanny , Lulu gumzo

WATU weweee! Ndivyo hali ilivyokuwa mapema wiki hii baada ya kudaiwa Rayvanny na Lulu kuna kitu kinaendelea. Mambo yalikuwa hivi;...

READ MORE

Tessy atoa kauli tata kumhusu Aslay!

MREMBO Tessy Abdul ‘Tessy Chocolate’ ametoa kauli tata inayotafsiri kwamba anamzungumzia mzazi mwenziye, Aslay Isihaka japokuwa hakutaka kumtaja moja kwa...

READ MORE

Ester, Wema ameniumiza sana!

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Ester Kiama amesema muigizaji mwenzake, Wema Isaac Sepetu amemuumiza roho hadi kumfanya aangue kilio na kukosa...

READ MORE

Tanasha: Sina Usista Duu Kwenye Kulea

MASTAA wengi wanapokuwa wanalea wanaweka ustaa mbele na kusahau kwamba washakuwa mama, ishu hizo ndizo hataki kuzisikia kabisa mpenzi wa...

READ MORE

Esha, Mapenzi ya Ebitoke, Mlela siyo kiki

MWANAMAMA anayefanya vizuri kunako Bongo Muvi, Esha Buheti amesema mapenzi ya msanii mwenzake Yusuph Mlela na mchekeshaji, Anastazia Exavery ’Ebitoke’...

READ MORE

Koletha aeleza alivyosahau gari baa

WAKATI wengi wakisahau vitu kama simu, funguo na vinginevyo kwa staa wa filamu za Kibongo, Koletha Raymond ametoa kali baada...

READ MORE

Dogo Janja, Namtamani Sana Vee Money

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’ ameweka wazi mapenzi yake kwa mwanamuziki mwenziye Vannessa Mdee ‘Vee Money’ kuwa...

READ MORE

 Mobeto Amponza Dimpoz

WANANZENGO siyo watu wazuri! Ile tabia ya staa wa Bongo Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuwanyapianyapia warembo ambao walibanjuka...

READ MORE

NDOA YA DAVIDO YANUKIA

WAKATI tetesi zikizidi kutapakaa kuwa mrembo Chioma ni mjamzito, Davido ameanza mipango ya kufanikisha ndoa yake na mrembo huyo ambayo...

READ MORE

50 Cent, Chris Brown ni mfalme kuliko Michael Jackson

RAPA kutoka Marekani, Curtis Jackson III ‘50 Cent’ amesema kwa mtazamo wake, staa wa Muziki wa R&B na Pop, Christopher...

READ MORE

Baada ya Mapito Mazito,Hawa nitarejea amtamani Diamond

ANAITWA Hawa Mayoka lakini wengi wanapenda kumuita Hawa Nitarejea. Mwanadada huyu amepitia wakati mgumu baada ya kuugua lakini Mungu akamsimamisha...

READ MORE

Billnass Amfungukia Nandy

MBONA ni washkaji tu! Ndiyo maneno aliyotoa mkali wa Hip Hop Bongo, William Lyimo ‘Billnass’ baada ya madai kusambaa kuwa...

READ MORE

KISHINDO NDOA YA BABU SEYA!

DAR ES SALAAM: “Jamani Babu Seya huyuhuyu aliyefungwa kifungo cha maisha gerezani ndiye anaoa?”  “Ndiye huyohuyo ambaye jina lake kamili...

READ MORE

Kevin Hart Ajeruhiwa Vibaya kwa Ajali ya Gari

  Moja ya magari ya mwigizaji Kevin Hart likiwa mtaroni katika Milima ya Malibu baada ya kutoka barabarani.MWIGIZAJI Kevin Hart...

READ MORE

Wellu Akiri Kubadili Dini Mazima

MWANAMAMA sexy kunako Bongo Movies, Wellu Sengo amekiri kubadili dini mazima kutoka Ukristo kwenda Uislam huku akisisitiza kuwa hawezi kuzuia...

READ MORE

Msikubali Kutapeliwa Kupitia Kajala

BAADA ya watu mbalimbali kuibuka na kudai kuwa wametapeliwa na mtu anayejiita Kajala kwenye mitandao ya kijamii, mwigizaji Kajala Masanja...

READ MORE

Odemba Hata Haoni Aibu!

WAKATI wengine wakijivalisha digirii kutokana na umaarufu walio nao kwenye jamii, mwanamitindo Miriam Odemba amevunja ukimya na kusema kuwa haoni...

READ MORE

Simanzi Afrika! Dj Arafat Azikwa Kitaifa Ivory Coast

Maelfu ya watu nchini Ivory Coast walikusanyika katika uwanja wa Felix Houphouet Boigny huko Abidjan kushiriki ibada ya kuaga mwili...

READ MORE

Mery Mawigi Atulizwa na Siasa

STAAanayetamba kwenye Tamthiliya ya Huba, Mary Mawigi amesema kwa sasa ametulizwa na siasa kwani huko hakuhitaji pilika nyingi za mjini...

READ MORE

Kim Nana Haachiki Kirahisi

WALE mnaopenda kufuatilia maisha ya watu mpo? Haya sasa muuza nyago maarufu Bongo Lilian Kessy ‘Kim Nana’ amesema kuwa yeye...

READ MORE

Mlela Alindwa na Baunsa, Ataja Sababu!

MAMBO mazuri! Kama Staa wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela naye kwa sasa analindwa na baunsa ambapo anataja sababu za...

READ MORE

Kimewaka! Ufisadi Bil. 300 Wamkumba Mchumba Ben Pol

HABARI kubwa nchini Kenya ni juu ya familia ya wakwe wa staa wa Muziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben...

READ MORE

Baada ya Harmonize Kujitoa… Rayvanny Taa Nyekundu Wasafi

DAR ES SALAAM: UNA kifua nikupe ubuyu? Staa mwenye kiwango cha juu ndani ya Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ anayepiga...

READ MORE

Meneja Aingilia Penzi la Ebitoke, Mlela

MENEJA wa zamani wa mchekeshaji Ebitoke, Bhoke Rioba ameingilia kati suala la msanii wake huyo kuanika uhusiano wake na mwigizaji...

READ MORE

AIKA AMPIGA BITI NAHREEL

MWANAMAMA mkali kunako Bongo Flevani, Aika Mariale amempiga bonge la biti mzazi mwenzake, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ akimwambia afanye yote, lakini...

READ MORE

Ruby afunguka kuachana na mzazi mwenzake

KUACHWA au kuacha kusikie kwa wengine, usiombe yakukute! Hayo ni maneno ya mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Hellen George...

READ MORE

Dudubaya Aokoka, Aaangushiwa Maombi ya Kufa Mtu

MSANII nguli wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini, maarufu kama Dudubaya ama Konki Master, ameamua kuokoka na kumrudia Mungu, jambo ambalo...

READ MORE

Sabby Angel Amshauri Harmonize

WIKI chache baada ya Meneja wa WCB, Sallam kusema kuwa staa wa Bongo Fleva, Abdul Khali ‘Harmonize’ ameandika barua ya...

READ MORE

 Lulu Diva afungukia kumvuruga Tanasha!

DAR ES SALAAM: Agosti 2, mwaka huu, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilazimika kukanusha habari zilizokuwa zikienea...

READ MORE

Kisa Tsh Milioni 100, Prof Jay vs P Funk Pachimbika – Video

TAARIFA ya Chama cha Hakimiliki Tanzania (The Copyright Society of Tanzania – COSOTA) kuwa imesimamia na kuhakikisha rapa maarufu nchini...

READ MORE