×


ChampioniKiungo Simba: Yanga wamenasa Jembe

SIKU chache baada ya kudaiwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera anatarajiwa kumchukua kiungo mshambuliaji wa timu ya Kariobang Sharks ya Kenya, Duke Abuya,…

SOMA ZAIDI

Wamwagiwa minoti kuimaliza Yanga SC

LIPULI FC ya mkoani Iringa imejipanga kisawasawa kuhakikisha inawatuliza wapinzani wao, Yanga watakaokutana nao Mei 6, mwaka huu katika mchezo wa Kombe la FA. Lipuli…

SOMA ZAIDI

Straika Mkenya mambo safi Yanga

DIRISHA la usajili likifunguliwa, Yanga huenda ikafanya kazi moja tu kutangaza orodha ya kikosi chake na watakapopiga kambi.   Kama mambo yakienda sawa huenda kabla…

SOMA ZAIDI


Ajibu: Hii ngoma bado mbichi

NAHODHA wa Yanga, Ibrahim Ajibu, amesema kuwa ngoma ya ubingwa bado mbichi, hivyo kasi yake lazima iendelee mpaka wapate kile wanachostahili kwenye Ligi Kuu Bara….

SOMA ZAIDI

Mo Awapa Bocco, Okwi Mil 240.

SIMBA Wamebakiza pointi tano tu wawang’oe wapinzani wao Yanga katika nafasi ya kwanza kwenye msimamo. Sasa ili kukoleza vita ya kuwashusha, nyota wa kikosi hicho…

SOMA ZAIDI

Aussems: Tunarudi Dar, Kazi Bado

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amefunguka kuwa wanarudi jijini Dar kujipanga zaidi baada ya kukusanya pointi tisa kwenye mechi zao nne za Kanda ya…

SOMA ZAIDI

TAKUKURU WAMUITA MWINYI ZAHERA

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imewataka wadau wote wa michezo akiwemo Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera kuwasilisha malalamiko yao licha ya…

SOMA ZAIDI

Msuva Aweka Rekodi Morocco

MSHAMBULIAJI wa Difaa El Jadida ya Morocco, Simon Msuva, ameweka rekodi mpya ya mabao katika klabu yake baada ya kufunga mabao 12 msimu huu.  …

SOMA ZAIDIYondani Aletewa Msaidizi Yanga

YANGA wanafanya mambo yao kwa siri kubwa huku wakipania kuwapa bonge la sapraizi mashabiki wao kwenye usajili wa safari hii. Lakini Spoti Xtra limebaini kwamba…

SOMA ZAIDI

Kocha Simba abeba mabegi, atimka

INAELEZWA Kocha Msaidizi wa Simba, Denis Kitambi, ameamua kujiondoa kwenye timu hiyo kufuatia madai ya kutopewa mkataba tangu ajiunge na timu hiyo. Kocha huyo alijiunga…

SOMA ZAIDI