×


Championi

TAKUKURU WAMUITA MWINYI ZAHERA

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imewataka wadau wote wa michezo akiwemo Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera kuwasilisha malalamiko yao licha ya…

SOMA ZAIDI

Msuva Aweka Rekodi Morocco

MSHAMBULIAJI wa Difaa El Jadida ya Morocco, Simon Msuva, ameweka rekodi mpya ya mabao katika klabu yake baada ya kufunga mabao 12 msimu huu.  …

SOMA ZAIDIYondani Aletewa Msaidizi Yanga

YANGA wanafanya mambo yao kwa siri kubwa huku wakipania kuwapa bonge la sapraizi mashabiki wao kwenye usajili wa safari hii. Lakini Spoti Xtra limebaini kwamba…

SOMA ZAIDI

Kocha Simba abeba mabegi, atimka

INAELEZWA Kocha Msaidizi wa Simba, Denis Kitambi, ameamua kujiondoa kwenye timu hiyo kufuatia madai ya kutopewa mkataba tangu ajiunge na timu hiyo. Kocha huyo alijiunga…

SOMA ZAIDI
Matola: Mpeni Kagere tuzo yake

WAKATI Ligi Kuu Bara ikielekea ukingoni kocha wa Lipuli FC, Selemani Matola amefunguka kuwa nyota wa Simba Meddie Kagere anastahili kuwa mchezaji bora katika Ligi…

SOMA ZAIDI

TFF yamzuia Yondani kuivaa Azam

BEKI wa Yanga, Kelvin Yondani amefungiwa mechi tatu baada ya kumpiga ngumi mchezaji wa Kagera Sugar, huku wachezaji wa Azam FC, Aggrey Morris na Peter…

SOMA ZAIDI

Familia yamuondoa Cannavaro Yanga

IMEELEZWA kuwa kimya kingi cha Meneja wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kutokuwepo katika kikosi hicho, kinatokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia. Katika siku za…

SOMA ZAIDI

Tuyisenge kimeeleweka Yanga

WAKALA wa mchezaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere ambaye ni Patrick Gakumba, amefunguka na kusema mazungumzo kati yake na mabosi wa Yanga yanakwenda vizuri na…

SOMA ZAIDI
RONALDOAWEKA REKODI DUNIANI

SHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo, juzi, aliweka rekodi ya pekee baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Italia (Serie A), na timu yake ya Juventus….

SOMA ZAIDI


Zahera amvaa Haji Manara

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amemtaka Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Simba, Haji Manara aache kumfuatilia kwa kuwa alichokisema yeye Zahera kuhusu Simba…

SOMA ZAIDI

Vigogo Kurudishwa Yanga SC

VIGOGO wa Yanga ambao walikatwa majina yao kwenye mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa Yanga unaotarajiwa kufanyika Mei 5, mwaka huu watarudishwa ndani ya uchaguzi…

SOMA ZAIDI
Zahera amkwepa Mo Dewji

Mwinyi Zahera KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amepiga hesabu za mbali na kuamua kufanya usajili wake mapema kwa ajili ya kuwakwepa vigogo wa kamati…

SOMA ZAIDI