×

Championi

Mkude, Chama wapewa kazi maalum kuiua Mbabane

SIMBA ipo ka­tika maandalizi makali ya mechi yake ya Juma­tano ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mbabane Swal­lows kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Kapombe apasuliwa mguu Sauz – Video

BEKI wa kulia wa Sim­ba, Shomari Kapombe, amefanyiwa upasuaji wa mguu kufuatia kuu­mia enka kwenye kambi yaT­aifa Stars nchini Afrika...

READ MORE

Chirwa amkimbiza straika Azam

Ujio wa Obrey Chirwa umesababi­sha Ditram Nchimbi aondolewe katika kikosi cha Azam. Nchimbi alikuwa tegemeo kwenye kikosi cha Njombe Mji...

READ MORE

Wazungu waondoka na mafaili ya Salamba

TIMU tatu kutoka barani Ulaya ambazo zimeonyesha nia ya kutaka kumsaini mshambuliaji wa Simba, Adam Salamba, tayari zimepewa ‘makabrasha’ ya...

READ MORE

Yanga yateketeza mamilioni Mwanza

YANGA imeendelea kuonyesha jeuri ya fedha, ni baada ya jana kutumia usafiri wa ndege kuwafuata wapinzani wao Kagera Sugar mkoani...

READ MORE

Manyika: Kindoki hana sifa ya kuichezea Yanga

KIPA wa zamani wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Peter Manyika amefunguka kuwa kipa Klaus Kindoki hana sifa...

READ MORE

Nyosso apewa Makambo, Ngassa

KATIKA kuhakikisha anabakiza pointi tatu nyumbani, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema tayari amekiandaa vyema kikosi chake kupambana...

READ MORE

Yanga SC yamweka kando Ibrahim Ajibu

IBRAHIM Ajibu amebakiza miezi nane kwenye mkataba wake pale Yanga, lakini Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Yanga, Hussein Nyika...

READ MORE

Mbelgiji Simba: Nimepewa jina la Ulimwengu

KOCHA wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems ameweka wazi kuwa amekabidhiwa jina la mshambuliaji Thomas Ulimwengu. Ulimwengu ambaye amevunja mkataba wake...

READ MORE

African Lyon wana jezi pea moja tu

KWELI hali ni mbaya kwa upande wa kikosi cha African Lyon baada ya nyota wake kuwa na jezi pea moja...

READ MORE

Madrid Wamfuata RASHFORD England

KLABU ya Real Madrid im­eonekana kuweka nguvu yake kwenye usajili kwa sasa baada ya kutenga kitita cha pauni milioni 90...

READ MORE

Amunike kaa mguu sawa, sisi Watanzania ni Wabrazili

MWAKA 2001, timu ya taifa ya Brazil ilikuwa kwenye hatikati ya kuko­sa michuano ya Kombe la Dunia kwa mara ya...

READ MORE

Nyoni awaangukia Watanzania

BEKI wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Erasto Nyoni, amewaambia Watanzania kuwa, bado hawajamaliza kazi, hivyo waendelee kuwasapoti....

READ MORE

Kapombe kubakia Sauz

BEKI wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe, atalazimika kubakia Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu kufuatia majeraha ya kuvunjika mguu...

READ MORE

Stars yatumia Sh milioni 31 Lesotho

WAKATI kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana kikiwa nchini Lesotho kusaka nafasi ya kufuzu michuano ya...

READ MORE

Simba kumuuza Salamba Ubelgiji

MSHAMBULIAJI wa Simba, Adam Salamba, yupo mbioni kutimkia kwenye Klabu ya Royal Sporting Club Anderlecht inayoshiriki Ligi Kuu ya Ubelgiji....

READ MORE

Manji noma, awajibu TFF kibabe

WAKATI sakata la Yusuf Manji likiendelea kuwaumiza vichwa wengi juu ya nafasi yake ndani ya klabu hiyo, hatimaye mwenyewe amewajibu...

READ MORE

Beki Rayon: Yanga kwanza, Simba baadaye

WAKATI Simba ikiendelea kumfukuzia beki wa kati wa Klabu ya Rayon ya Rwanda, Abdul Rwatubyaye, mlinzi huyo mwenye tatuu kibao...

READ MORE

Aliyekataliwa Simba awa kipa bora Ethiopia

ALIYEWAHI kuwa golikipa wa Simba SC, Daniel Agyei amechaguliwa kuwa kipa bora wa ligi kuu nchini Ethiopia. Agyei aliyeachwa na...

READ MORE

Kapombe apatwa na balaa Sauzi

HOFU imetanda baada ya beki wa kulia wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Shomari Kapombe kuumia katika mazoezi...

READ MORE

Kocha wa Manny Pacquiao Kumsimamia Tyson Fury

KUELEKEA pambano lake dhidi ya Deontay Wilder, bondia Tyson Fury anatarajiwa kumtumia Freddie Roach kuwepo katika kona yake wakati wa...

READ MORE

Samatta atua Sauz kuongeza nguvu Stars

KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars kinatarajiwa kuingia nchini Lesotho tayari kwa mchezo wake wa Jumapili dhidi ya wenyeji...

READ MORE

MABOSI SIMBA SC WAPEWA MAJINA MAWILI

HATIMAYE mabosi wapya wa Simba wamekabidhiwa majina mawili ya wachezaji wanaotakiwa na Mbelgiji Patrick Aussems kwenye dirisha hili la usajili....

READ MORE

Pluijm: Nitazipoteza Simba na Yanga SC

KOCHA mkuu wa Azam FC, Hans van Pluijm ameibuka na kusema kwamba anachokifanya yeye ni kuzimaliza timu za Simba na...

READ MORE

Humud azungumzia mustakabali wake

KUELEKEA usajili wa dirisha, kiungo aliyeachana na KMC hivi karibuni, Abdulhalim Humud, ameizungumzia hatma yake baada ya kuachana na timu...

READ MORE

ALIYEANZISHA KOMBE LA DUNIA HUYU HAPA

UNAPOZUNGUMZIA michuano ya soka, basi ile ya Kombe la Dunia ndiyo inashika namba moja kwa ukubwa na inapendwa sana duniani...

READ MORE

Gaucho Aliwahi Kufunga Mabao 23 Peke Yake Kwenye Mechi Moja

RONALDINHO Gaucho ambaye ni nyota wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, alikuwa akisifika kwa uhodari wake wa...

READ MORE

Sanchez anazungumza na wachezaji watatu tu United

IMERIPOTIWA kuwa Alexis Sanchez hana uhusiano mzuri na wachezaji wenzake, na hiyo imetajwa kuwa ni moja ya sababu zinazomfanya atake...

READ MORE

Pluijm: Kwa Ngoma na Chirwa mbona Ubingwa mapema

BAADA ya uongozi wa Azam hivi karibuni kumtangaza mshambuliaji wao mpya Mzambia, Obrey Chirwa, kocha mkuu wa timu hiyo, Mholanzi,...

READ MORE

Niyonzima alipwa mil 25 kwa mechi moja Simba SC

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Haruna Niyonzima, mambo yake ni magumu ndani ya klabu hiyo na taarifa zinaeleza anataka kusepa baada...

READ MORE

 Mzungu amfungukia Kichuya

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems, amefunguka kuwa kitendo cha Shiza Kichuya kutoanza kwenye michezo iliyopita si tatizo, bali...

READ MORE

Kakolanya auwasha moto Yanga SC

KIPA namba moja wa Yanga msimu huu, Beno Kakolanya amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu na kutoumizwa...

READ MORE

Kagere Amvuta Kahata Simba

BAADA ya tetesi za muda mrefu na mvutano wa muda kuhusu usajili wake, hatimaye kiungo mchezeshaji wa Gor Mahia ya...

READ MORE

Niyonzima: Chama Anajua Ila Namzidi Hapa…

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Haruna Niyonzima amekiri kwamba kiungo mwenzake, Claytous Chama anaujua mpira vizuri lakini anamzidi uwanjani kwa sababu...

READ MORE

Chirwa: Ninachowaza ni Kuwafunga Yanga Kwanza

STAA mpya wa Azam FC, Obrey Chirwa amefunguka kwamba moja ya malengo yake kwa sasa ni kuwafunga mabosi wake wa...

READ MORE

Kocha Zahera Amwaga Machozi Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, raia wa DR Congo, amefunguka kuwa wachezaji wake ni wavumilivu na amekuwa akiwasikiliza kila...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aipigia Hesabu Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems ameweka wazi kuwa hana mpango wa kuifuatilia kasi ya Yanga kwa kuwa sasa...

READ MORE

Samatta Ampa Mchongo Msuva Ulaya

 MSHAMBULIAJI wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta, amempa ‘mchongo’ kiungo mshambuliaji wa Difaa El Jadida ya Morocco, Simon...

READ MORE

PROMOSHENI MAGAZETI YA GLOBAL YATIKISA KIBAMBA MPAKA KIBAHA

Promosheni ya Magazeti ya Global Publishers leo Jumatano, Novemba 7, 2018 imeendelea kuchanja mbuga ambapo ilikuwa ni pande za Kibamba,...

READ MORE

Yanga SC: BMT, TFF tuachieni Manji wetu

TAWI la Yanga la Manzese la jijini Dar es Salaam limeibuka na kutoa tamko lao kuwa, wao wanafahamu Yusuf Manji...

READ MORE