×

Championi

Sokabet Beach Soccer Sasa Kufanyika Coco

MICHUANO ya Beach Soccer inayodhaminiwa na gazeti namba moja la michezo Tanzania la Championi na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha...

READ MORE

Kiboko ya Okwi Apelekwa Yanga

MABOSI wa Yanga wanaweza kucheka baada ya uongozi wa Prisons kusema upo tayari kuwauzia mshambuliaji wao Rashid Mohammed mwenye mabao...

READ MORE

Simba Yamteka Asante Kwasi Kwa Saa Nne

  BEKI wa kati wa Lipuli FC, Asante Kwasi raia wa Ghana, muda wowote anaweza kuwa mali ya Simba baada...

READ MORE

Majimaji Yaanika Kilichowaponza Kwa Ruvu

BAADA ya juzi Jumamosi Majimaji FC kupoteza mechi yake dhidi ya Ruvu Shooting, kocha mkuu wa timu hiyo, Peter Mhina,...

READ MORE

Straika Yanga Amuomba Lwandamina Asepe

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Matheo Anthony, hivi karibuni aliamua kumfuata kocha wa timu hiyo, George Lwandamina, akitaka kumpa ruhusa ya kuondoka...

READ MORE

Tambwe Aondoka na Mtu Yanga

KUREJEA kwa mshambuliaji wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe kumekifumua kikosi cha Mzambia, George Lwandamina ambaye atalazimika kumuondoa mchezaji mmoja katika...

READ MORE

Okwi Awekwa Chini Ya Uangalizi Simba

KUFUATIA kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Emmanuel Okwi kuwa majeruhi wa enka, uongozi wa klabu hiyo, umetoa rai kuhakikisha...

READ MORE

Kesi Yamkosesha Usingizi Wema

ST A A mwenye nyo­ta kali Bongo, Wema Sepetu, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachomnyima usingizi kila siku kama kesi yake...

READ MORE

Aunt Atangaza Nia Ya Ndoa Na Iyobo

STAA mkali wa filamu Aunt Ezek­iel, ameweka wazi nia yake ya ku­funga ndoa yake ya pili na mzazi mwenzie Moses...

READ MORE

Okwi Aanza Kuwindwa Kimyakimya

  STRAIKA wa Simba, Em­manuel Okwi, raia wa Uganda, kwa sasa ndiye kinara wa mabao kwenye Ligi Kuu Bara, lakini...

READ MORE

Dk Shika Alivyopata Shavu La Sokabet (Video)

MSOMI na ‘bilionea’ aliyejipatia umaarufu hivi karibuni baada ya kutaka kununua nyumba za mnada za mfanyabiashara, Said Lugumi, Dk Louis...

READ MORE

Tunaona Ligi Imekuwa Ngumu Kwa Kuwa Haki Inatendeka…

UNAPOKUWA unakosoa bila ya woga, basi inakuwa vizuri sana ukawa pia unasifia bila ya kuhofia lawama kutoka upande wowote ule....

READ MORE

Neville Akiri Man City Hawatafungiki

KIWANGO kinachoonyeshwa na Manchester City hivi sasa kimemfanya gwiji Phil Neville anyooshe mikono na kutamka: “Hawa jamaa hawatafungika msimu  huu....

READ MORE

Waziri Kushusha Straika Yanga SC

KATIKA kuhakikisha wanafanikiwa kumpata mpachika mabao wa Tanzania Prisons, Mo­hammed Rashid, Yanga imepanga kumtumia waziri mmoja aliyepo chini ya Rais...

READ MORE

Ngoma Kutua Singida United, Tafadzwa Kutinyu Yanga

LEO Jumatano ya Novemba 15, 2017, dirisha dogo la usajili limefunguliwa ambapo litazihusu timu za Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja...

READ MORE

Julio: Tulieni Tu, Mechi Za Nyumbani Zitatubeba

LICHA ya kufungwa mechi mbili mfululizo, Kocha Mkuu wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ameweka bayana kwamba ana uhakika mkubwa...

READ MORE

Juuko Kuondolewa Simba Kisa Uongozi

BEKI wa kati wa Simba, Juuko Murshid, mkataba wake na klabu hiyo unamalizika mwezi Desemba, lakini hivi karibuni viongozi wa...

READ MORE

Kwamba Man City Wasifungike

MANCHESTER City walivyouanza msimu, wamesababisha watu waamini kuwa huu ni mwaka wao wa kumaliza ligi bila kufungwa mechi yoyote. Wanafanya...

READ MORE

Bayern Kutafuta Pointi Muhimu Bundesliga

BUNDESLIGA itaendelea tena wikiendi ijayo wakati Bayern Munich watakapokuwa uwanjani kutafuta ushindi muhimu kwenye ligi hiyo kubwa. Bundesliga ni ligi...

READ MORE

Kichuya: Ajibu Siyo Mtu Mzuri

KA T I K A mechi mbili za mwisho za Simba katika Ligi Kuu Bara zilizo­chezwa hivi karibuni, Shiza Kichuya...

READ MORE

Lwandamina Ana Kesi, Afanye Maamuzi Magumu

UKIJUMLISHA mabao yaliyofungwa na timu za Ruvu Shooting, Stand United, Njombe Mji, Ndanda FC na Lipuli ya Iringa ndiyo unapata...

READ MORE

Tambwe Kaanza Kiburi Akiwa Benchi

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe amesema hali yake kwa sasa siyo mbaya sana na muda wowote atarudi uwanjani, lakini amepiga...

READ MORE

Mkude Aanza Kujiandaa Kuondoka Simba

KUFUATIA kauli ya mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage aliyesema Jonas Mkude anapaswa kucheza TP Mazembe au Raja...

READ MORE

Simba Nini Kinakwamisha Bunju Complex?

KUNA wakati mchakato wa ujenzi wa uwanja wa Klabu ya Simba uliopo Bunju ujulikanao kama Bunju Complex ulipamba moto na...

READ MORE

Tunda Afungukia Mimba Ya Mbongo Fleva

  BAADA ya habari kuzagaa kwamba mrembo anayeuza nyago kwenye video mbalimbali Bongo, Tunda Sebastian kuwa na ujauzito wa staa...

READ MORE

Timu Zaweka Rekodi La Liga

LIGI Kuu ya Hispania, La Liga, inaendelea ku­tikisa huku kila timu ikionyesha kiwango cha hali ya juu uwanjani. Wikiendi iliy­opita...

READ MORE

Kichuya: Sasa Nimeanza Kazi, Mtanikoma

  BAADA ya kufanikiwa kuifungia bao la ushindi timu yake dhidi ya Mbeya City, kiungo wa Simba, Shiza Kichuya amesema...

READ MORE

Watu Kichuyaa!! Aipaisha Simba Kileleni, Amfikia Ajibu

GUMZO la kina Papy Kabamba Tshishimbi, Emmanuel Okwi na Ibrahim Ajibu ghafla limezimika, na sasa watu wanataja jina moja tu:...

READ MORE

Joseph Omog: Simba Wakinitimua Fresh Tu

LICHA ya kuwepo kwa tetesi nyingi zikimhusisha Kocha Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog, kutaka kutimuliwa kikosini hapo, mwenyewe ameibuka...

READ MORE

Dk 360 Zamkwamisha Pluijm Singida

LICHA ya kuwa na kikosi imara na washambuliaji wa kimataifa, bado Singida United imeshindwa kutamba katika michezo yake minne mfululizo...

READ MORE

Ibrahim Ajibu Awatuliza Yanga SC

STRAIKA wa Yanga, Ibrahim Ajibu amesema kuwa, matokeo yasiyoridhisha wanayoyapata hivi sasa, ni sehemu ya mchezo, hivyo mashabiki waendelee kuwaunga...

READ MORE

Kigogo Yanga Ampelekea Mkataba Bossou

  IMEBAINIKA kuwa benchi la ufundi la Yanga lipo kwenye mchakato mkubwa wa kumrejesha aliyekuwa beki wao kisiki, Mtogo, Vincent...

READ MORE

Pluijm Amkomoa Tshishimbi, Amaliza Dakika Tisini Na Shuti Moja

KOCHA Mkuu wa Singida United, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, juzi Jumamosi alimkomoa kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi baada...

READ MORE

Rage: Mkude Hastahili Kucheza Simba SC

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, amesema kiungo Jonas Mkude hastahili kucheza soka kwenye ligi ya Bongo kutokana...

READ MORE

Cazorla: Ilibaki Kidogo Nikatwe Mguu

KIUNGO wa Arsenal, Santi Cazorla, amesema ilibaki kidogo akatwe mguu wake baada ya kupata jeraha mguuni ambalo limemweka nje ya...

READ MORE

Lwandamina Hacheki, Hanuni Lakini…

KILA mmoja anaweza kuwa na aina yake ya kila kitu, hii inatokana na namna Mwenyezi Mungu alivyotuumba ingawa kuna mambo...

READ MORE

Ronaldo Awatuliza Mashabiki

CRISTIANO Ronaldo   Ronaldo anayechezea Real Madrid, Jumatano wiki hii alipiga mashuti matano langoni kwa Tottenham Hotspur katika mechi ya...

READ MORE

Simba Yaipa Jeuri Yanga Ligi Kuu Bara

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Shadrack Nsajigwa ametamba kuwa, soka safi walilocheza dhidi ya Simba, limewaondoa hofu ya kuivaa Singida United...

READ MORE

Ngassa Aing’ang’ania Simba Mbeya

NYOTA wa zamani wa Yanga, Azam FC na Simba ambaye sasa anacheza Mbeya City, Mrisho Ngassa, ameiambia Simba isitegemee mteremko...

READ MORE

Omog:Tunachukua Pointi Tatu Mbeya City

KOCHA wa Simba, Joseph Omog ametamba kukiandaa vizuri kikosi chake na kusema atahakikisha wanaifunga Mbeya City, kesho Jumapili na kuchukua...

READ MORE