×

Championi

Ngoma, Kamusoko Warejea Kuipa Ubingwa Yanga SC

BAADA ya juzi Jumamosi, timu ya Yanga kufanikiwa kuifunga Azam FC mabao 2-1, habari njema kwa wapenzi na mashabiki wa...

READ MORE

Niyonzima ahofia kupoteza kiwango

KIUNGO wa Simba, Mnya­ruanda, Haruna Niyonzima, amefunguka kuwa anahofia kupoteza kiwango chake kuto­kana na kukaa nje ya uwanja kwa muda...

READ MORE

Kwasi aanza hesabu za kimataifa

WAKATI Simba ikita­rajia kucheza mich­uano ya kimataifa mapema mwezi ujao dhidi Gendarmerie Tnale ya Djibouti, beki wa timu hiyo, Asante...

READ MORE

Yanga SC: Msituchukulie Poa

KUELEKEA mchezo wake dhidi ya Azam FC leo Jumamosi, Yanga imesema ina kikosi imara cha kupata ushindi na wale wote...

READ MORE

Azam FC Yapanga Kumdhalilisha Yanga Leo

WACHEZAJI wa Azam FC wamepanga kwanza kumzuia Obrey Chirwa wa Yanga asilete madhara katika mchezo wao wa leo pia wamepanga...

READ MORE

Yanga Yaonywa Kuhusu Tambwe

WAKATI Yanga ikicheza na Azam FC leo Jumamosi, daktari wa zamani wa Taifa Stars, Sheck Mngazija ameionya Yanga kuhusu kumtumia...

READ MORE

Mkude: Kwa Mfaransa Huyu, Tumelamba Dume

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amefunguka kuwa, kufuatia ujio wa kocha mpya katika timu yao hiyo, Pierre Lechantre raia wa Ufaransa...

READ MORE

Simba Mkiwa Na Haraka Na Lechantre, Mtajivuruga Wenyewe…

  HATIMAYE lile suala la subira ya kocha mpya wa Simba sasa lime­pata jibu kwa kuwa Kocha Pierre Lechantre ameanza...

READ MORE

Buswita Atupwa Jukwaani, Yondani Ndani

KIUNGO wa Yanga, Pius Buswita atakosa mchezo dhidi ya Azam kutokana na adhabu ya kadi tatu za njano huku Kelvin...

READ MORE

Majimaji Watua Dar Kibabe Kuivaa Simba SC

KIKOSI cha Majimaji leo Jumatano kinatarajia kuingia jijini Dar ikiwa ni muda mfupi kabla ya kuvaana na wapinzani wao Simba...

READ MORE

Ajibu Awaomba Radhi Mashabiki Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Ibrahimu Ajibu amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo, kuendelea kuwaunga mkono msimu huu katika harakati zao...

READ MORE

Dalali Aanza Ruti za Mikoani Akisaka Ubingwa Simba

MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Mzee Hassan Dalali ‘Handsome Boy’, ameanza harakati za kuhamasisha wanachama wa timu hiyo kwa ajili...

READ MORE

Okwi Afumuwa Kikosi Simba

UJIO wa mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, umemfanya kocha msaidizi wa timu hiyo, Mrundi, Masoud Djuma kufumua kikosi chake...

READ MORE

Kisa Mfaransa wa Simba, Kessy apata hofu

BEKI wa kulia wa Yanga, Hassan Kessy amesema kuwa, rekodi za kocha mpya wa Simba raia wa Ufaransa, Pierre Lachantre...

READ MORE

Kumbe Mabeki Walimzingua Pluijm Singida United

KOCHA wa Singida United, Hans van Der Pluijm raia wa Uholanzi, amesema anaamini kipigo cha mabao 4-0 kutoka Simba kwa...

READ MORE

Wazungu Washindwa Kumng’oa Ndemla Simba

KIUNGO wa Simba, Said Ndemla, sasa anajiandaa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwepo Msimbazi huku ikielezwa lile dili la kwenda...

READ MORE

EXCLUSIVE: HUYU HAPA KOCHA MPYA, CHAMPIONI LAMUIBUA MAFICHONI

  Pamoja na juhudi kubwa za Klabu ya Simba kufanya juhudi za kumficha kocha wake mpya Mfaransa, Gazeti la CHAMPIONI...

READ MORE

Dotnata: Nimepona, Sasa Ni Kazi Tu

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu kutokana na kupata ajali ya kuteleza na kuanguka nyumbani kwake ambapo alivunjika mguu,...

READ MORE

Okwi Ampa Matumaini Ya Ushindi Djuma

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Mrundi, Masoud Djuma ametamka kuwa mshambuliaji wake Mganda, Emmanuel Okwi anatarajiwa kuwepo kwenye orodha ya...

READ MORE

Yanga Yachimbwa Mkwara Mzito

KUFUATIA uongozi wa Yanga kudaiwa kufanya mazungumzo na kiungo wa JKU na Zanzibar Heroes, Feisal Salum ‘Fei Toto,’ uongozi wa...

READ MORE

Yanga SC: Mwadui Kaeni Mbali Kabisa

BENCHI la ufundi la Yanga chini ya kocha wake mkuu, George Lwandamina limeibuka na kuwapiga biti wapinzani wao Mwadui FC...

READ MORE

Ninja Arejea Mdogomdogo Yanga

  BAADA ya kuikosa michuano ya Kombe la Mapinduzi, beki wa kati wa Yanga, Abdallah Saibu ‘Ninja’, amepata nafuu ya...

READ MORE

Mkude: Tulieni Pointi Tatu za Singida Zinakuja

BAADA ya Simba kutokuwa na matokeo mazuri katika mechi za hivi karibuni kwa kutolewa kwenye Kombe la FA na Mapinduzi...

READ MORE

Tshishimbi Awapandisha Mzuka Yanga SC

BAADA ya kuondolewa kwenye hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi, kiungo mkabaji wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi, amewapandisha...

READ MORE

Kichuya Ajichongea Kwa Kocha Simba

KAMA ulidhani Ramadhani Kichuya ni staa pale Simba na kamwe hawezi kuguswa basi sahau kwani kaimu kocha mkuu wa timu...

READ MORE

Okwi, Niyonzima Waondolewa Simba

KAIMU Kocha wa Simba, Masoud Djuma amewaondoa kikosini wachezaji Haruna Niyonzima na Emannuel Okwi kutokana na majeraha yao ya muda...

READ MORE

Mrundi: Msiogope Ubingwa Simba Lazima

SIKU chache baada ya kutolewa katika hatua ya makundi ya Kombe la Mapinduzi, Kaimu Kocha wa Simba, Masoud Djuma amewashusha...

READ MORE

Chan Yaanza Leo Bila Stars

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, ameteuliwa na Caf, kuwa kamishina wa mechi ya kwanza ya ufunguzi...

READ MORE

Mzee Akilimali Aingilia Ishu Ya Chirwa

MWENYEKITI wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali amemtetea mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa kufuatia kukosa...

READ MORE

Rage: Simba Sc Hawawezi Kutwaa Ubingwa

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, ameibuka na kusema kuwa, ndani ya klabu hiyo kuna tatizo...

READ MORE

Coutinho Mbadala wa Tatu wa Neymar

MOJA ya jambo ambalo Liverpool hawawezi kulijutia ni kumuuza kiungo wao mshambuliaji, Phillipe Coutinho, kwenda kwenye kikosi cha Barcelona cha...

READ MORE

Safari ya Coutinho Barcelona

KIUNGO mpya wa Barcelona, Phillippe Coutinho, juzi alitam­bulishwa kwenye Dimba la Camp Nou, kama mchezaji mpya wa timu hiyo akitokea...

READ MORE

Mrundi Ampiga Biti Kwasi

  BENCHI la ufundi la Simba chini ya kaimu kocha wake mkuu, Masoud Djuma, raia wa Burundi, limempa tahadhari beki...

READ MORE

Mrundi: Kwasi Hana Namba Simba SC

BENCHI la ufundi la Simba chini ya kaimu kocha wake mkuu, Masoud Djuma raia wa Burundi limempa tahadhari beki mpya...

READ MORE

Mcameroon Awapa Yanga Mbinu Za Kuiua URA

KIKOSI cha Yanga, leo kitapambana na URA ya Uganda katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Mapinduzi inayoendelea kutimua...

READ MORE

Niyonzima Arejesha Matumaini Simba

WAKATI wenzake wakiwa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi huko visiwani Zanzibar, kiungo mchezeshaji wa Simba, Mnyar­wanda, Haruna Niyonzima yeye...

READ MORE

Yanga SC Yavunja Rekodi Mapinduzi, Yanusa Nusu Fainali

MLINZI wa kulia wa Yanga, Hassan Kessy jana Alhamisi alikuwa shujaa wa timu yake baada ya kufunga bao pekee katika...

READ MORE

Baba Atoa Mwaka Mmoja Msuva Kwenda Ulaya

BABA mzazi wa mwanasoka wa kulipwa, Simon Msuva anayekipiga katika Klabu ya Difaa Hassan El-Jadidi ya nchini Morocco, mzee Happygod...

READ MORE

Kwasi: Hakuna Kama Tshishimbi Yanga SC

BEKI mpya wa Simba, Asante Kwasi, raia wa Ghana, ameibuka na kusema kuwa, katika wachezaji wa Yanga, Papy Tshishimbi ni...

READ MORE

Omog: Sasa Nitapumzika Kwa Amani

BAADA ya Joseph Omog kufungashiwa virago ndani ya Simba na kuondoka haraka nchini kwenda kwao, mwenyewe amesema kwa sasa atapata...

READ MORE