×

Championi

LWANDAMINA AONGEZEWA MWAKA MMOJA YANGA

  KIROHO safi Yanga imeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake George Lwandamina raia wa Zambia baada ya ule...

READ MORE

NIYONZIMA AAMUA KULA SAHANI MOJA NA YANGA SC

  KIUNGO wa Simba, Haruna Nyiyonzima, amekiri ugumu wa mechi yao ya leo Jumamosi dhidi ya Ruvu Shooting, lakini anaamini...

READ MORE

TSHISHIMBI APEWA GARI LA SH MIL 100 YANGA

BAADA ya kelele za kumsifu kuwa nyingi, Yanga imempa kiungo wake Papy Kabamba Tshishimbi gari la kutumia lenye thamani ya...

READ MORE

OKWI: SASA NAANZA KAZI TUKUTANE UHURU

  STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa Uganda, amesema kuwa kuanzia leo katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi...

READ MORE

AJIBU, NIYONZIMA NANI ATAMFUATA TAMBWE?

HATIMAYE ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka hapa nchini imewadia ambapo leo Jumatano, timu za...

READ MORE

Tambo za wachezaji, Makocha Yanga, Simba Ngao Ya Jamii

  MIAMBA ya soka nch­ini, Simba na Yanga, inatarajia kukutana leo Juma­tano katika Uwanja wa Taifa, Da es Sa­laam kuondoa...

READ MORE

Omog Awazuga Yanga Kwa Okwi

KOCHA wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog hakuweza kumtumia mshambuliaji wake raia wa Uganda, Emmanuel Okwi katika michezo ya kirafiki visiwani...

READ MORE

Kocha: Yanga Tayari Wamekwisha

  KOCHA Msaidizi wa Simba, Mganda, Jackson Mayanja ameibuka na kufunguka kuwa kwenye mchezo wa leo mbele ya Yanga hawana...

READ MORE

Niyonzima Aondolewa Kupiga Penalti Simba SC

WAKATI kikosi cha Simba leo hii kikishuka uwanjani kupambana na Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii, kiungo mpya wa...

READ MORE

Yanga: Leo Tunaanza Kuhesabu Makombe

BENCHI la Ufundi la Yanga, limesema kuwa leo Jumatano linaanza kuhesabu makombe ya msimu wa 2017/18 kutokana na kuwa na...

READ MORE

Ama Huku Ama Kule, Simba vs Yanga

MSIMU wa 2017/18, unafunguliwa leo Jumatano kwa mchezo wa Ngao ya Jamii utakaozikutanisha Simba na Yanga ambao utapigwa kwenye Uwanja...

READ MORE

Okwi: Nitapeleka Kilio Yanga SC

STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi, juzi alifunguka kuwa anataka kuwanyamazisha wapinzani wao, Yanga kwa kuwapelekea kilio wakati watakapovaana leo Jumatano...

READ MORE

Kapombe: Yanga SC Tunawalaza Mapema

  BEKI wa Simba, Shomary Kapombe, amesema kwa sasa anaendelea vizuri na majeraha ya nyonga yaliyokuwa yakimsumbua baada ya kupona...

READ MORE

Kiburi cha Costa na Jeuri ya Chelsea

  SAKATA la Die­go Costa kugoma kurejea Chelsea bado li­nashika kasi na kuwa gum­zo duniani kote. Straika huyo yupo nchini...

READ MORE

MSUVA: LUGHA NI TATIZO KWANGU MOROCCO

KADIRI siku zinavyokwen­da, matajiri wa timu ya Difaa El Jadidi ya Morocco waliopata nafasi ya kumnasa nyota wa Yanga, Simon...

READ MORE

Rekodi… Yanga Ilivyoipoteza Simba Ngao ya Jamii

  UHONDO wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba ni keshokutwa Juma­tano. Hii itakuwa ni mechi ya nne...

READ MORE

Tshabalala Azimia Uwanjani, Simba Wapagawa

KATIKA hali isiyotarajiwa, juzi usiku beki wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, alizimia kwa zaidi ya dakika tatu baada...

READ MORE

Tambwe: Nimemisi Kuifunga Simba

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amesema kuwa endapo atapata nafasi ya kuanza katika mchezo wa Ngao ya...

READ MORE

Dk 45 za Tshishimbi Noma Sana

YANGA jana ilianza kufaidi uwezo wa kiungo wao mpya, Papy Kabamba Tshishimbi baada ya kumshuhudia kwenye mchezo wa kirafiki baina...

READ MORE

RONALDO ANUKIA UCHEZAJI BORA FIFA

  RONALDO ANUKIA UCHEZAJI BORA… Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaowania Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia wa Shirikisho la...

READ MORE

JB Ajiweka Pembeni, Aanzisha Barazani Entertainment

MSANII mkongwe wa filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’ ametangaza kujiengua katika uigizaji na sasa ameanzisha Taasisi ya Barazani Entertainment ili...

READ MORE

Kocha: Yanga Ipo Fiti Kuliko Simba

MLAN-DEGE FC hivi karibuni ilifungwa mabao 2-0 na Yanga, halafu ikatoka suluhu na Simba, sasa kocha wa timu hiyo Jaala...

READ MORE

Niyonzima Atuliza Mzuka Simba

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, ametuliza mzuka wa mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa, wasiwe na...

READ MORE

Yanga Yampiga Chini Beki Mnigeria, Sababu Hizi Hapa

YANGA imeachana na beki raia wa Nigeria, Yisa Anifowoshe ambaye alikuwa akifanya majaribio kikosini hapo akitokea Al Ittihad ya Oman....

READ MORE

Tshishimbi Atua Pemba, Yanga Kamili Gado

MZIKI wa Yanga sasa upo kamili gado kwani kiungo mkabaji Papy Kabamba Tshishimbi ametua jijini Dar es Salaam kisha jana...

READ MORE

REAL MADRID YAMRUDIA TENA DAVID DE GEA

Real Madrid imerejesha mipango yake ya kumuwania kipa David de Gea kutoka Manchester United kabla ya dirisha la usajili kufungwa....

READ MORE

Mashabiki Wa Soka Walonga na Championi

  SHAMBA jipya nyani walewale kwa hiyo sioni kipya Msimbazi Okwi sanamu la Simba, Niyonzima kama anaweza akacheze nje, big...

READ MORE

Yanga Yapata Mrithi Wa Ally Yanga

    HIVI karibuni Yanga ilimpoteza shabiki wake maarufu, Ally Mohamed ‘Ally Yanga’ ambaye alifariki dunia kwa ajali ya gari...

READ MORE

Rekodi Ya Yanga Ngao Ya Jamii Zamtesa Omog

WAKATI homa ya mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga ya Agosti 23, mwaka huu ikizidi kukolea...

READ MORE

Yanga Yatoa Dozi Pemba

  KIKOSI cha Yanga kilichojikita kisiwani Pemba, jana Alhamisi kilijitupa dimbani kumenyana na wenyeji wao, Kombaini ya Chakechake ambapo kwenye...

READ MORE

Hans Poppe Apewa Kazi ya Kuandaa Supu ya Mawe

HARAKATI za mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga itakayofanyika Agosti 23, mwaka huu zinaendelea, bosi wa...

READ MORE

Lwandamina: Sisi Tupo Fresh, Simba Waje Tu

KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya...

READ MORE

Okwi: Kwa Pasi za Niyonzima, Wanakufa Mapema

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi amefunguka kuwa kitendo cha timu yao kukamilika kila idara huku ikiwa na wachezaji...

READ MORE

VITA YA NBA NI OKTOBA 17, NI CURRY VS LEBRON

NBA wametangaza ratiba ya Ligi yao ya msimu wa 20172018, ambayo itarushwa na vituo vitatu vya televisheni TNT, Kwese Sports...

READ MORE

Rooney Rekodi Yangu United Itavunjwa Na Messi

MSHAMBULIAJI Wayne Rooney ameondoka kwenye kikosi cha Manchester United na kujiunga na Everton hivi karibuni. Rooney ni kati ya wachezaji...

READ MORE

Tshishimbi Asaini Yanga, Awatisha Okwi, Niyonzima

KAZI imeanza sasa! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo mpya wa Yanga raia wa Congo, Papy Kabamba Tshishimbi, kujiunga...

READ MORE

Niyonzima: Hawa Yanga Watakubali Tu

KIUNGO mpya wa Simba, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda amesema kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao dhidi ya...

READ MORE

Kwa Takwimu Ajibu Vs Okwi Ni 100 Kwa 100

WAKATI vikosi vya Simba na Yanga vikiwa kwenye maandalizi kabambe kwa ajili ya mechi ya Ngao ya Jamii, takwimu zinaonyesha...

READ MORE

Lwandamina: Huyu Okwi Hatari

KOCHA mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, amefunguka kuwa makosa madogomadogo wanayoyafanya safu yake ya ulinzi yanampa presha kuelekea mchezo...

READ MORE

Beki Yanga: Nitawaweka Mfukoni Okwi, Kichuya

SIKU chache tangu atue Yanga, beki mpya wa timu hiyo, Gadiel Michael amefunguka kuwa ata­hakikisha anawazima washam­buliaji wa Simba, Emmanuel...

READ MORE