×

Championi

Mkwasa: Mawasiliano na Tshishimbi Yamepotea

WAKATI waandishi wakijaa kwenye Uwanja wa ndege wa ere, kumsubiri kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi, Katibu Mkuu wa timu...

READ MORE

Okwi: Kwa Simba Hii, Ubingwa Mapema

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba Mganda, Emmanuel Okwi ametoa kauli ya kishujaa baada ya kutamka kuwa atapambana kufa au kupona kuhakikisha...

READ MORE

Yanga Kumjaribu Kipa Wa Serengeti Boys Leo

KUNA uwezekano mkubwa kwa kipa chipukizi wa Yanga, Ramadhan Kabwili, leo Jumamosi kwa mara ya kwanza akakaa langoni kuichezea timu...

READ MORE

Yanga SC Yaufyata, Yapeleka Mechi Chamazi

  HAKUNA namna kwani Yanga imebidi ikubali kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ruvu Shooting, leo Jumamosi kwenye Uwanja wa...

READ MORE

YANGA KUMJARIBU KIPA WA SERENGETI BOYS LEO

KUNA uwezekano mkubwa kwa kipa chipukizi wa Yanga, Ramadhan Kabwili, leo Jumamosi kwa mara ya kwanza akakaa langoni kuichezea timu...

READ MORE

OKWI: KWA SIMBA HII, UBINGWA MAPEMA!

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba Mganda, Emmanuel Okwi ametoa kauli ya kishujaa baada ya kutamka kuwa atapambana kufa au kupona kuhakikisha...

READ MORE

Mwakalebela Akiwa Rais Tu, Atafanya Haya

KATIBU Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Frederick Mwakalebela anawania nafasi ya urais katika shirikisho hilo ambapo...

READ MORE

TANZANIA YASHUKA NAFASI SITA VIWANGO VYA FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), jana Alhamisi lilitoa viwango vya soka vya mwezi Julai kwa mataifa mbalimbali ambapo Tanzania...

READ MORE

Bocco: Mimi, Okwi, Kichuya Mtaona Mziki Wetu

STRAIKA mpya wa Simba, John Bocco amewapiga biti wapinzani wa kikosi hicho kwa kuwaambia wakae chonjo na kujiandaa kuikabili safu...

READ MORE

Niyonzima Apewa Ndinga Mpya Simba

BAADA ya kuonyesha uwezo mkubwa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon ya Rwanda kwenye Simba Day, kiungo mpya wa...

READ MORE

JINI KABULA AENDELEA KUWAGUSA WENGI

MUDA mfupi baada televisheni ya mtandaoni inayoongoza kwa kutazamwa na wengi zaidi ya Global TV Online kujitokeza kuendesha kampeni maalum...

READ MORE

Simbu: Medali Zawadi Kwa Watanzania

  MWANARIADHA Mtanzania, Alphonce Felix Simbu, wikiendi iliyopita alifanikiwa kushinda medali ya shaba katika mashindano ya Mbio za Dunia kwa...

READ MORE

PLUIJM AMFUATA NIYONZIMA TAIFA

KOCHA wa zamani wa Yanga ambaye sasa anaifundisha Singida United, Hans van Der Pluijm, jana alikuwa mmoja wa watazamaji wa...

READ MORE

Achana Kabisa na Simba SC

JANA Jumanne, Klabu ya Simba SC ilitimiza miaka 81 tangu kuanzishwa kwake ikipitia majina mengi ikiwemo Sunderland, klabu hii yenye...

READ MORE

Okwi, Niyonzima wafunika Simba Day

NYOTA wapya wa Simba, Emmanuel Okwi, Haruna Niyonzima na Aishi Manula, jana walifunika kwa kushangiliwa kwa nguvu na mashabiki wa...

READ MORE

Kocha Simba Afungukia Vita Ya Manula, Nduda

  KOCHA wa Makipa wa Simba, Mwarami Mohammed ‘Shilton’, amesema Aishi Manula na Said Mohammed ‘Nduda’ ni aina ya walinda...

READ MORE

Omog: Namtafutia Niyonzima Kamusoko Mpya

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon, amesema kiungo wake mpya, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, atapewa mtu...

READ MORE

John Bocco: Sasa Naanza Kazi Simba

STRAIKA mpya wa Simba, John Bocco ‘Adebayor’ amebainisha bayana kuwa ataanza kuonyesha cheche zake za kutupia mabao ndani ya kikosi...

READ MORE

NIYONZIMA: SINA MANENO MENGI, TUKUTANE UWANJANI

  KIUNGO Mshambuliaji wa Simba raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima ametambulishwa rasmi katika kikosi cha timu hiyo na anatarajiwa kuwa...

READ MORE

MSIJIDANGANYE, SIMBA HAIJASAJILI MALAIKA

  MASHABIKI wa Simba, leo watamiminika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Simba...

READ MORE

Wanasimba Mkiungana Kwa Moyo Safi, Mtafika Mbali

LEO Jumanne, Klabu ya Simba inaadhimisha miaka 81 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1936 ambapo kutakuwa na kilele cha Tamasha la...

READ MORE

Watanzania Wajitokeza Kumsaidia Jini Kabula

MUDA mfupi baada channel ya mtandaoni ya Global TV Online kuendesha kampeni maalum yakumchangia fedha za kusaidia matibabu na huduma...

READ MORE

Okwi: Nimeisha? Njooni Muone Mavituz Yangu

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi amefunguka kuwa amejipanga kuonyesha kiwango cha hali ya juu kwenye mchezo wa leo...

READ MORE

Omog: Huyu Okwi ni Mashine

KIKOSI cha Simba kilirejea nchini juzi Jumamosi, kikitokea Afrika Kusini kilipokuwa kimepiga kambi kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu...

READ MORE

Yanga Kuna Kombinesheni 3 Hatari

  KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina ameonekana kutengeneza safu mbili za ushambuliaji atakazozitumia kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu...

READ MORE

Kaseke: Subiri Muone Singida Utd ni Timu Bora

  KIUNGO wa zamani wa Klabu ya Yanga, Deus Kaseke amesema japokuwa wamepoteza mechi yao ya kirafiki dhidi ya timu...

READ MORE

Niyonzima Aliyowakwepa Yanga Airport

KIUNGO mpya wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima alitua nchini jana alfajiri akitokea kwao Rwanda tayari kwa kujiunga na kikosi cha...

READ MORE

Tambwe Atimka Yanga Usiku Mnene

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Amissi Tambwe, juzi usiku aliondoka nchini kwa siri na kwenda nchini Kenya bila ya uongozi...

READ MORE

Simba Mlichokifuata Sauz Kidhihirisheni Nyumbani

KIKOSI cha Simba, kilikwenda Afrika Kusini kuweka kambi ya ku­jiandaa na msimu ujao ambapo wikiendi hii kinatarajiwa kurejea nchi­ni tayari...

READ MORE

DARASA SNURA LEO NDANI YA CHATO

IMEFIKA! Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi, hatimaye wakali wawili wasioshikika kunako gemu la Muziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Yanga Kumjaribu Ajibu Kwa Pluijm Leo Taifa

YANGA chini ya Kocha George Lwandamina, leo Jumamosi itacheza mechi ya kirafiki na Singida United inayonolewa na Hans van Der...

READ MORE

Kapombe Atupwa Ndanda

BEKI wa kati wa Azam, Abbas Kapombe amepelekwa kwa mkopo Ndanda FC ya Mtwara kwa ajili ya kukuza kiwango chake...

READ MORE

Sol Campbell Wa Arsenal Anatua Dar Leo

  BEKI wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell anatarajiwa kutua nchini leo Jumamosi mchana kwa mwaliko wa Kampuni ya Michezo...

READ MORE

Msuva Atupia Mbili Morocco, Aonja Ushindi

NYOTA wa zamani wa Yanga, Simon Msuva ameendelea kung’ara katika kikosi cha timu yake mpya ya Difaa Hassan El Jadida...

READ MORE

Singano Anakwenda Yanga

KIUNGO mshambuliaji Ramadhan Singano ambaye alikuwa akiichezea Azam FC, Alhamisi mchana alirejea nchini akitokea Morocco alikokwenda kwa ajili ya kucheza...

READ MORE

MOURINHO AMETUMIA BILIONI 384 KUSAJILI VIUNGO WAKABAJI

DIRISHA la usajili bado halijafungwa, presha kubwa imekuwa ikiongezeka kwa makocha hasa wale wa timu kubwa. Katika Ligi Kuu ya...

READ MORE

IDDI PAZI: NILIKUWA STRAIKA, BAADAYE NIKAWA KIPA BORA

NI ngumu sana kutaja majina ya makipa bora waliowahi kutokea nchini Tanzania bila ya kulijumuisha jina la Iddi Pazi Shaaban...

READ MORE

BILIONEA NEYMAR AWEKA REKODI YA DUNIA

MBRAZILI Neymar ameandika rekodi ya dunia kwa kutua ndani ya kikosi cha Paris SaintGermain kwa ada ya pauni 198m (Sh...

READ MORE

Lwandamina Kuitesti Mitambo Kesho

WACHEZAJI wapya wa Yanga wakiongozwa na Ibrahim Ajibu, kiungo Raphael Daud na kipa Mcameroon, Rostand Youthe kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Mashabiki Walonga na Championi, Waifungukia Yanga na Simba

  NAWAPONGEZA sana Championi kwa juhudi zenu za kutuhabarisha ila ushauri wangu kurasa zote naomba ziwe za rangi siyo kuweka...

READ MORE