×

Championi

Yanga Wafunguka Hatima ya Lwandamina

BAADA ya kuzagaa kwa taarifa za Klabu ya Yanga kupanga kuachana na kocha wa timu hiyo, George Lwandamina, Kaimu Makamu...

READ MORE

Nguzo 5 Muhimu kwa Sokabet

JUZI Jumamosi mabingwa watete­zi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, walikuwa wageni wa Majimaji, timu ambayo inad­haminiwa na Kam­puni ya Sokabet,...

READ MORE

Kamusoko Ashusha Presha Yanga

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko, ameshusha presha ya timu hiyo, baada ya kupona majeraha yake ya nyonga huku...

READ MORE

Chelsea, Arsenal Sare, Man United Spidi 100

DAVID Luiz jana alipewa kadi nyekundu wakati timu yake ya Chelsea ilipotoka suluhu na Arsenal, huku Man United wakiichapa Everton...

READ MORE

Jezi ya Chirwa Nayo Inakimbiza Mjue

WAKATI Yanga inawasili Songea juzi Alhamisi, jezi ya kiungo Papy Kabamba Tshishimbi ndiyo iliyokuwa ikiuzwa kwa wingi, lakini jana Ijumaa...

READ MORE

Jerry Tegete: Nitaifunga Yanga ila Sitashangilia

STRAIKA wa Majimaji, Jerry Tegete, amesema atajitahidi kuhakikisha anaifunga Yanga leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Shinda Nyumba Droo Kubwa: Ni Mjengo Wa Kisasa, Umeme Ndani

WAKATI siku za kuelekea kuchezeshwa kwa droo kubwa ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili zikizidi kukatika, imefahamika kuwa mjengo huo...

READ MORE

Majimaji: Sokabet Imetupa Nguvu, Yanga Kazi Wanayo!

SOKA la sasa ni bi­ashara, klabu nyingi zimekuwa zikipata nguvu kubwa kutoka­na na udhamini, hivyo ndivyo inavyoonekana kwa Klabu ya...

READ MORE

TFF Mkicheza Makida Kwa Timu ya Vijana, Mtalitia Aibu AFCON 2019

TANZANIA itakuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 mwaka...

READ MORE

JIDE ROCKSTAR4000 KILA MTU KIVYAKE

  STAA mkongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide amemaliza mkataba wake na Lebo ya...

READ MORE

Niyonzima: Kotei ni Bora, Mkude Anastahili

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima amesema James Kotei ni kiungo bora kucheza kikosi cha kwanza lakini, Jonas Mkude naye anastahili...

READ MORE

Chirwa Ampa Jeuri Yondani Yanga

KUREJEA kwa mshambuliaji mwenye nguvu na kasi Mzambia, Obrey Chirwa kumempa jeuri ya kufanya vizuri beki wa kati wa timu...

READ MORE

Mayweather Afunguka Maisha Yake Ya Starehe, Ndondi, Elimu

  BONDIA Floyd Mayweather amefunguka mengi kuhusu maisha yake ya ndondi na binafsi ikiwemo kuhusu kama atarejea kwenye ndondi au...

READ MORE

Sokabet… Shinda Milioni 100

WIKIENDI nyingine imewadia, michezo mbalimbali hasa soka itakuwa ikiendelea kwenye viwanja tofauti. Ndani ya tovuti ya www. sokabet.co.tz ambayo inamilikiwa...

READ MORE

Rashford Akianza Tu, Anatupia

MANCHESTER United imeanza msimu vizuri, kume­kuwa na matumaini makubwa kwa mashabiki wa timu hiyo kuwa timu yao itafanya vizuri kutokana...

READ MORE

Wenger Amsifu Jack Wilshere

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema kuwa kila siku kiungo wake Jack Wilshere amekuwa akipambana kuona anarejea uwanjani kwa kasi....

READ MORE

Zidane: Ronaldo ni Bora Duniani

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema kuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo ndiye bora zaidi duniani kwa sasa....

READ MORE

Droo Kubwa Shinda Nyumba Bado Siku 13 Mjengo Upate Mwenyewe

  DROO kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili inatarajiwa kuchezeshwa Septemba 27 mwaka huu, hiyo ikiwa...

READ MORE

Park Ji-Sung Nitabaki Manchester Milele

KIUNGO Park Ji-sung ameichezea nchi yake ya Korea Kusini mechi 100 na kufunga mabao 13. Hii inamfanya kuwa mmoja wa...

READ MORE

Kisa Dakika Tisini…Ajibu, Kamusoko Wawekewa Ulinzi Mkali

  BENCHI la ufundi la Majimaji limewapa maagizo maalum mabeki wa timu hiyo chini ya kitasa wao, Tumba Sued kuhakikisha...

READ MORE

Vuna Mkwanja Ndani ya Champions League

LIGI ya Mabingwa Ulaya maarufu kwa jina la Uefa Champions League imerejea, na tayari hatua ya makundi ya ligi hiyo...

READ MORE

MNC wa PSG Waitikisa Dunia

  TAYARI PSG imeshaonekana kuwa na safu ya ushambuliaji hatari zaidi duniani kwa sasa, ukiachana na zile za timu kadhaa...

READ MORE

HENRY ALIVYOVUNJA UKAAJI WA NAMBA VYUMBANI ARSENAL

  UNAPOMZUNGUMZIA Thierry Daniel Henry katika suala la soka kunakuwa na mengi sana ambayo unaweza ukayakumbuka kama shabiki au mtu...

READ MORE

Waafrika Watakaowika NBA 2017/2018

LIGI ya Kikapu nchini Marekani NBA inatarajiwa kuanza siku chache zijazo huku harakati za usajili zikiwa zimepamba moto. Kila timu...

READ MORE

WANAUME NANE WAMEFUZU KOMBE LA DUNIA 2018 MOSCOW

MICHUANO ya Kombe la Dunia itafanyika mwakani nchini Urusi na tayari mambo yameanza kuwa mazuri kwa baadhi ya nchi, lakini...

READ MORE

Man U, PSG, Barcelona na Chelsea Zaua Ligi ya Mabingwa Ulaya

  MANCHESTER United imerejea kwa nguvu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi...

READ MORE

Okwi: Nikipangwa Na Mghana Mtanikoma

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, juzi Jumamosi alimshuhudia mshambuliaji mwenzake wa klabu hiyo, Mghana, Nicholas Gyan...

READ MORE

Bata La Ndani Ya Emirates, Hakuna England

INAWEZEKANA uliishuhudia kwenye runinga mechi ya Ligi Kuu England kati ya Arsenal na Bournemouth kwenye Uwanja wa Emirates mjini hapa....

READ MORE

Haji Mwinyi: Napambana na Hali Yangu

  BEKI wa kushoto wa Yanga, Haji Mwinyi Mgwali, msimu uliopita ndiye aliyekuwa tegemeo katika kikosi cha kwanza cha timu...

READ MORE

Watu Wasiojulikana Wampagawisha Bill Nas

MKALI wa wimbo wa Sina Jambo, anayefahamika zaidi kwa jila la Bill Nas amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho kinampagawisha kwa...

READ MORE

Simba ya Bilioni Moja Yamshangaza Sure Boy

BAADA ya kutoka suluhu na Simba, kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, amefunguka licha ya usajili wa...

READ MORE

Tshabalala Yamkuta Mazito Simba

AMA kweli hakuna ufalme unaodumu milele! Beki Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ alikuwa kama mfalme wa nafasi ya kushoto msimu uliopita pale...

READ MORE

Tambwe: Simba Bila Okwi Hakuna Timu

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amefurahishwa na matokeo ya bila kufungana ambayo Simba iliyapata juzi Jumamosi...

READ MORE

Mavugo Apiga Mabao Saba, Gyan Apiga Bao La Kideo Mazoezini

MAMBO yameanza kuwa mazuri kwani straika wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, jana Ijumaa aliwashangaza wengi katika mazoezi ya timu hiyo...

READ MORE

Chirwa Karudi Kuwafunga Njombe Mji

YANGA sasa imekamilika kwani kesho Jumapili mshambuliaji wake, Obrey Chirwa anatarajiwa kuanza kucheza dhidi ya Njombe Mji na imethibitishwa yupo...

READ MORE

Arsenal Ubingwa Nooo…!!

Kocha Arsene Wenger. VIPIGO viwili kutoka kwa Stoke City na Liverpool vinaiweka Arsenal mahali pagumu ambako zipo sababu kibao zinazowafanya...

READ MORE

Simba Yabadili Mfumo Kuiua Azam

  SAA chache kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC dhidi ya Simba kesho Juma­mosi kwenye...

READ MORE

Jezi za Tshishimbi Zauzwa Kama Njugu Njombe

JEZI za kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi tayari zimeanza kuuzwa kwa kiwango cha juu mkoani Njombe ikiwa ni siku...

READ MORE

Yanga Yasaini Mkataba na Azam…

KLABU ya Yanga, jana ilifanikiwa kuingia mkataba wa miaka mitatu na Kampuni ya Uhai Production Media Group, kwa ajili ya...

READ MORE

Simba: Tunawafuata Kwao, Tunawapiga Hapohapo

BENCHI la ufundi la Simba chini ya kocha wake mkuu, Joseph Omog, raia wa Cameroon, limeweka wazi kuwa licha ya...

READ MORE