×

Championi

Farid Mussa Kocha Alinipeleka Timu ya Watoto Hispania

“WAKATI natua Hispania kwa mara ya kwanza maisha hayakuwa rahisi hata kidogo kwani nilitakiwa kukaa nje ya kikosi cha kwanza...

READ MORE

TFF Yashusha Presha ya Pointi tisa Simba SC

Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI| Dar es Salaam SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limewataka viongozi wa Simba kutokuwa na wasiwasi na...

READ MORE

Kopa Kushuka na T.O.T Taarab Dar Live

  Mwandishi Wetu | CHAMPIONI| Dar es Salaam ZIKIWA zimesalia wiki kadhaa kufikia Sikukuu ya Pasaka, Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa...

READ MORE

Demu wa De Gea Asaka Makazi Madrid

Na Mwandishi Wetu/ CHAMPIONI/GPL MPENZI wa kipa wa Manchester United, David de Gea, Pushy Edurne Garcia, ameendelea kuonyesha kuwa kipa...

READ MORE

Sanchez Azindua Sanamu Yake Chile Tocopilla, Chile

Na Mwandishi Wetu/ CHAMPIONI/GPL HESHIMA aliyonayo Alexis Sanchez nchini kwao Chile ni ya kipekee, licha ya kuwa nchi hiyo imejaza...

READ MORE

Neymar Coutinho Bonge la Dili Barcelona

Na Mwandishi Wetu/ CHAMPIONI/GPL KIUNGO mshambuliaji wa Barcelona, Neymar amedai kama kiungo wa Liverpool, Philippe Coutinho atatua Camp Nou litakuwa...

READ MORE

Ozil Nina Furaha Arsenal

Na Mwandishi Wetu/ CHAMPIONI/GPL KIUNGO wa Arsenal, Mesut Ozil, amesema kuwa ana furaha kwenye kikosi cha Arsenal kwa sasa. Kumekuwa...

READ MORE

Simba wasepa zao Mwanza, Kichuya, Mavugo Wabaki Dar

Sweetbert Lukonge na Said Ally |CHAMPIONI| Dar es Salaam ILE safari ya kikosi cha Simba ya Kanda ya Ziwa kwa ajili...

READ MORE

Alichokisema Samatta Kitiliwe Mkazo na Wachezaji Bongo

Na Mwandishi wetu |CHAMPIONI| Dar es Salaam STRAIKA supastaa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa katika Klabu ya...

READ MORE

Tambwe, Ngoma Warejea Kuwavaa Azam

  Wilbert Molandi |CHAMPIONI| Dar es Salaam WASHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma na Mrundi, Amissi Tambwe, wamepata nafuu...

READ MORE

Taifa Stars Piga Hao Botswana

Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI JUMAMOSI | Dar es Salaam KIKOSI cha Taifa Stars, kikiongozwa na nahodha Mbwana Samatta leo kinacheza mechi...

READ MORE

Simba SC Yawekewa Ukuta wa Berlin

STORI| MUSA MATEJA | CHAMPIONI JUMAMOSI | DAR ES SALAAM UKUTA wa Berlin ulijengwa na Wajerumani mwaka 1961 na kuigawa...

READ MORE

Samatta: Kweli Naenda Kucheza England

Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI JUMAMOSI  | Dar es Salaam STRAIKA wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, amesema anapenda kucheza soka...

READ MORE

TRA Yazuia Magari ya TFF Kuingia Ndani

IKIWA bado ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zikiwa zimefungwa kutokana na kudaiwa kodi na Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

BMT Wja na Tamasha la Wanawake

Na Ibrahim Mussa/CHAMPION/GPL BARAZA la Michezo la Taifa (BMT), linatarajia kufanya tamasha la michezo kwa wanawake na wasichana lililopangwa kufanyika...

READ MORE

Mwambusi Hao Azam Halali Yetu

  Na Khadija Mngwai/CHAMPION/GPL KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema baada ya kutolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Serengeti Boys Wapewa Kadi za Bima ya Afya

Na Ibrahim Mussa/CHAMPION/GPL WACHEZAJI wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, jana walikabidhiwa...

READ MORE

Kocha Mpya wa Barcelona Huyu Hapa…

Mara baada ya Luis Enrique kutangaza kuwa ataondoka Barcelona mwishoni mwa msimu huu, taarifa za makocha watakaochukua nafasi yake zimekuwa...

READ MORE

Mikataba ya Ozil , Sanchez Yapigwa Stop Arsenal

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema mazungumzo ya mikataba ya Alexis Sanchez na Mesut Ozil yamesimamishwa kwa muda. Wachezaji hao...

READ MORE

Yanga Wanatakiwa kuwa Makini na Waarabu

Na MAULID KITENGE |CHAMPIONI IJUMAA| BILA YA KUPEPESA ALIYEKUWA Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye aliondolewa kwenye nafasi...

READ MORE

Kevin Durant Atoa Matumaini ya Kurejea Mapema

LICHA ya kuonekana kuwa anaweza kuwa nje ya uwanja muda mrefu kutokana na kuwa majeruhi, imeelezwa kuwa Kevin Durant anaweza...

READ MORE

Hazard Nje Siku 15

KIUNGO wa Chelsea, Eden Hazard ameumia na hivyo atakaa nje kwa zaidi ya siku 10 hali iliyomfanya ashindwe kujiunga na...

READ MORE

Thamani ya Samatha Yazipiku Simba, Yanga

WASWAHILI wanasema kipato huongeza majivuno na ukiona mtu kipato kimekuwa kikubwa na bado anaendelea kuwa muungwana, basi mheshimu sana. Mshambuliaji...

READ MORE

Simba walia Yanga SC kuondolewa na Zanaco

UONGOZI wa Simba umesema kuwa kitendo cha Yanga kuondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kimewaumiza sana. Yanga ilitupwa...

READ MORE

Nyota Dzeko Ndiye Mfalme wa Roma

BAADA ya kufanya vibaya msimu uliopita ambao alifunga mabao kumi tu, hakika msimu huu staa huyo amerejea kwa kasi ya...

READ MORE

Pluijm apeleka Jina la Kamusoko, Msuva Singida

KOCHA mkuu mpya wa Singida United, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amerudi kwake Ghana huku akiacha orodha ya majina ya wachezaji anawaowahitaji ambao ni Wazimbabwe,...

READ MORE

Lwandamina akabidhi Wazambia wawili Yanga

AKIENDELEA kukiboresha kikosi chake, Kocha Mkuu wa Yanga Mzambia, George Lwandamina amekabidhi majina mawili ya kiungo na mshambuliaji mmoja wa...

READ MORE

Simba SC: TFF Tupeni Yanga FA

Omary Mdose | CHAMPIONI | Dar es Salaam BAADA ya Simba kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la FA, kocha...

READ MORE

Matajiri wa Zambia watua kuwafuata Msuva, Ngoma Dar

Ibrahim Mussa | Championi | Dar es Salaam   UONGOZI wa Klabu ya Zanaco ya Zambia umepanga kutua nchini wakati wowote...

READ MORE

Jina la Kichuya Laingia Uganda

Musa Mateja, Dar es Salaam | CHAMPIONI UWEZO anaouonyesha kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya, umekuwa gumzo kiasi cha kuvuka...

READ MORE

Wasauz wampigia hesabu Himid wa Azam

Stori: Said Ally| CHAMPIONI |Dar es Salaam NEEMA imemshukia kiungo wa Azam, Himid Mao ‘Ninja’, baada ya Klabu ya Mamelodi...

READ MORE

Mastraika wanne wafeli mtihani wa kwanza Simba

  STORI: Omary Mdose, Arusha | CHAMPIONI KATIKA hali iliyowashangaza wengi, mastraika wanne wa Simba, juzi Jumamosi wote walifeli mtihani...

READ MORE

Ulimwengu ajiondoa Taifa Stars

Na Sweetebert Lukonge | CHAMPIONI MSHAMBULIAJI wa kimataifa, Mtanzania, Thomas Ulimwengu ambaye kwa sasa anacheza soka la kulipwa nchini  Sweden,...

READ MORE

Niyonzima, Haji Wataja Kilichoiponza Yanga SC

STORI: Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa | CHAMPIONI KIUNGO Haruna Niyonzima na beki Haji Mwinyi, wametaja sababu zilizoifanya timu yao...

READ MORE

Pluijm Atua Singida Utd, Afanya Usajili

Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa CHAMPIONI| Shinyanga ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Ufundi na Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der...

READ MORE

Ajibu, Mkude, Banda Waipasua Simba

Khadija Mngwai |CHAMPIONI|  Dar es Salaam WAKATI Simba ikiwa imesaliwa na mechi sita kabla ya kumaliza msimu wa Ligi Kuu...

READ MORE

Lwandamina aitangazia vita Zanaco

Omary Mdose | CHAMPIONI| Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, amesema kikosi chake kipo tayari kwa...

READ MORE

Omog: Hatutawadharau Madini

Said Ally | CHAMPIONI |Dar es Salaam KIKOSI cha Simba leo Jumatatu kinatarajia kuingia mkoani Arusha kwa ajili ya kuweka...

READ MORE

Msuva Aanza Hesabu za Kusepa Yanga SC

STORI: Wilbert Molandi | CHAMPIONI JUMATATU| Dar es Salaam WINGA machachari na tegemeo wa Yanga, Simon Msuva, amesema ana maisha...

READ MORE

Serengeti Boys Kuingia Kambini Kesho

   Ibrahim Mussa | CHAMPIONI| Dar es Salaam KIKOSI cha vijana cha timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka...

READ MORE