×


Championi

Mwambusi bado kidogo Yanga

Omary Mdose, Dar es Salaam KILA kitu kinaenda vizuri kwa Kocha Juma Mwambusi kutua Yanga kumsaidia Hans van Der Pluijm kuifundisha timu hiyo akichukua nafasi ya…

SOMA ZAIDI


Lazima kieleweke

TAIFA Stars kesho Jumapili inacheza na Malawi ‘The Flames’ kwenye Uwanja wa Kamuzu uliopo Chichiri jijini Blantyre nchini Malawi, ikiwa ni mechi ya marudiano kuwania…

SOMA ZAIDI

Msuva apata dili TP Mazembe

Hans Mloli na Said Ally MFUATILIA vipaji wa TP Mazembe, Patrick Kasangara, amechukua majina ya Simon Msuva, Haji Mwinyi na Said Ndemla na mpango alionao ni…

SOMA ZAIDI

Kerr: Huyu Ngoma hatari

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr hajaridhishwa na kitendo cha beki wake Emily Nimubona kuvishwa plasta ngumu (POP) kiganjani badala yake anataka utumike utaalam kutoka Liverpool…

SOMA ZAIDI

Christiano Ronaldo ‘CR7’, mabao 500

Mshambuliaji wa Real Madrid, Christiano Ronaldo akikabidhiwa kiatu cha dhahabu na Rais wa timu hiyo, Florentino Pérez wakati wa hafla ya kumpogeza mchezaji huyo.Christiano Ronaldo…

SOMA ZAIDI


Dully Sykes aikataa adhabu ya Nyoso

MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, amesema anaamini adhabu aliyopewa beki Juma Nyosso ya kutocheza miaka miwili ni uonevu. Dully ambaye anajulikana…

SOMA ZAIDI

Ngoma akicheza na Busungu ni mabao tu

KWA moyo mweupe kabisa, straika wa Yanga, Donald Ngoma, amesema anajisikia furaha kucheza pamoja na Malimi Busungu kwani upambanaji wake unampa nafasi ya kufunga mabao…

SOMA ZAIDI

Hakuna namna, mtapigwa tu

YANGA na Simba zimeshinda mechi zao za katikati ya wiki hii, lakini nyuma ya ushindi huo makocha wa timu hizo hukumbana na mazingira magumu sana….

SOMA ZAIDI


Kiiza nje wiki mbili

STRAIKA wa Simba, Hamis Kiiza atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili akiuguza maumivu ya nyama za paja akiwa mazoezini. Kiiza raia wa Uganda aliyejiunga…

SOMA ZAIDI

Mambo yazidi kumnyookea Uhuru Sauz

NYOTA wa zamani wa Simba, Uhuru Suleiman sasa anakipiga katika Klabu ya Royal Eagles ya Afrika Kusini kwa mkopo akitarajiwa kurejea Jomo Cosmos, lakini Mamelodi…

SOMA ZAIDI

Simba yaletewa straika zaidi ya Ngoma

Nicodemus Jonas, Dar es Salaam SIMBA imeambiwa wala isiwe na papara kikifika kipindi cha usajili wa dirisha dogo kwani ikitaka italetewa straika hatari zaidi ya Donald…

SOMA ZAIDI

Zamu yao

ZAMU Yao! Leo Jumamosi Simba na Yanga zinapambana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mechi ya Ligi Kuu Bara, makocha wa timu hizo…

SOMA ZAIDIAmissi Tambwe hizi sasa dharau

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe amewata mashabiki wa timu yake kutulia na kutohofia lolote katika mechi ya leo ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba,…

SOMA ZAIDISimba ikiingia mtego huu imekwisha

KOCHA Hans van Der Pluijm amesisitizia wachezaji wake kucheza mipira ya chini kila wanaposhambulia na mwisho wa kucheza mipira ya juu ni katikati ya uwanja…

SOMA ZAIDI

Kiiza agoma Simba, kocha amtuliza

KINARA wa mabao katika Ligi Kuu Bara, Hamis Kiiza, jana Ijumaa aligoma kuendelea na mazoezi ya asubuhi na wenzake baada ya kutoridhishwa na mwamuzi wakati…

SOMA ZAIDI

Simba waponda mazoezi ya Yanga

MASHABIKI wa Simba wameyabeza mazoezi ya Yanga kwa kusema ni ya kawaida na kamwe wasijidanganye kama yatawawezesha kuifunga timu yao. Mmoja wa wapenzi wa Simba…

SOMA ZAIDI


Tambwe amvaa Kiiza, ampiga mikwara

Mshambuliaji wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe. Wilbert Molandi, Dar es Salaam LICHA ya ‘hat trick’ aliyoipiga mshambuliaji mpya wa Simba Mganda, Hamis Kiiza, lakini mshambuliaji wa…

SOMA ZAIDIKiiza: Yanga hii, lazima niifunge

HAMIS Kiiza wa Simba ana uchungu wa kuachwa bila sababu ya msingi na Yanga, sasa amesema atahakikisha anaifunga timu yake ya zamani atakapokutana nayo Jumamosi…

SOMA ZAIDIYanga yaweka benchi Sh mil 200

BILA woga, Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm ametamka wazi kuwa kuna ugumu kwa beki mpya raia wa Togo, Vincent Bossou kucheza kikosi cha…

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online