×

Entertainment

Mambo 7 yanayoweza kukuchanganya kimaisha!

Wiki hii nimeona nikupe mambo ambayo yanaweza kukufanya ukachanganyikiwa na wakati mwingine kuiona dunia ni chungu. Nafanya hivi kwa sababu...

READ MORE

Vingine mnashea, kwa nini simu iwe tatizo!-2

Napenda kumshukuru Mola kwa pumzi aliyonipa nikaweza kuandika makala haya na wewe msomaji ukapata kile unachokipenda. Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia...

READ MORE

Shinda Nyumba: Zimebaki siku chache tu, changamkia mjengo huu!

Kushinda nyumba hii mpya yenye fanicha ndani ni rahisi sana! Nunua Gazeti la Championi, Ijumaa, Uwazi, Amani, Ijumaa Wikienda au...

READ MORE

Amekuacha? Fanya hivi!!

NAAM mpenzi msomaji wa Sindano za Mahaba, tumekutana tena, kwa wale wagonjwa siku zote nimekuwa nikiwapa pole na kwa wale...

READ MORE

Usikubali sikukuu ikuchanganye, ikuache na madeni!

Ni wiki nyingine tunakutana tena kupitia ukurasa huu nikiamini kuwa umzima na unaendelea na mishemishe zako za kila siku kama...

READ MORE

Unawafanyia nini wazazi wako kipindi hiki wakiwa hai?

Amrani Kaima Assalam aleikum mpenzi msomaji wangu. Uhali gani wewe uliyepata bahati ya kunisoma tena wiki kupitia ukurasa huu? Ni...

READ MORE

Vingine Mnashea, kwa nini simu iwe tatizo?

NAPENDA kumshukuru Mungu kwa kila jambo katika maisha yangu ya kila siku kwani ni kwa rehema zake tu ndizo zinanifanya...

READ MORE

Jitambue Epuka kukurupuka, tulia na ufanye maamuzi sahihi!

Amran Kaima NI wiki nyingine tena tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba kwa rehema zake Mwenyezi Mungu umzima...

READ MORE

Hivi ni kweli huwezi kuishi bila kukopa?

Nilishawahi kuandika makala moja kwenye gazeti dada na hili la Ijumaa kwenye safu ya Saikolojia, Maisha na Wewe iliyokuwa inahusu...

READ MORE

Msiniletee Sapraiz Za Kijinga!

Haya mambo ya kuiga haya yatatupeleka pabaya. Halafu kiukweli mi nazilaumu sana TV zinatuonesha mambo mengi na sisi tunaiga hapo...

READ MORE

Unajifanya kuzuga siyo? Soma hapa

Asalaam aleikum wapendwa wasomaji wa safu yetu hii ya Shangingi Mstaafu. Najua mlikuwa mnanisubiri kwa hamu nije niwape mbili tatu...

READ MORE

Shoga; hata ‘singlendi’ ni nguo za ndani, usimpe hausigeli kufua!

NAAM naam! Leo ni Jumanne nyingine ambapo naamini wasomaji wangu wote mmeamka salama u-salimini. Kama ni kweli namshukuru Mungu kwa...

READ MORE

Ukiwa mke wa mtu usithubutu kufanya ujinga huu!

KWA rehema zake Mungu, Jumamosi nyingine anatukanisha wadau wa Love Story. Hapa tunapeana elimu ya uhusiano. Wiki iliyopita tulijifunza kuhusu...

READ MORE

Ubahili huu hadi kwa wazazi na ndugu zako utakusaidia nini?

Mwishoni mwa wiki iliyopita nilikuwa kijijini kwetu Mlalo, Lushoto mkoani Tanga ambako nilikuwa na matatizo kidogo. Niliposhuka tu stendi, nilikutana...

READ MORE

Unaijua tofauti ya wewe na waliofanikiwa? Soma hapa!

Wapo ambao wamekuwa wakisema maisha ni magumu na wanafikia hatua ya kukufuru kwamba bora hata wajifie tu kuliko kuendelea kuishi...

READ MORE

Wapo waliotambulishwa, wakaachwa Sembuse wewe!

SHUKRANI na sifa ziende kwa Maanani kwa kunipa nafasi nyingine ya kukutana nawe msomaji wangu Jumanne hii. Ukiachia mbali changamoto ...

READ MORE

Ubinafsi; Kirusi hatari kwa wapendanao!

TUMSHUKURU Mungu wa Mbinguni kwa kuendelea kutupa pumzi ambayo hatuilipii hata senti moja. Mimi na wewe tunakutana kwa mara nyingine...

READ MORE

Kifo kinapomchukua umpendaye, maneno haya yanafaa!

Nianze kwa kusema asante Mungu kwa kila jambo ingawa machoni tuna furaha lakini mioyoni mwetu tumejeruhiwa vibaya sana. Ni wiki...

READ MORE

Mapenzi ni sehemu ya maisha, kwa nini tunawabania wanafunzi?

Hivi karibuni nilikutana na vijana wanaosoma katika shule moja ya sekondani iliyopo Lushoto mkoani Tanga iitwayo Mlalo Sekondari. Wanafunzi hao...

READ MORE

Maneno mabaya, makali ni sumu kwenye mapenzi-2

Mpenzi msomaji wa XXLove ni Jumatatu nyingine murua tunakutana hapa jamvini kwa ajili ya mwendelezo wa mada yetu ya wiki...

READ MORE

Bi. Chau Aanika siri ya kuonekana kijana miaka yote!

Chausiku Salumu ‘Bi. Chau’. MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu yetu ya Mpaka Home, kama ilivyo kawaida mpenzi msomaji wangu...

READ MORE

Acha Mitungi, Nani Kakuambia Huo ni Ujanja?

Kuna makala kama mbili hivi niliwahi kuandika na kueleza jinsi baadhi ya watu wanavyotumia pesa zao nyingi kwenye ulevi huku...

READ MORE

Shoga; umeolewa zilipendwa wako wa nini?

Mambo vipi shoga yangu. Na kwa wewe Muislam umejiandaaje na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani? Baada ya salamu napenda...

READ MORE

Lupita Nyong’o avujisha Queen of Katwe

Lupita Nyong’o Muuza nyago mwenye jina kubwa duniani ambaye pia ni Mshindi wa Tuzo ya Oscar, Lupita Nyong’o hivi karibuni...

READ MORE

Mambo 5 ya kuzingatia unapowaza kumfungulia mkeo biashara!

Ni wiki nyingine tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na mishemishe za maisha. Mimi...

READ MORE

Kisa kuokoka Kajala akejeliwa

Kajala Masanja BAADA ya kukiri katika gazeti hili kuwa ameamua kuokoka na kumrudia Mungu, mrembo kunako filamu za Kibongo, Kajala...

READ MORE

Joyce Kiria aogopa kupoteza ndoa

Joyce Kiria MTANGAZAJI wa Kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa kupitia EATV, Joyce Kiria ameweka wazi kuwa hivi sasa yuko kwenye...

READ MORE

Ugomvi na mumeo mtoto anahusikaje?

Asalam Alaikumu mpenzi msomaji wa safu hii, hakika utakuwa vema kiafya mimi namshukuru Mungu siku zinasonga. Nawashukuru wasomaji wangu mnaoendelea...

READ MORE

Ni tatizo mume kuishi kwa kutegemea kipato cha mkewe?

Kazi imekuwa ni kigezo cha msingi sana ili ndoa ziweze kuwepo. Hata hivyo, wakati wengine wakijitahidi kutafuta wachumba wanaofanya kazi,...

READ MORE

Unapojisahau kwa maisha ya mjini, ipo siku utaaibika kijijini kwenu!

Ni ukweli kwamba asilimia kubwa ya watu hutoka vijijini kwao na kwenda mijini, lengo likiwa ni kutafuta maisha. Kwa mfano,...

READ MORE

Shoga; punguza safari mumeo akuamini!

Namshukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioniwezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za chumbani zaidi. Baada ya wiki...

READ MORE

Sababu 5 za matajiri kuzidi kujituma licha ya mafanikio yao!

Katika maisha lipo suala la kufanikiwa lakini kwa waliofanikiwa si jambo la ajabu kusikia wamefilisika. Wapo ambao kipindi cha nyuma...

READ MORE

Waliofanikiwa hawana undugu na Mungu, kwa nini wewe ubweteke?

Mpenzi msomaji wangu, ni ukweli ulio wazi kwamba wengi unaowaona wana maisha mazuri walichagua kuishi hivyo! Waliuchukia umaskini kiasi cha...

READ MORE

Shoga; usipotulia utaondoka kwa ‘degedege’ la ukubwani!

Asalaam aleykhum! Leo shoga yangu nataka kuzungumza na wenzetu ambao utulivu kwao ni ziro yaani ambao licha ya kwamba wapo...

READ MORE

Ijue siri ya maisha na mfano wa mtu anayekula mua!

Ni wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii ambayo tunapata fursa ya kuelimishana na kukumbushana juu ya mambo mbalimbali yanayogusa...

READ MORE

Utundu ulimfanya asiingie kwenye uhusiano wa kimapenzi

WIKI iliyopita nilishia pale ambapo Mkwere alipokuwa akisisitiza kila msomaji kujichunguza na kujiuliza nini anapaswa akifanye kwa kutumia kipaji chake...

READ MORE

Unavaa kanga moja kisa joto, umesahau maadili?

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wa safu hii, bila shaka mko poa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu, tunashukuru Mungu...

READ MORE

Unaposhindwa kuishi vizuri na watu, unajiamini kwa lipi?-2

Wiki iliyopita utakumbuka nilianza kuzungumzia umuhimu wa kila mmoja wetu kujitahidi kuishi vizuri na watu wanaomzunguka. Kwamba kama uko ofisini,...

READ MORE

Usitegemee kupata kila kitu darasani

Suala la mwanafunzi kujifunza ni endelevu, halina kikomo na kamwe haliishii darasani kama wanafunzi wengi wanavyofikiria. Mwanafunzi mwenye malengo ya...

READ MORE

Mkwere: Aanika maisha yake yalivyokuwa ya vituko

Mpenzi msomaji, baada ya wiki iliyopita kufikia tamati kwa simulizi ya Mwanamuziki Ambwene Yessaya ‘AY,’ leo tunamleta kwenu mchekeshaji maarufu...

READ MORE