×

Entertainment

Unapojisahau kwa maisha ya mjini, ipo siku utaaibika kijijini kwenu!

Ni ukweli kwamba asilimia kubwa ya watu hutoka vijijini kwao na kwenda mijini, lengo likiwa ni kutafuta maisha. Kwa mfano,...

READ MORE

Shoga; punguza safari mumeo akuamini!

Namshukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioniwezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za chumbani zaidi. Baada ya wiki...

READ MORE

Sababu 5 za matajiri kuzidi kujituma licha ya mafanikio yao!

Katika maisha lipo suala la kufanikiwa lakini kwa waliofanikiwa si jambo la ajabu kusikia wamefilisika. Wapo ambao kipindi cha nyuma...

READ MORE

Waliofanikiwa hawana undugu na Mungu, kwa nini wewe ubweteke?

Mpenzi msomaji wangu, ni ukweli ulio wazi kwamba wengi unaowaona wana maisha mazuri walichagua kuishi hivyo! Waliuchukia umaskini kiasi cha...

READ MORE

Shoga; usipotulia utaondoka kwa ‘degedege’ la ukubwani!

Asalaam aleykhum! Leo shoga yangu nataka kuzungumza na wenzetu ambao utulivu kwao ni ziro yaani ambao licha ya kwamba wapo...

READ MORE

Ijue siri ya maisha na mfano wa mtu anayekula mua!

Ni wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii ambayo tunapata fursa ya kuelimishana na kukumbushana juu ya mambo mbalimbali yanayogusa...

READ MORE

Utundu ulimfanya asiingie kwenye uhusiano wa kimapenzi

WIKI iliyopita nilishia pale ambapo Mkwere alipokuwa akisisitiza kila msomaji kujichunguza na kujiuliza nini anapaswa akifanye kwa kutumia kipaji chake...

READ MORE

Unavaa kanga moja kisa joto, umesahau maadili?

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wa safu hii, bila shaka mko poa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu, tunashukuru Mungu...

READ MORE

Unaposhindwa kuishi vizuri na watu, unajiamini kwa lipi?-2

Wiki iliyopita utakumbuka nilianza kuzungumzia umuhimu wa kila mmoja wetu kujitahidi kuishi vizuri na watu wanaomzunguka. Kwamba kama uko ofisini,...

READ MORE

Usitegemee kupata kila kitu darasani

Suala la mwanafunzi kujifunza ni endelevu, halina kikomo na kamwe haliishii darasani kama wanafunzi wengi wanavyofikiria. Mwanafunzi mwenye malengo ya...

READ MORE

Mkwere: Aanika maisha yake yalivyokuwa ya vituko

Mpenzi msomaji, baada ya wiki iliyopita kufikia tamati kwa simulizi ya Mwanamuziki Ambwene Yessaya ‘AY,’ leo tunamleta kwenu mchekeshaji maarufu...

READ MORE

Kununua gari kisa mwezako analo ni ulimbukeni uliopitiliza!

Wakati f’lani uliwahi kuibuka mjadala mzito sana kwenye kundi letu la WhatsApp ambapo mmoja aliuliza kwamba kati ya gari na...

READ MORE

Ray c, usipobadilika huna wa kumlaumu!

KWAKO dada yangu uliyesumbua Tanzania kwa uwezo wako mkubwa wa kuimba na kukata vilivyo kiuno stejini, Rehema Chalamila ‘Ray C’....

READ MORE

Unaposhindwa kuishi vizuri na watu, unajiamini kwa lipi?

Wakati f’lani nikiwa natoka kijijini kuja Dar, wazazi wangu waliniusia juu ya kuishi vizuri na watu. Waliniambia kuwa, watu nitakaokutana...

READ MORE

Unayetembea na mume, mke wa mtu soma hapa!

LICHA ya kuwepo na msemo wa mke au mume wa mtu ni sumu bado watu wengi wameendelea kutenda tendo hilo....

READ MORE

Mafanikio ni kwa kila mtu, kwa nini umri uwe kikwazo kwako?

Ni wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na mishemishe za kimaisha. Kwa wale...

READ MORE

Aeleza alivyomjua Godfather kupitia Google

Ambwene Yessaya”AY” BAADA ya wiki iliyopita AY kusimulia jinsi alivyosafiri kwa basi kwenda nchini Uganda wakati huo akiwa hana ndugu,...

READ MORE

Ukitafuta mafanikio kwa njia za mkato, itakula kwako!

Mpenzi msomaji wangu, mafanikio katika maisha yako yatatokana na utendaji wako wa kazi halali huku ukiwa umejiwekea malengo. Lakini sasa...

READ MORE

Umeelewa kiasi gani Kabla ya mitihani?-2

MAJIBU YA MITIHANI, MAJARIBIO MENGI YA NDANI Mwanafunzi, leo nitamalizia mada hii niliyoianza wiki iliyopita lengo likiwa kukupa ufahamu zaidi...

READ MORE

Namna ya kukabili hasira kuepukana na madhara

KWENYE maisha kuna nyakati za kutofautiana na kukasirishana. Katika hali ya kawaida,  kipindi hiki huwa ni cha hatari kwa sababu...

READ MORE

Umeelewa Kiasi Gani Kabla Ya Mitihani?

Wanafunzi wengi makini hujisomea kwa bidii mara kwa mara kabla ya mitihani yao huku wakiwa na matumaini makubwa ya kufaulu....

READ MORE

Ukiwa na tabia hizi, mwanaume lazima akukimbie -2

Wiki iliyopita nilianza kuwachambulia tabia ambazo mwanamke akiwanazo lazima mwanaume amkimbie, leo nitahitimisha ‘topiki’ hiyo kwa tabia zilizosalia ambazo ni...

READ MORE

Hali 4 za kihisia zinazoweza kukwamisha malengo yako!

Ulishawahi kukaa na kujiuliza ni jinsi gani hisia zako zinaweza kukusukuma ukafanya jambo ambalo hukulitegemea? Huenda hujajiuliza lakini nikwambie tu...

READ MORE

Jinsi ya Kujijengea Heshima Kwenye Jamii

HAKUNA kitu kibaya maishani kama kuonekana upo katika daraja la chini kuliko kawaida kwenye jamii unayoishi. Kisaikolojia kuna madhara makubwa....

READ MORE

Fedha za Majini Zilivyoniendesha Puta

ILIPOISHIA Baada ya hapo nikatoka nje. Muda huo baadhi ya watu walikuwa wanakwenda mashambani na wanawake walikuwa wakifanya usafi nje...

READ MORE

Geuza changamoto zako kuwa ari

Wanafunzi wengi nchini hutokea kwenye kaya zenye kipato cha kawaida, kwa mujibu wa takwimu mbalimbali inatajwa kuwa asilimia 70 ya...

READ MORE

Bella achangwanywa na ‘totoz’ wa Kibongo

Wiki iliyopita Bella alisimulia namna ndoto yake ya kuwa juu zaidi katika kazi yake ya muziki ilivyomfanya kulazimika kuachana na...

READ MORE

Umri unakuzuiaje kuolewa na umpendaye?-2

Karibu tena msomaji wangu katika uwanja wetu huu maalum ambapo tunaelimishana kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita...

READ MORE

Sababu 5 za kukubali maumivu ili uwe na furaha!

Kuhangaikia furaha ndiyo sababu ya wengine kuumia na kutafuta ushauri wa hapa na pale kwa wataalam wa saikolojia na maisha....

READ MORE

Haya Ndiyo Niliyoyaona Baharini

Kutokana na maombi ya wasomaji wengi, kwamba wanachelewa kusubiri mkasa kwa wiki moja, sasa mkasa huu utakuwa ukitoka na siku...

READ MORE

Simulizi ya Maisha ya AY: Ataja sifa za mwanamke amtakaye

WIKI iliyopita tuliishia pale nilipoeleza kuwa pamoja na mafanikio niliyonayo ila sijafanikiwa kupata mtoto wala wa kusingiziwa na hii ni...

READ MORE

Kwa nini uingilie ugomv i wa wazazi wako?

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wa safu hii, nashukuru nina afya ya kutosha, kwa wewe ambaye huna afya nakupa pole Mungu...

READ MORE

Mujini shule, jiongeze!

Je, wewe ndiyo unaingia mjini? Kama ni hivyo kwa kweli naona nichukue muda huu kutoa semina fupi kwako kuhusu mambo...

READ MORE

Hatari inayomkabili mwenye mapenzi kupita kiasi

Kupenda ni jambo muhimu katika maisha ya mwanadamu, kwa sababu asilimia kubwa ya matendo ya mtu huongozwa na mapenzi. Miongoni...

READ MORE

Usidharau Mitihani Midogo, Inakujenga

Ni dhahiri kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa matokeo ya kidato cha nne mwaka jana ni janga kwa elimu ya...

READ MORE

Kuvunja watu mbavu…Mzee Majuto ‘katusua’

Maarufu Bongo, Amri Athumani ‘King Majuto au Mzee Majuto’. Kila mtu na mtoko wake, mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athumani ‘King...

READ MORE

Jinsi ya kupika wali wa maharage na nazi

Leo tunajifunza kupika wali na maharage ya nazi. MAHITAJI Mchele kilo moja Maharage nusu Mafuta ya kupikia Iliki pakiti moja...

READ MORE

Ndoa bila watoto haina maana?-2

Kila mmoja alisema ni Mungu tu. Si kwa akili zao. Wamepita changamoto nyingi. Wangekuwa legelege wangeshaachana. Walisimama imara. Walimtanguliza Mungu...

READ MORE

Umri unakuzuiaje kuolewa na umpendaye?

Bila shaka msomaji wangu upo mzima buheri wa afya. Karibu tena kwenye kona yetu hii tunapopeana elimu na maarifa kuhusu...

READ MORE

Wanaume wazima mnaotembea na mabinti, mnaibiwa!

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wangu, bila shaka mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu, kwa upande wangu nina amani na...

READ MORE