×

Entertainment

Simulizi ya Christian Bella; Mambo yaanza kumwendea vizuri…

Tunazidi kusonga mbele na simulizi hii ya Maisha Halisi ya Christian Bella ‘King Of The Best Melody’, ambapo wiki iliyopita...

READ MORE

Faida/Hasara za Kurudiana na Mpenzi Wako wa Zamani

Ni Ijumaa nyingine tunapokutana jamvini! Shukrani za kipekee kwa Muumba wetu kwa kutuwezesha kuiona siku hii ya leo. Najua ni...

READ MORE

Ushindani wa Masomo Una Faida Zake

Ni vigumu kwa sehemu yoyote kufanya jambo kwa bidii bila kupoteza lengo ikiwa hakuna ushindani. Ushindani baina ya watu wawili...

READ MORE

Wasichana mnaohamia  kwa mabwana tuwaeleweje?

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wangu, bila shaka wazima na mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu, kwa wagonjwa poleni Mungu...

READ MORE

Simulizi ya Kweli ya Christian Bella: Baba’ke Afukuzwa Kazi

Machozi, jasho na damu vimemtoka kufika hapo alipo. Abeba mchanga, ametengeneza mikate ili kujisomesha. Ametimuliwa nyumbani kwao kisa muziki. Ni...

READ MORE

Joshua: Nilishiriki Ufuska, Ushirikina!

Na GLADNESS MALLYA MAFANIKIO ya mtu yeyote huambatana na simulizi nyingi za kusisimua, zinazoambatana na mikasa isiyofikirika, kama unavyoweza kuipata...

READ MORE

Faida za kupata matatizo katika maisha

WAKATI mwingine matatizo huwafanya watu wahisi mwisho wa maisha umewadia! Hushindwa kabisa kukabiliana na changamoto zinazotokana na matatizo hayo na...

READ MORE

Kuwa na wapenzi wengi ni tatizo la kisaikolojia

NI Jumanne tena, yenye utulivu na usikivu kwa wasomaji wangu. Naamini wengi wenu mpo salama kabisa na mmekaa mkao wa...

READ MORE

Kila mtu anauelewa wake, usiige wenzako

Na Richard Manyota Kuna wakati fulani mwanafunzi hujikuta akiingia katika mkumbo wa kuishi kama wanafunzi wenzake, ikiwemo kufuata hata ratiba...

READ MORE

Umezalishwa, huna msaada? Hujui hatima yako? Jifunze!

JUMAMOSI nyingine tulivu tunakutana katika uwanja wetu wa kufundishana masuala ya uhusiano na maisha ya wapendanao kwa ujumla. Niwashukuru wale...

READ MORE

Mpoto: Afungua kampuni na kuwaweka warembo tu

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu na ya kusisimua ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale alipotoa siri ya kwa...

READ MORE

Kubali umasikini, anzia hapo kuelekea kwenye utajiri!

Hakuna anayeweza kupinga ukweli kwamba, maisha ya sasa ni magumu, ugumu ambao kama mtu atabweteka na kushindwa kutimiza wajibu wake...

READ MORE

Elimu haipo kwenye madaftari pekee

Wanafunzi wengi wamekuwa wakielekeza akili zao kwenye masomo wanayofundishwa darasani pekee huku wakijisomea kile tu ambacho wanakiandika kwenye madaftari huku...

READ MORE

Kutoka mkimbizi, babantilie, BBC hadi Azam TV -2

MTANGAZAJI wa kimataifa, Kassim Kayira ndiye anayetupambia ukurasa huu. Anasimulia kila kitu kuhusu maisha yake, tangu kuzaliwa hadi alipo sasa....

READ MORE

Umekwama na ndoto zako zinafifia? Makala hii inakuhusu!

Mpenzi msomaji wangu, maisha yana changamoto nyingi sana ambazo kamwe huwezi kuzikwepa. Ukikubali changamoto hizo zikuzuie kufikia malengo yako uliyojiwekea,...

READ MORE

Kwenda kununua vitafunio huku unapiga mswaki

Kuna mijitu bwana ni ya ajabu sana, wakati mwingine unaweza kusema bora hata Mungu asingewaleta hapa duniani. Wanafanya mambo ya...

READ MORE

Jamani Muwe Makini na Antena

Na Haruni Sanchawa “Jamani muwe makini na antena zenu za tv wakati wa kuzirekebisha, hasa kwa wale ambao hawana utaalam...

READ MORE

Usijisahau, Tumia Kipindi Hiki Kujiandaa

Kwanza niseme hongereni wanafunzi wote wa kidato cha nne ambao mmepitia kipindi kigumu cha mitihani yenu ya kumaliza elimu ya...

READ MORE

Siku zote mke, mama mkwe ni maadui

NIANZE kwa kuwashukuru wasomaji wangu kwa kuendelea kufuatilia mada zangu mbalimbali za Maisha na Uhusiano na hata kutoa maoni na...

READ MORE

Adele: Staa aliyezoa tuzo, asiyeishi kistaa

Kwa jina lake kamili anajulikana kama Adele Laurie Blue Adkins. Ni Muingereza ambaye kwa kipindi kirefu cha nyuma alitamani kuwa...

READ MORE

Maisha halisi ya Kassim Kayira

Kutoka mkimbizi, babantilie, BBC hadi Azam TV Aeleza uwezo wa kuzungumza lugha na makabila 30 HELADIUS Banzi, mmoja wa madereva...

READ MORE

Urahisi wa Mume Kutembea na Mashosti wa Mke!

Maisha ya kimapenzi yanahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana kwani kuna changamoto nyingi zinazoweza kujitokeza kiasi kwamba usipoangalia unaweza...

READ MORE

Kwa nini Umuache Mumeo Kisa Umemfumania?

Habari zenu wasomaji wa safu hii, bila shaka ni wazima na mnaendelea vema na kazi za kulijenga taifa letu ambalo...

READ MORE