×

Featured Stories

Cloud afunga ndoa tena Ulaya kwa siri

Nyota wa sinema za Bongo, Issa Mussa ‘Cloud’ akiingia ukumbini na mkewe. Stori:Hamida Hassan na Imelda Mtema NYOTA wa sinema...

READ MORE

Mastaa Wajitokeza Kumuenzi Steven Kanumba

Mama mzazi wa aliyekuwa Staa wa Bongo Movie, Marehemu Steven Charles Kanumba, Flora Mtegoa akiwa ameshika shada wakati wa ibada...

READ MORE

JPM katika kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari, Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na wenyeji...

READ MORE

Vengu asakwa kwa saa 72

Mchekeshaji maarufu Bongo, Joseph Shamba ‘Vengu’. DAR ES SALAAM: Baada ya wasomaji mbalimbali kuonesha hamu ya kutaka kujua hali ya...

READ MORE

Miaka 4 ya kifo cha Kanumba, hii ndiyo hali halisi

Staa wa filamu Bongo, Steven Charles Kanumba enzi za uhai wake. Gladness Mallya Hii ndiyo hali halisi! Ikiwa leo ni...

READ MORE

Polisi Dar wamchunguza Zari!

Zarina Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah. DAR ES SALAAM: Kufuatia kamatakamata ya wafanya-biashara wanaodaiwa kujihusisha na madawa ya kulevya ‘unga’...

READ MORE

Padri amtolea tamko Jokate

Mbongo Fleva na Miss Tanzania No. 2, 2006, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. DAR ES SALAAM: Baadhi ya watu waliodai kuwa wao...

READ MORE

Simba yafanyiwa umafia, Kiiza, Juuko wafichwa

Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza. Wilbert Molandi, Dar es Salaam IMEFAHAMIKA kuwa kiongozi mmoja wa wa Yanga ndiye amefanya umafia hadi...

READ MORE

Simulizi ya makonda alivyonaswa vibao

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Na Elvan Stambuli, RISASI mchanganyiko DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Aunty Lulu agida bia asubuhi

Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ akipiga mtungi huku akijilipua na fegi. Na Gladness Mallya, RISASI mchanganyiko DAR ES SALAAM: Mwanadada asiyeishiwa matukio...

READ MORE

Mwisho mwampamba kortini

Mwisho Ephraim Mwampamba akiwa Mahakamani. NA Dustan Shekidele, RISASI mchanganyiko MOROGORO: Ikiwa takriban siku 40 tangu baba yao, Dk. Ephraim Njawala...

READ MORE

Wastara abanwa arudishe michango!

Mwigizaji nyota, Wastara Juma. Na Waandishi wetu, RISASI mchanganyiko DAR ES SALAAM: Siku 15 baada ya ndoa ya mwigizaji nyota, Wastara...

READ MORE

Mchina anyongwa ndani ya gari Dar!

Polisi wakichukua mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI Mfanyabiashara raia wa China aliyetambulika kwa jina...

READ MORE

Mfanyabiashara achezea sharubu za Makonda!

Kituo kikiwa kimeng’olewa kutokana na ujenzi wa kituo cha kuuzia mafuta, GBP. Stori: Issa Mnally na Makongoro Oging’, UWAZI Mkurugenzi...

READ MORE

Wauza ‘unga’ wahaha kumnasua Shkuba

Ali Khatibu Haji ‘Shkuba’. Stori: Elvan Stambuli, UWAZI DAR ES SALAAM: Ziko taarifa kwamba, wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya...

READ MORE

Dunia imefika mwisho

Sayari ya Nibiru ikionekana kuikalibia Dunia kwa kasi. Stori: Oscar Ndauka, UWAZI DAR ES SALAAM na mitandao: Ile Sayari ya...

READ MORE

Ustadhi mbaroni kisa upotevu wa mwanandoa

Ustadhi Swamadu Ramadhan Samata. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Mwalimu Mkuu wa Chuo cha Madrasa ya Vingunguti, Wilaya...

READ MORE

Denti darasa la 5 ajinyonga!

Dada wa marehemu akilia baada ya mdogo wake kujinyonga. STORI: Dustan Shekidele, Wikienda Morogoro: Mshtuko! Mwanafunzi wa wa darasa la...

READ MORE

Mke anasa picha chafu za hawara!

Hawara huyo akiwa amepozi. Stori: Andrew Carlos, Wikienda Dar es Salaam: Aibu ya mwaka! Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Flora,...

READ MORE

Diamond, Kiba sasa ni vita ya kifamilia!

Mkali wa Bongo fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’. Stori: Waandishi wetu, Wikienda Dar es Salaam: Imevuja! Harakati za kusaka...

READ MORE

Shamsa, Faiza washerehekea kulea wenyewe!

Mastaa wawili wa Bongo Muvi, Shamsa Ford na Faiza Ally wakifurahia jambo kwa kupeana mikono. Stori:  Imelda Mtema, Wikienda KITUKO:...

READ MORE

Gardner alazimishwa kudansi laivu wimbo wa Jide!

Mtangazaji anayetumikia Kituo cha Radio E-FM cha Dar, Gardner G Habash. Stori: Sifael Paul, Wikienda Dar es Salaam: Noma sana!...

READ MORE

JPM asali na Raila Odinga Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Raila Odinga...

READ MORE

Odinga amtembelea Rais Magufuli, Chato

Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiwasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita kwa ajili ya...

READ MORE

Madrid ikiwa ugenini yainyuka Barca 2-1

Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema akishangilia bao la kwanza aliloipatia timu yake dhidi ya Barcelona katika mchezo wa Ligi Kuu...

READ MORE

Mbunge: Wastara ameniroga

Aliyekuwa mume wa nyota wa Filamu za Bongo, Wastara Juma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Donge (CCM), Zanzibar,...

READ MORE

Mama afunguka Aunt, Iyobo Kuachana!

Aunt Ezekiel BONIPHACE NGUMIJE NA MAYASA MARIWATA Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: MAMA aliyejitambulisha kuwa ni mama mzazi wa dansa wa...

READ MORE

Ngoma: Msiogope mziki umetimia

Mchezaji  wa Yanga, Donald Ngomaakifanya yake na kocha wake, Hans van Der Pluijm. Khadija Mngwai,Dar es Salaam STRAIKA wa Yanga,...

READ MORE

Ukatili: Mtoto Avutishwa Bangi, Alawitiwa

Bibi wa mtoto huyo. NA GLADNESS MALLYA Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Huu ni ukatili wa kutisha! Mtoto mwenye umri...

READ MORE

Jide: Sijampiga kijembe Gardner

Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide Stori: Mwandishi wetu MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka...

READ MORE

Jack Chuz, Mumewe Waiangushia Dua Ndoa Yao!

Jack Pentezel na mumewe Gardner Dibibi. Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Jack Pentezel na mumewe Gardner Dibibi wamefanya...

READ MORE

Shamsa: Nusura niharibike ubongo kwa kipigo

Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford. Stori: Imelda Mtema Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa amekutana na kipigo...

READ MORE

Pluijm awaingiza chaka Al Ahly

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Wilbert Molandi, Dar es Salaam YANGA ina taarifa kuwa wapinzani wao Al...

READ MORE

Gigy Money alewa tilalila, azimika

Video Queen na Mtangazaji wa Runinga, Gifty Stanford ‘Gigy Money’ akiwa amezima baada ya kupiga mitungi. HAMIDA HASSAN NA MAYASA...

READ MORE

Nuh ammwaga mrithi wa Shilole

Mkali wa Bongo Fleva, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’. Stori: mayasa mariwata MKALI wa Bongo Fleva, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amefunguka...

READ MORE

Wifi wa Zari adaiwa kutimuliwa kwa Diamond

Wifi nambari moja wa Zarinah Hassan ‘Zari’, Esma Platnumz. Stori:  Musa Mateja,  Ijumaa Hivi karibuni yalitua madai kwenye meza ya...

READ MORE

Waumini wamlipua Lulu

Staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akitoa neno katika Kanisa la Living Water Centre. Stori: Mayasa Mariwata na Hamida Hassan,...

READ MORE

Jack Chuz, Bella wamaliza bifu lao

Mastaa wa sinema za Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ na Isabella Mpanda wakikumbatiana baada ya kupatana. Mayasa Mariwata na Gladness...

READ MORE

Droo ya 3 ya Shinda Nyumba Ilivyofana Jana

Msomaji wa magazeti ya Global Publishers Ltds, akichanganya kuponi ili kuwapata washindi wa droo ya tatu ya Shinda Nyumba jana....

READ MORE

‘Maiti’ ya Ofm yagomewa mochwari!

Makamanda wa OFM wakiingiza mwili kwenye gari. Na Waandishi Wetu, AMANI AR ES SALAAM: Bahati yao! ‘Maiti’ ya mmoja wa...

READ MORE