×

Featured Stories

Undani kigogo bandari kufa kwa presha!

Elia Eliampenda Kimaro. Chande Abdallah na Deogratius Mongela WAKATI Rais John Magufuli akiwa kwenye zoezi la kutumbua majipu kwenye Mamlaka...

READ MORE

Diamond, mama’ke kikao kizito!

Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Musa Mateja Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mama’ke mzazi, Sanura...

READ MORE

Kidoa; Zao la Nay wa Mitego anayejiongezea umaarufu kila kukicha

KAMA kawa, kama dawa. Mpaka Home Next Level inazidi kuchanja mbuga kwa kuwatembelea mastaa mbalimbali Bongo ambapo wiki hii tulimtembealea...

READ MORE

Zari amkuwadia dogo wa Diamond kwa Huddah!

Zarinah Hassan ‘Zari’. Musa mateja Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ anadaiwa kumkuwadia dogo anayeishi na kufanya...

READ MORE

Wastara akwaa jinamizi loa usagaji!

Nyota wa filamu nchini, Wastara Juma. Mayasa Mariwata na Andrew Carlos Jinamizi la usagaji limetua kwa nyota wa filamu nchini,...

READ MORE

OFM yanasa bangi ikilimwa kando ya kituo cha biashara!

Viongozi wa Serikali wakiing’oa bangi hiyo. Waandishi wetu Kweli hii ni kali! Kile kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM)...

READ MORE

Gari la Wema mikononi mwa Rais Magufuli

Hali ni tete! Chanzo kimoja kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kimenyetisha kwamba, kasi ya Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’...

READ MORE

Yaliyomo kwenye Gazeti la AMANI leo

Hapa kazi tu! Gari la Wema mikononi mwa Rais Magufuli -Ni kuhusu ulipaji kodi TRA -Yamo magari ya akina Diamond, Kajala,...

READ MORE

Wolper akivishwa pete tu kwisha habari yake!

Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper. KUMBE! Waliosema ujana maji ya moto hawakukosea kwani una changamoto nyingi hasa pale...

READ MORE

JB abainisha kinachoiua sanaa!

Mkongwe wa filamu Bongo, Jacob Stephen ‘JB’. MKONGWE wa filamu Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameweka wazi kinachochangia sanaa ya filamu...

READ MORE

Aunt amfundisha ulevi Moze

Staawa Bongo Movie, Aunt Ezekiel akiwa na mpenzi wake Moses Iyobo ‘Moze’. STAA wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel juzi kati baada...

READ MORE

Utajiri wa vigogo TRA unatisha!

Kamishina Mkuu wa TRA Rished Bade. Na Waandishi Wetu IMEVUJA! Hakuna shaka kwamba, utajiri wa wale vigogo watumishi wa umma...

READ MORE

Aunt, dada’ke wema pachimbika

Dada wa Wema aitwaye Nuru Sepetu. Na Musa Mateja Hali si shwari! Lile bifu la mastaa wawili wa sinema za...

READ MORE

Kisa ujauzito wa Ali Kiba, Jokate aasi kanisani

Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo. Gladness Mallya na Mayasa Mariwata IMEVUJA! STAA wa muziki na mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo...

READ MORE

Shehe Ponda Awaliza Mashehe, Wanawake

Shehe Ponda akiongozana na mashehe wengine mara baada ya kuachiliwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Morogoro. Stori:...

READ MORE

Basi lagongana na lori na kuua watu Singida

WATU 12 wamekufa papo hapo na wengine 18 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Taqbir kugongana na lori la...

READ MORE

Dereva achinjwa kikatili

Salum Masoud enzi za uhai wake.   Na Boniphace Ngumije INASIKITISHA! Salum Masoud (35), mkazi wa Kijichi, Rufiji mkoani Pwani...

READ MORE

Kashfa nzito

Wasomali wakiwa chini ya ulinzi. Makongoro Oging’ na Issa Mnally WAMENASWA! Jeshi la Polisi Kituo cha Buguruni kwa kushirikiana na...

READ MORE

Bi harusi amuua bwana harusi kwa kisu

Marehemu Geofrey enzi za uhai wake. Na Makongoro Oging’ MADAI MAZITO! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Dar limesema linamshikilia...

READ MORE

Zarinah, mama Diamond ni vita!

Zarinah Hassan ‘Zari’ Waandishi wetu NI vita! Baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwenda nchini Afrika Kusini...

READ MORE

Mtoto: Nitajinyonga Wema akinikataa

Zuber Shabani akiwa na mama yake getini kwa Wema Sepetu. Imelda Mtema Wema kiboko! Dogo ambaye anadai yeye ni chipukizi...

READ MORE

Sheikh Ponda aachiwa huru

Sheikh Issa Ponda. Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya jinai...

READ MORE

Bond amwangukia Wastara

Aliyekuwa mchumba wa mwigizaji wa staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, Bond Suleiman. Gladness Mallya Msamaha! Aliyekuwa mchumba wa...

READ MORE

Dogo amcharanga mapanga kaka’ke!

Haruni Sadiki aliyecharangwa mapanga na mdogo wake. Gabriel Ng’osha Inasikitisha sana! Kijana Haruni Sadiki (24), mkazi wa Jangwani, Dar, amenusurika...

READ MORE

Tyson Fury amchakaza Wladimir Klitschko

Wladimir Klitschko akitupiana makonde na Tyson Fury. Tyson Fury akishangilia ushindi akiwa na mikanda aliyoshinda. Tyson Fury baada ya kutangazwa mshindi....

READ MORE

Flora ajiachia na mlinzi wake

Nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Flora Mbasha (kushoto) akiwa katika pozi na kijana anayedaiwa kuwa mlinzi wake, Peter. Brighton...

READ MORE

Jose Mara, Kalala Jr Kurejesha Mapacha wanne leo

Msanii wa muziki wa Dansi Bongo, Joseph Michael ‘Jose Mara’. Wasanii wa muziki wa Dansi Bongo, Joseph Michael ‘Jose Mara’,...

READ MORE

Wolper ajitapa kukwapua waume za watu

Staa wa sinema Bongo, Jacqueline Wolper . Na Imelda mtema MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa...

READ MORE

Kigogo atenga 10m kumnasa Kidoa

Video Queen mwenye mvuto wa aina yake, Asha Salumu ‘Kidoa’. Mwandishi wetu FEDHA inaongea! Kigogo mmoja aliyeomba jina lake lihifadhiwe,...

READ MORE

Baba Diamond: Nikifa Diamond usinizike!

Baba mzazi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa. MAYASA MARIWATA NA CHANDE ABDALLAH BABA mzazi wa mwanamuziki Nasibu Abdul...

READ MORE

Mwalimu mkuu aliyenaswa…

Mwalimu Mkuu huyo alivyonaswa siku ya tukio. Issa Mnally Jambo limezua jambo! Habari ikufikie kwamba Wizara ya Elimu nchini inamshughulikia...

READ MORE

Mrembo auawa kwa risasi

Imelda Mtema na Mayasa Mariwata MAJONZI! Msichana Mtanzania mwenye umri wa miaka 27, Shamsa Abdul Mshana mkazi wa Magomeni Mikumi...

READ MORE

Ray C aonywa kujirekodi video za x

‘Ray C’ Hamida Hassan MWANAMUZIKI ambaye hivi karibuni alipata aibu baada ya video yake ya X kuvuja, Rehema Charamila ‘Ray...

READ MORE

Papa Francis: Dini isitumiwe kuvuruga amani

Kiongozi wa Wakatoliki duniani, Papa Francis wakati akiwasili katika katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Nairobi  Viongozi wa kanisa Katoliki...

READ MORE

Taswira ya Papa Francis akiwa katika Ikulu ya Kenya jana

Kiongozi wa Wakatoliki duniani, Papa Francis akihutubia Taifa la Kenya jana Ikulu. ….Akiendelea kuongea na wananchi wa Kenya. …Akisalimiana na...

READ MORE

Serikali yakamata Mali za bilionea wa unga

Akiwa mikononi mwa polisi. Mwandishi wetu KUMEKUCHA! Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania...

READ MORE

Matonya awaka kisa, utapeli!

Mkali kitambo kunako muziki wa Bongo Fleva, Seif Shaban ‘Matonya’. Na Mwandishi Wetu MKALI kitambo kunako muziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Mama ambana Diamond uhalali wa Tiffah

Mama wa staa wa muziki Bongo, Sanura Kassim ‘Sandra’. Brighton Masalu SINEMA limeanza! Sanura Kassim ‘Sandra’ ni mama mzazi wa...

READ MORE

Jokate afungukia uzuri wake

Staa mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Jokate Mwegelo. Na Imelda Mtema STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Jokate Mwegelo amefungukia...

READ MORE

Mbunge viti maalum afumaniwa

Na Mwandishi Wetu IMESHANGAZA! Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama kimoja cha siasa chenye nguvu nchini ambaye jina lake linahifadhiwa...

READ MORE