×

Global TV Online

Wananchi Kome Wampokea Shigongo Kwa Shangwe, Aahidi Mshikamano

Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, amepokelewa kwa hamasa kubwa na wakazi wa...

READ MORE

Video: Rostam avunja ukimya kuhusu ununuzi wa mgodi wa Mwadui

Mfanyabiashara mkubwa nchini, Rostam Aziz ameeleza jinsi alivyofanikiwa kununua mgodi wa almasi wa Mwadui uliozusha gumzo siku kadhaa zilizopita kwenye...

READ MORE

Magari 15 Yanaswa kwa Kubeba Namba Moja ‘SSH 2530’ – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata jumla ya magari 15 kwa kosa la kubandika namba za...

READ MORE

Dkt. Samia Aingia Mbeya Kwa Kishindo, Maelfu Wajitokeza Mbalizi (Picha +Video)

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba...

READ MORE

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Golugwa, Ajibu Hoja Nzito Global Radio – Video

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, Septemba 3, 2025 amefanya mahojiano maalum na...

READ MORE

Wananchi Tunduma Wamthibitishia Dkt. Samia Ushindi Mkubwa Oktoba 29 – Video

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Amwomba Mpina Kurejea CCM, Aahidi kumpokea mwenyewe

Mgombea Mwenza wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwomba Luhaga Mpina kurejea kwenye chama chake cha...

READ MORE

CCM Yazindua Kampeni Nyehunge, Eric Shigongo Apokelewa Kwa Shangwe – Video

Leo, mamia ya wananchi pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Buchosa wamefuurika kwa shangwe kubwa...

READ MORE

Mtanzania Adaiwa Kuuawa na Polisi Afrika Kusini, Familia Yalia Uchungu – Video

Wiki iliyopita mitandao ya kijamii ilivuma kwa picha zilizomuonesha Mtanzania, Issa Kwisa, ambaye alikuwa akiishi nchini Afrika Kusini, akidaiwa kuuawa...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Kumsikiliza Mgombea wa CCM Morogoro (Picha +Video)

 Maelfu ya wananchi wamejitokeza kuhudhuria mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Awataka Wanachama Kupuuza Maneno ya Upotoshaji – Video

Dar es Salaam, Agosti 28, 2025 – Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama...

READ MORE

CCM Yazindua Kampeni Kawe, Samia Atangaza Ajenda Mpya – (Video +Picha)

 Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wagombea wote wa nafasi za udiwani na ubunge...

READ MORE

Mwanamke Ahukumiwa Kwa Kula Nauli ya Mwanaume – Video

Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos, Nigeria, imemhukumu mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 (sawa na zaidi...

READ MORE

Mganga Mfawidhi Akimbizwa Hospitali Baada ya Ajali ya Kushtua – Video

Mganga Mfawidhi wa Wilaya ya Arusha, Saidi Salimu, amepata ajali ya gari akiwa na gari yake ndogo aina ya Benz...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kongamano la Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumapili, Agosti 24, 2025, ameshiriki Kongamano la Amani...

READ MORE

Kamanda Muliro Avunja Ukimya Kaulimbiu Za Chadema ‘No Reform No Election’ Na CCM ‘Oktoba Tunatiki’ – Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa Jeshi la Polisi linafuatilia kwa makini kauli...

READ MORE

Shekhe Kandauma: Haramu Itabaki Haramu Hadi Siku ya Kiama – Video

Kupitia kipindi cha Mapito cha Global TV, Shekhe Kandauma ameweka wazi msimamo wa Kiislamu kuhusu mambo yaliyo haramu, akisisitiza kuwa...

READ MORE

Polisi Pwani Wakamata Watu 10 kwa Njama za Uhalifu Kibaha – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu 10 kwa tuhuma za kupanga njama za kufanya uhalifu. Kamanda wa Polisi...

READ MORE

Bahati: Shujaa wa Tabora Anayeandika, Kupika na Kufua kwa Miguu – Video

Wakazi wa Tabora wanaomfahamu Bahati Iddi Nzimano (45) humuelezea kama mfano wa uvumilivu na uthubutu wa kuishi maisha kwa masharti...

READ MORE

Mchambuzi Saleh Jembe Atoa Maoni Kuhusu Mchango wa Yanga kwa CCM – Video

Mchambuzi mashuhuri wa soka Bongo, Saleh Jembe, ametoa maoni yake kuhusu kitendo cha klabu ya Yanga SC, chini ya uongozi...

READ MORE

Rais Samia Atunukiwa Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Nishani ya Heshima...

READ MORE

Watu 25 Wafukiwa na Kifusi Shughuli za Ukarabati Mgodi Shinyanga – Video

Watu 25 wamefukiwa na kifusi katika mgodi mdogo wa dhahabu unaomilikiwa na Kikundi cha Wachapakazi, uliopo Kijiji cha Mwongozo, Kata...

READ MORE

Hatma ya Matangazo Mubashara Kesi ya Tundu Lissu Kujulikana Agosti 18 – Video

Wakili wa utetezi, Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema bado haijajulikana iwapo kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Shauri La Jinai Jamhuri Vs Tundu Lissu, Mahakama Ya Hakimu Mkazi Kisutu – Video

  Dar es Salaam – Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inaendelea...

READ MORE

Harambee ya CCM Yafikia Bilioni 86, Malengo Bilioni 100 Kabla ya Uchaguzi – Video

 Dar es Salaam – Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kukusanya zaidi ya Sh86 bilioni kupitia harambee ya kuchangia maandalizi...

READ MORE

CHADEMA Kukata Rufaa Dhidi ya Uamuzi wa Mahakama Kuu Kuhusu Mashahidi wa Siri Kesi ya Lissu – Video

Dar es Salaam – Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kimepanga...

READ MORE

Mwalimu aapa kuleta mabadiliko baada ya kuchukua fomu ya Urais

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki...

READ MORE

Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Lissu dhidi ya mashahidi wa siri – Video

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumanne Agosti 12, 2025, imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi wa...

READ MORE

Shigongo: Wananchi Wananihitaji, Nitarejea Bungeni – Video

  Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Erick Shigongo, amesema ana matumaini kuwa jina lake litateuliwa kugombea ubunge kupitia Chama...

READ MORE

Saleh Jembe: Simba na Yanga Zimeweka Msingi wa Mafanikio ya Taifa Stars

Mchambuzi mahiri wa soka nchini, Saleh Jembe, amesema kuwa ubora wa klabu kongwe za Simba SC na Yanga SC umechangia...

READ MORE

CCM Kuanza Harambee ya Bilioni 100 Kesho, Rais Samia Kuongoza Uzinduzi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kuwa chama chake kimepanga kukusanya Shilingi...

READ MORE

Polisi Wakamata Milioni 82 na Dola 267 Zilizoporwa Nyumba ya Salasala

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata shilingi milioni 82 za wizi na dola za Marekani 267,...

READ MORE

Mtoto wa Ndugai Ampongeza Rais Samia, Atoa Shukrani Kwa Niaba ya Familia – Video

Mtoto wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai, Yustino Ndugai, ametoa salamu za...

READ MORE

Rais Samia: Hayati Ndugai Alikuwa Mkomavu Kisiasa Na Kiuongozi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Hayati Job Yustino Ndugai alikuwa kiongozi mkomavu...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Hayati Job Ndugai (Picha +Video)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili...

READ MORE

Hotuba Nzito Ya Shigogo Iliyompa Kura Nyingi Mbele Ya Wajumbe “Kipaumbele Ni Kuondoa Umaskini”- Video

Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni za kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo kwa...

READ MORE

INEC Yatangaza Ratiba ya Kuchukua Fomu za Uteuzi kwa Wagombea Urais na Makamu wa Rais 2025

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza ratiba ya kuchukua fomu za uteuzi kwa wagombea wa vyama 14 vya...

READ MORE

Taharuki! Mgombea Udiwani CCM Apotea Mara, Gari Lake Laokotwa Nzega – Video

Hali ya sintofahamu imeibuka baada ya mgombea wa udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara kuripotiwa kupotea ghafla, huku...

READ MORE

Dkt. Tulia: Mwili wa Ndugai Kuuagwa Viwanja vya Bunge Kabla ya Maziko Kongwa

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ametangaza kuwa shughuli ya kumuaga Hayati Job Ndugai itafanyika siku ya Jumapili katika viwanja...

READ MORE

Kesi ya CHADEMA Kusikilizwa Agosti 18, Mahakama Kutoa Uamuzi wa Zuio

Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la...

READ MORE