×

Global TV Online

Wanafunzi 937,581 Wafaulu Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2025, Matokeo Yapo HAPA – Video

Dar es Salaam, Novemba 5, 2025 — Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Prof. Said A. Mohamed,...

READ MORE

Video: Msikilize Wakili Kibatala Akifanua Mashtaka yanayomkabili Niffer

Mfanyabiashara na mtangazaji wa mitandaoni, Jenifer Bilikwiza Jovin maarufu Niffer, amepewa mashtaka ya uhaini na kusomewa mahakamani, hatua inayohusiana na...

READ MORE

Sheikh Alhadi Musa Atoa Ujumbe Mzito Kwenye Mazishi ya Sheikh Sharif Majini – Video

Msomaji maarufu wa dua na mihadhara ya kiislamu, Sheikh Alhadi Musa, ametoa ujumbe wa kutafakari na maonyo kwa waumini wakati...

READ MORE

Video: Mtoto wa Kajala afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ndoa na Marioo

Mtoto wa staa maarufu wa filamu nchini Tanzania, Kajala Masanja, na mtayarishaji nguli wa muziki P Funk Majani, Paulah Kajala...

READ MORE

Uchaguzi Mkuu 2025: Polisi Watoa Onyo Kali ‘Atakayethubutu Kuvunja Sheria Asitulaumu’

Jeshi la Polisi nchini limetoa tamko rasmi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ambapo wananchi wamehakikishiwa usalama na kwamba hakuna tishio lolote...

READ MORE

Dkt. Mwinyi: Nitaendelea Kuimarisha Udhamini Na Miundombinu Ya Michezo

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...

READ MORE

Mwanachama wa CHADEMA, Lulu Mapunda, Aitaka Jamii Kuheshimu Taratibu za Uchaguzi – Video

Mwigizaji wa filamu, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mwanaharakati, Lulu Mapunda, ambaye awali alikuwa akihamasisha maandamano...

READ MORE

Yanga Yamtangaza Pedro Gonçalves Kuwa Kocha Mkuu Mpya – Video

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kumteua Pedro Gonçalves, raia wa Ureno, kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo, akichukua nafasi...

READ MORE

Juma Nature Aeleza Sababu ya Kumpa Kipaumbele P. Funk – Video

Mkongwe wa Muziki nchini, Juma Nature ameeleza kuwa Maproducer wa Muziki P. Funk pamoja na Master Jay wote walimsaidia katika...

READ MORE

Video: Eric Shigongo awahimiza vijana kuanzisha vyanzo vingi vya mapato

MWANZA — Zaidi ya wanafunzi 1,500 kutoka vyuo vikuu mbalimbali jijini Mwanza wamehudhuria kongamano maalum la vijana lililoandaliwa na Mwandishi...

READ MORE

Dkt. Samia Atoa Wito kwa Vijana Kuijenga Tanzania “Nchi Hii Ni Mali Yenu, Si ya Mwingine” – Video

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahimiza vijana wa...

READ MORE

Amani Golugwa: Tumeuliza Polisi na Uhamiaji, Heche Hajaonekana Tarime – Video

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema hadi sasa chama hicho hakijapata taarifa...

READ MORE

Siri ya Mafanikio ya Luxembourg Nchi Ndogo Yenye Uchumi Mkubwa Ulaya – Video

Luxembourg ni moja kati ya nchi tajiri zaidi duniani, ikiwa na kiwango cha juu cha maisha kwa wananchi wake. Hali...

READ MORE

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche Asafirishwa Kuelekea Tarime Baada ya Kukamatwa

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo Jumatano,...

READ MORE

Rais Samia: Vyombo vya Ulinzi Vimejipanga Kuhakikisha Amani Wakati wa Uchaguzi – Video

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa vyombo...

READ MORE

Mahakama Kuu Yakataa Ushahidi wa Flash Disk na Memory Card Kesi ya Tundu Lissu

Dar es Salaam, Oktoba 22, 2025 – Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imekubaliana na pingamizi la Mwenyekiti...

READ MORE

RC Chalamila Amkabidhi Hati ya Nyumba Mjane wa Marehemu Rugaibula, Atoa Pia Milioni 10 – Video

Dar es Salaam, Oktoba 20, 2025 — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi rasmi hati ya...

READ MORE

Yanga Yamtimua Kocha Romain Folz Baada ya Kichapo Malawi – Video

Klabu ya Young Africans Sc imetangaza kuvunja mkataba wa Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Romain Folz ikiwa masaa kadhaa...

READ MORE

Padre Aliyepotea Apatikana Akiwa Hai Mkoani Ruvuma – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limethibitisha kumpata Padre Camillus Nikata, wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea ambaye pia ni...

READ MORE

Jeshi la Polisi lafafanua madai ya Godbless Lema kuhusu usalama wake – Video

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa kauli kufuatia taarifa zilizotolewa na mwanasiasa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Atoa Heshima za Mwisho kwa Raila Odinga Jijini Nairobi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa heshima za mwisho kwa mwili wa Waziri...

READ MORE

Watu Wanne Wakamatwa Dar kwa Kumiliki Vyombo vya Habari Bila Leseni – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watu wanne kwa tuhuma za kumiliki na kuendesha vyombo...

READ MORE

Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere: Safari Kutoka Magomeni Hadi Uhuru wa Tanganyika – Video

Oktoba 14, 2025 — ni kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyeaga dunia Oktoba...

READ MORE

Aggybaby Apokea Tuzo Kubwa Nigeria, Apongezwa na Bodi ya Filamu Tanzania

Msanii wa muziki na maigizo, Agness Suleiman Kahamba, maarufu kama Aggybaby, ameshinda Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike wa Mwaka...

READ MORE

Kanisa Katoliki Wakanusha Waraka wa Uchaguzi “Ni FAKE!” – Video

Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limekanusha vikali taarifa inayosambaa mitandaoni ikidai kuwa ni tamko rasmi la baraza...

READ MORE

Farid Musa Asifiwa kwa Utu na Unyenyekevu Nje Soka, Ajenga Msikiti – Video

Jirani wa karibu na Msikiti Masjid Aisha, uliopo karibu na eneo la mchezaji wa Yanga SC, Farid Musa Malik, amemuelezea...

READ MORE

Sheikh Mkuu: Hatutumiwi na Serikali, Tunahubiri Uzalendo na Amani – Video

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, amesema Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) litaendelea kusimamia maslahi mapana...

READ MORE

Ezekia Wenje Ahama CHADEMA, Ajiunga CCM Chato – Video

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Ziwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa zamani wa Jimbo la...

READ MORE

Mashabiki Wapagawa Na Ngoma Mpya Ya Diamond Platnumz – Video

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, ameibua shamrashamra kubwa...

READ MORE

Manka Chuga Azua Gumzo Mitandaoni Kwa Kunywa Vinywaji Vikali Kwa Wakati Mmoja, Afunguka Mazito – Video

Mwanadada Getruda Fedrick, anayejulikana zaidi kwa jina la Manka Chuga, amevutia hisia mitandaoni kutokana na aina yake ya kunywa vinywaji...

READ MORE

Polisi Arusha Washikilia Watu 5 Kufuatia Mauaji ya Askari Omary Mnandi – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi, Omary Mnandi (30), ambaye...

READ MORE

Familia Yalia Baada ya Kutupiwa Vyombo Nje Nyumba Yao Jijini Dodoma – Video

Mwanadada Josephine Mosha, amesimulia kisa cha kuhuzunisha cha jinsi familia yao ilivyotupiwa vyombo nje kwenye nyumba waliyokuwa wakiishi, kisa kikiwa...

READ MORE

Video: Polisi Wafunguka Tukio la Kutoweka kwa Padri wa Jimbo Kuu la Songea

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea na uchunguzi wa tukio la kupotea kwa Padre Camillus Nikata, wa Jimbo Kuu...

READ MORE

Video: Baba Alalamika Baada ya Mtoto Wake Kudaiwa Kubakwa Bagamoyo

Baba mmoja aitwaye Revocutus Dions, mkazi wa Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, amefika katika ofisi za Global TV akilalamika...

READ MORE

Askofu Dallu Atangaza Kutoweka kwa Padri Camillus Nikata, Waomba Msaada wa Polisi – Video

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, Damian Dallu, ametangaza kutoweka kwa Padri Camillus Nikata, ambaye ni Mhadhiri...

READ MORE

Kikwete: Sijafa Mimi Mzima Sina Ninapougua, Wanaoniobea Mabaya Watatangulia Wao – Video

Bagamoyo, Oktoba 10, 2025 — Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema kuwa yeye ni mzima na afadhali afya...

READ MORE

Dkt. Samia Ahimiza Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mugumu Serengeti Kuendeleza Utalii – Video

Mara/Simiyu, Oktoba 10, 2025 — Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia...

READ MORE

Dkt. Samia: Serikali ya CCM Itaendelea Kuboresha Huduma za Maji, Elimu na Afya

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali...

READ MORE

Makonda Apongeza Dkt. Samia, Awataka Wananchi Wafuate Misingi ya Amani – Video

Paul Makonda, mgombea ubunge wa Arusha Mjini na aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM Taifa, ameitaka jamii ya Watanzania kuendelea kushirikiana...

READ MORE

Video: Shigongo Aomba Barabara na Umeme Buchosa kwa Rais Samia

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amemuomba Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwakumbuka wananchi wa Wilaya ya Sengerema,...

READ MORE