×

Global TV Online

Ni PSG au Real? Bashiri GG&3+, Ushinde Bonasi ya Hadi TZS 60,000!

Nusu fainali kali kabisa kupigwa leo katika dimba la MetLife kati ya PSG vs Real Madrid. Fursa ipo mikononi mwako...

READ MORE

Mwigulu Amvunja Mbavu Waziri Mkuu Majaliwa “Tunakuombea” – Video

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kumuombea heri Waziri Mkuu...

READ MORE

Mbosso Abaki Mdomo Wazi Kisa Bonge la Dada!

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mbosso Khan, amefunguka na kueleza kuwa haingilii kabisa kazi za mwanadada Queen maarufu...

READ MORE

Babalevo Amvaa Zitto Kabwe: “Kauli Yako Inadhalilisha Vipaji vya Wasanii” – Video

Msanii na mtangazaji maarufu, Babalevo, amejibu kauli iliyotolewa hivi karibuni na mwanasiasa mashuhuri Zitto Kabwe, ambaye alidai kuwa wachekeshaji hawapaswi...

READ MORE

Mtoto wa Mzee Samatta Azungumzia Chanzo cha Kifo cha Baba Yao – Video

Rajab Ally Samatta, mtoto wa kwanza wa marehemu Mzee Ally Samatta, ambaye ni baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe Ya Miaka 50 Ya Uhuru Wa Umoja Wa Visiwa Vya Comoro – Picha + Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Madhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya...

READ MORE

Rais Samia Aombewa Sala Maalum na Mwamposa Baada ya Kufungua Kanisa la Arise and Shine – (Picha +Video)

Kawe, Dar es Salaam – Julai 5, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameombewa...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine, Kawe (Picha +Video)

 Viongozi mbalimbali wa dini na serikali wameungana kushiriki katika hafla ya uzinduzi wa Kanisa jipya la Arise and Shine...

READ MORE

Shigongo: Umoja Ndio Njia Pekee ya Kuinua Buchosa

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuungana, kushikamana na kushirikiana kwa lengo la kuharakisha maendeleo, huku...

READ MORE

CCM Yatangaza Idadi ya Wagombea Ubunge, Zaidi ya 4,000 Wajitokeza – Video

Dar es Salaam, Julai 3, 2025 – Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama...

READ MORE

Makalla: Rais Samia Aagiza Uteuzi wa CCM Ufanyike kwa Haki – Video

Dar es Salaam, Julai 3, 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

CCM Yamsifu Majaliwa Kwa Uamuzi Wake Wa Kutogombea Ubunge – Video

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama kinampongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...

READ MORE

Boti ya Uokozi Yawashtua Mwanza! Wananchi Waipokea kwa Shangwe – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendeleza juhudi za kuboresha usalama wa usafiri wa majini...

READ MORE

Rais Dkt Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 28...

READ MORE

Bonge la Dada Aachana na Mpenzi Wake “Nilimwacha Mimi!” – Video

Mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Queen Fraison almaarufu kama Bonge la Dada, kwa sasa yuko kwenye moto wa kuotea...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 27 Juni 2025, amewasili katika Viwanja vya Bunge...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Na Kuhitimisha Bunge La 12 La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema miongoni mwa sababu za kuongezeka kwa deni la serikali ni kutokana na fedha...

READ MORE

Msukuma Awavunja Mbavu Wabunge “Mniombee Nirudi Tena Bungeni!” – Video

NBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu kama Msukuma, awavunja mbavu wabunge baada ya kuomba wamuombee ili arudi tena bungeni....

READ MORE

Majaliwa Atangaza Kugombea Tena Ubunge Ruangwa 2025, Atoa Hotuba Ya Mwisho Bungeni – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Ruangwa mkoani Lindi, Kassim Majaliwa Majaliwa, amewashukuru wananchi wa…

READ MORE

Askari wa Jeshi la Magereza Kizimbani kwa Kosa la Kumlawiti – Video

Askari wa Jeshi la Magereza amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, akikabiliwa na kesi ya kumlawiti...

READ MORE

Bajeti ya Trilioni 56 Yapitishwa Bungeni Bila Kupinga! – Video

Dodoma, Juni 24, 2025 – Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Onyo Kabla ya Mechi ya Watani wa Jadi – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwa limechukua hatua kali za kiusalama kuelekea mchezo mkubwa wa...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lafafanua Ukamatwaji wa Wachokonozi – Video

Jeshi la Polisi limesema linawashikilia Vijana wawili wanaojulikana kwa jina la Wachokonozi ambao ni Joseph Mrindoko (37) na Jackson Kabalo...

READ MORE

Mke Mkubwa Awanywesha Sumu Watoto 4 Na Kuwaua Na Yeye Kujiua Kisa Mke Mdogo Anajaliwa Sana – Video

Kijana Eliya Shilinde, mkazi wa Chanika Dampo jijini Dar es Salaam, ameendelea kuwaomba Watanzania waendelee kumchangia ili apate matibabu ya...

READ MORE

Rais Samia Afungua Rasmi Daraja la JP Magufuli Kigongo–Busisi (Video +Picha)

Mwanza, Juni 19, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 19, 2025...

READ MORE

Kauli ya Rais Trump Kuhusu Anga la Iran Yazua Taharuki ya Kimataifa – Video

Washington D.C. – Dunia imeingiwa na wasiwasi mkubwa kufuatia kauli ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald J. Trump, aliyodai kuwa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aweka Jiwe La Msingi Kwa Niaba Ya Shule Zote 103 Za Sekondari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Juni 18, 2025 ameweka jiwe la msingi katika ujenzi...

READ MORE

Baba Atoa Kauli Nzito Kifo cha Wanandoa, Kuzikwa leo Wilaya ya Mwanga – Video

Evagli Ally, Baba mkubwa wa marehemu Antony Ngaboli aliyeuawa kikatili akiwa na mkewe, amezungumza na Global TV na kueleza kuwa...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Mkutano Wa Hadhara Wilaya Ya Meatu Mkoa Simiyu (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilya ya Meatu Mkoa wa...

READ MORE

Kesi ya Uhaini Yazidi Kupamba Moto, Lissu Asema Ananyimwa Haki Gerezani – Video

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Franco Kiswaga, ametoa uamuzi mdogo katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa...

READ MORE

Rais Samia: Wasichana Wasome Sayansi kwa Ajili ya Maendeleo ya Taifa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ujenzi wa shule maalum za wasichana kwa...

READ MORE

Mahakama Yaruhusu Lissu Kujitetea Kesi ya Uhaini – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali maombi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kujitetea mwenyewe katika kesi ya uhaini inayomkabili....

READ MORE

Samia Afungua Kiwanda Kitakachoinufaisha Wakulima wa Pamba – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16, 2025, amefungua rasmi kiwanda cha kutengeneza...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Amuapisha Jaji Mkuu Wa Mahakama Ya Tanzania – (Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akimuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Ikulu Chamwino-Dodoma, leo tarehe 15 Juni,...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Barabara Ya Mzunguko Dodoma (Km 112.3) Na Kuzungumza Na Wananchi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza...

READ MORE

Mazishi ya Wanandoa wa Bonyokwa Kufanyika Juni 18 Kilimanjaro, Watahifadhiwa Pamoja – Video

Nuhu Msangi, msemaji wa familia ya wanandoa waliokutwa wamefariki dunia ndani ya chumba chao usiku wa kuamkia Juni 12, 2025,...

READ MORE

Nape Nauye: Lady Jaydee Ameuheshimisha Muziki wa Tanzania – Video

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amempongeza msanii mkongwe Lady Jaydee kwa mchango wake mkubwa katika kukuza na kuiheshimisha sanaa ya...

READ MORE

Oscar Oscar Aeleza Safari ya Mafanikio ya Lady Jaydee Katika Muziki – Video

Mwanahabari Oscar Oscar, ameeleza kuwa Msanii Lady Jaydee ameishi katika maisha ya Muziki yaliyopitiliza na ameweza kukaa katika ‘trending’ Kwa...

READ MORE

Jirani wa Marehemu Hazara ‘Ronaldo’ Alilia kwa Uchungu “Alikuwa Mtu wa Watu” – Video

Jirani wa marehemu Hazara almaarufu Ronaldo aliyekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake siku kadhaa zilizopita, amefanya mahojiano na Global...

READ MORE

Msaidizi Wa DC Arusha Apigwa Jiwe Akiwatuliza Wananchi Wasifunge Barabara – Video

Tukio lisilo la kawaida limetokea jijini Arusha na kusababisha taharuki baada ya mtu ambaye bado hajafahamika, kumshambulia kichwani kwa jiwe...

READ MORE