×

Global TV Online

Mfanyabiashara Dar Ajinyonga, Mwili Wakutwa Kesho Yake – Video

Mmoja wa ndugu wa marehemu mfanyabiashara wa nguo, Almachus Longinus Tibishibwamu, amefunguka na kuelezea kuhusu kifo cha ndugu yao anayedaiwa...

READ MORE

Rais Samia Azindua Sera Ya Taifa Ya Maji Toleo La Mwaka 2025 (Picha +Video)

  Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Sera mpya ya Maji ya Mwaka 2002, toleo la 2025, ikiwa ni sehemu...

READ MORE

Baba: Nikitembea Jicho Linataka Kuanguka, Naomba Msaada – Video

Hujafa hujaumbika! Said Ismail (42), mkazi wa Mbagala Kilungule alikuwa mzima kama walivyo watu wengine lakini kwa sasa, hali yake...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Amuonya Chalamila “Usifanye Maamuzi Ya Barabara Za Mwendokasi Bila Kibali” – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa, ametoa agizo kwa...

READ MORE

Video: Waziri Ulega Awasimamisha Kazi Watumishi Wa Mizani Baada ya Mama Huyu Kukinukisha

Hapo jana, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, alimuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Balozi Aisha Amour, kuwasimamisha kazi...

READ MORE

Saleh Jembe Awatolea Uvivu Yanga, Ashangaa Kwenda CAS – Video

Mchambuzi wa soka nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa klabu ya Yanga SC wanapaswa kufuata utaratibu maalum katika uwasilishwaji wa malalamiko...

READ MORE

Mama Aangua Kilio Hadharani, Nyumba Yake Yauzwa Kwa Mnada Kulipa Deni Alilokopa La Milioni 30 Benki – Video

Mwanamama Asha Ramadhan, Mkazi wa Kimara Golan jijini Dar es Salaam, amemlilia Rais Samia Suluhu Hassan amsaidie kufuatia nyumba aliyokuwa...

READ MORE

Dotto Magari: Rais Samia Ameniheshimisha, Amchana Haji Manara – Video

Moja ya watu mashuhuri nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Dotto Magari, ambaye amejizolea umaarufu mkubwa mitandaoni kwa umahiri wake wa...

READ MORE

Video: Rungwe Wamchongea Mo Dewji Kwa Mzee Wasira – “Huyu Mohammed Ni Nani?”

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira amemshukia mmiliki wa Kampuni ya Mohamed Enterprises, Mohamed Dewji almaarufu Mo...

READ MORE

Mchungaji Mashimo Ahukumiwa Miaka Miwili Jela kwa kuharibu mali – Video

MAHAKAMA ya Wilaya Kinondoni, Dar es Salaam, imemhukumu mchungaji Daud Nkuba almaarufu Komando Mashimo, Nabii Nikaya, (Mchungaji Mashimo) kifungo cha...

READ MORE

Mwili Wa Ocd Awadh Wawasili Nyumbani Kwake, Viongozi Mbalimbali Wafika Msibani – Video

Hali ilivyo nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika, SP Awadh Mohamed Chiko Kijitonyama jijini Dar es...

READ MORE

Mwandishi wa Global TV Ampiga Swali Gumu Msigwa, Sikiliza majibu! – Video

Mwandishi wa habari na mtangazaji Joel Thomas wa Global TV, amepata nafasi ya kumuuliza maswali Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson...

READ MORE

Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Auawa Kikatili Mkoa wa Kilimanjaro

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja (26), mkazi wa kijiji cha Kirwa, Wilaya ya Rombo, kwa tuhuma...

READ MORE

Bandari ya Kwala: Suluhisho la Msongamano wa Bandari ya Dar – Video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali imejenga...

READ MORE

Hussna Afichua Mazito Aliyokutana Nayo Oman Alipoishi Miaka 2, Afika Na Wadada Wengine 6 Airport – Video

Watanzania 7 waliokuwa wakifanya kazi za ndani nchini Oman wamerejea nchini ambapo @zali_mapito aliwapokea na kuzungumza nao kuhusu maisha waliyopitia...

READ MORE

Rais Mwinyi: Mashindano Ya Quran Ni Ishara Ya Uhuru Wa Kuabudu – Video

Aidha, ameipongeza Taasisi ya Al-Hikma Foundation na wadhamini wake, wakiwemo Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ Bank), kwa kufanikisha mashindano...

READ MORE

Kijana wa Rais Putin Aibuka Mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Qurani ya Mabara – Video

  Kijana kutoka Urusi, Aiemiddin Farkhudinov mwenye umri wa miaka 23 amekuwa mshindi wa kwanza wa Mashindano ya 25 ya...

READ MORE

Mapya! Shamsa Ford Amlipua Nicole ‘Awalipe Watu Pesa Zao’ – Video

 Mwanadada mrembo kwenye tasnia ya uigizaji na mfanyabiasha wa nguo za kike, Shamsa Ford amefunguka na kueleza kuwa wakati...

READ MORE

#Exclusive: Tazama Nyumbani Anapoishi Esther Barua Aliyepishwa Na Rais Samia Kukalia Kiti – Video

Ester Barua ni Binti anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Magila wilayani Muheza mkoani Tanga, shule ambayo ni...

READ MORE

Amina Vikoba: Mume Wangu Alikuwa Mpenzi Wangu Utotoni – Video

Mwigizaji na dada wa msanii maarufu wa singeli, Amina Vikoba, amefanya mahojiano na Zari Mapito wa Global TV, ambapo amezungumzia...

READ MORE

Rais Samia Amuonya Waziri Mchengerwa Kusimamia Mapato ya Serikali – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa...

READ MORE

Aliyejifanya Luteni Wa Jeshi Simiyu Apandishwa Kizimbani – Video

Nchambi Nsungwa Mapanda kwa jina maarufu Emanuel Gangala (24) mkazi wa mtaa wa sima katika halimshauri ya mji wa Bariadi...

READ MORE

Mama Wa Watoto Waliopotea Wakakutwa Mochwari Azungumza Ilivyokuwa – Video

Huzuni kubwa imetanda katika familia ya Hassan, mkazi wa Temeke, baada ya watoto wake wawili kupoteza maisha katika ajali mbaya...

READ MORE

CPA Makalla: Lissu na Wenzake Hawana Mamlaka ya Kuzuia Uchaguzi

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapunduzi (CCM),CPA Amos Makala amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama...

READ MORE

Viongozi Wa Chadema Wazungumza Na Jukwaa La Wahariri – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, amezidi kutilia mkazo juu ya mfumo wa ugawaji wa...

READ MORE

Makamu Mwenyekiti Chadema John Heche Awa Mbogo Kisa ‘Tone Tone’ – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema mpango wa ToneTone uliozinduliwa na chama hicho jana usiku...

READ MORE

Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi La Ujenzi Wa LPG Terminal GBP Gas-Tanga (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Atembelea Bandari Ya Tanga Na Kuzungumza Na Wafanyakazi Wa Bandari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kusimamia maboresho makubwa katika sekta ya uchukuzi, hususan...

READ MORE

Chadema Wazindua Mkakati Maalum Wa Kidigital Tone Tone Jijini Dar (Picha +Video)

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu amewaomba watanzania kukiunga mkono chama hicho kwa kukichangia kupitia mkakati wa...

READ MORE

Rais Samia Asimama Na Kumpisha Kwenye Kiti Mtoto Wa Form 2, Amkumbatia Baada Ya Kukoshwa Na Maneno – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi mbalimbali...

READ MORE

Harmonize Kashindikana, Azua Balaa Kwenye Jukwaa La Trace, Aamsha Waliolala – Video

Balaa la Msanii Harmonize katika usiku wa tuzo za Trace Awards 2025 zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Februari 27, 2025...

READ MORE

Rais Samia Azindua ugawaji wa Boti kubwa za kisasa 120 pamoja na boti saidizi 118

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amegawa boti (Awamu ya pili) kubwa 35 za kisasa na vifaa vyake...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Afungua Jengo La Halmashauri Ya Mji Wa Handeni (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Jengo la Halmashauri ya Mji wa Handeni na...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Afungua Shule Ya Sekondari Ya Wasichana Tanga – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 25 Februari, 2025 amefungua Shule ya...

READ MORE

Rais Samia Amsaida Carina Kwenda India Kutibiwa, Atokwa Machozi – Video

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Hawa Hussein Ibrahim, maarufu kama Carina, ameondoka leo kuelekea India kwa ajili ya matibabu baada...

READ MORE

Waziri Kikwete Azindua Miradi ya Bil 1.6 Wilayani Songwe – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi , Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amezindua miradi ya Elimu, Umeme...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ashiriki Hafla Ya Utoaji Tuzo Za Wasanii Wa Komedi, Washindi Wapo Hapa (Picha +Video)

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Jumamosi Februari 22, 2025 amesema Serikali itaendelea kuwashika mkono wasanii...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Maadhimisho Ya Miaka 10 Ya Programu Ya Mwanamke Kiongozi -(Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia SULUHU hassan Akishiriki Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke...

READ MORE

Jimmy Mafufu Ahama Chadema, Amchacha Lissu, Roma Na Nay – Video

Msanii wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Akitangaza...

READ MORE

Mtoto ‘Genius’ Darasa La 7 Aliyewakosha Hadi Mawaziri, Atamani Kuwa Waziri Wa Nishati – Video

Sikiliza nondo za mtoto Mirabel Msikari aliyetrend mitandaoni kwa kuonesha uwezo mkubwa wa kuelezea kwa ufasaha hali ya upatikanaji wa...

READ MORE