×

Habari

Uwazi Latinga Mabwepande, Wasomaji Walichangamkia

Ofisa Usambazaji wa Global, Jimmy Haroub (kulia) akimuuzia gazeti la Uwazi, Ally Mafita mkazi wa Mabwepande. Cleophace Mgeta (katikati) mkazi...

READ MORE

Picha za Utupu za Mke wa Trump Zavuja

IMEVUJAA hatimaye picha za uchi za mke wa mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump...

READ MORE

Mwangosi Alivyokabidhiwa Nyumba Yake Salasala, Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo James (kushoto) akisoma mkataba wa makabidhiano ya nyumba aliyojishindia Nelly Mwangosi (wa...

READ MORE

Undani afisa wa serikali kuchinjwa kikatili!

Evangeline Samson enzi za uhai wake. Na Leonard Msigwa, UWAZI Manyara:  Afisa Uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...

READ MORE

Marehemu Josehph Senga Azikwa Kijijini Kwao Shushi, Kwimba, Mwanza

Waombolezaji wakilishusha jeneza lenye mwili wa marehemu Joseph Senga, aliyekuwa mpiga picha mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, wakati wa...

READ MORE

Michuano ya Airtel Rising Stars yaanza kutimua vumbi

Mkurungenzi Mtendaji Airtel Sunil Colaso na Rais wa TFF Jamal Malinzi wakikagua timu wakati wa ufunguzi wa michuao ya Airtel...

READ MORE

Mtoto afia kisimani!

Richard Bukos na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Majonzi yametanda kwa familia ya  mtoto Gerald (2) ambaye amekutwa amekufa...

READ MORE

Bilionea Sabodo Aahidi Kutoa Trilioni 10 Kumuunga Mkono JPM, Dodoma

Mustapha Jaffer Sabodo. MFANYABIASHARA maarufu, Mustapha Jaffer Sabodo ametangaza kutoa dola za Marekani bilioni 5 (Sh trilioni 10) kwa ajili...

READ MORE

Brigedia Jenerali atoa dawa ya madiwani wakata miti hovyo!

Na Mwandishi  Wetu Baada ya kupata kero ya wananchi kuhusu tabia ya baadhi ya madiwani na watumishi wa umma pamoja...

READ MORE

Wafanyabiashara wawili wauawa, wachomwa moto gesti, maiti zakutwa chooni

Watu wawili wamekutwa wamefariki katika nyumba ya wageni ya Kings Rest House iliyopo Mtaa wa Bumila, Gongo la Mboto jijini...

READ MORE

Mtoto Aliyeteswa, Apata Hifadhi Serikalini

Mtoto Miriam akionesha majeraha. Na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Ofisi ya Ustawi wa Jamii Wilaya ya Kinondoni, imemhifadhi...

READ MORE

Maajabu: Ndege mbili zagongana uwanja wa ndege, watu 583 wafariki

Na HASHIM AZIZ Hebu vuta picha, ndege mbili kubwa, Boeing 747, zinagongana wakati zikijiandaa kupaa uwanja wa ndege na kusababisha...

READ MORE

Dereva Aliyesababisha Ajali ya Basi la City Boy, Ajisalimisha Polisi

MMOJA wa madereva waliosababisha ajali ya mabasi ya Kampuni ya City Boy iliyotokea Julai 4, mwaka huu na kutoroka, Boniface...

READ MORE

IGP Mangu wanaokuchafua ni hawa

NA ERIC SHIGONGO Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai leo, hakika anastahili kuabudiwa leo na siku zote. Makala haya...

READ MORE

Bila bilioni 100 watanzania waliowekwa bond Ughaibuni hawaachiwi

WAANDISHI WETU, Amani DAR ES SALAAM: Mtanzania Adam Akida, mkazi wa Magomeni-Mapipa anayedaiwa kuwekwa rehani (bond) nchini Pakistan na Wabongo...

READ MORE

Helkopta ya Urusi Yatunguliwa na Kuua 5 Syria

Helkopta ya kijeshi ya Urusi aina ya Mi-8 ikiteketea baada ya kutunguliwa. Wananchi wakishuhudia mabaki ya helkopta hiyo ya kijeshi. Helkopta...

READ MORE

Serikali yatoa Tamko Ugonjwa wa Sumu Kuvu ulioua 14 Dodoma

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisoma taarifa yake kwa wanahabari. Mkurugenzi Mkuu wa...

READ MORE

Airtel Money yaingia ubia na NMB kuongeza ufanisi kwa wakala wake

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colasso akiongea wakati wa kutambulisha kuhusu Money airtel kuingia ushirikiano na NMB banki ili...

READ MORE

James Lembeli azungumzia hatima yake ya kurudi CCM

MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kahama, James Lembeli, ameibukia katika mkutano wa Rais, Dk. John Magufuli, huku akimwomba kiongozi...

READ MORE

Ukuta; Jaribio no 1 kwa Mwigulu

STORI: ELVAN STAMBULI, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Baadhi ya wananchi wameliambia Wikienda kuwa, jaribio namba moja la Waziri wa Mambo...

READ MORE

Lowassa: Hakuna mwenye hati miliki ya nchi

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowasa amemtaka Rais John Magufuli kuwa na utamaduni wa...

READ MORE

JPM Akoshwa na Dc wa Igunga John Mwaipopo

 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe John Mwaipopo akielezea changamoto za Stendi ya...

READ MORE

Ulinzi Mkali Mbowe Akihojiwa na Polisi, Lowassa Azuiliwa Getini

Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe leo  amewasili...

READ MORE

Mwili wa Joseph Senga Waagwa Dar

Waziri Mkuu mstaafu ambaye pia alikuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa akiaga mwili wa Joseph...

READ MORE

Dangote Ashuka Matajiri Bora 100 Duniani

Tajiri namba moja barani Afrika Aliko Dangote. Na Leonard Msigwa Tajiri namba moja barani Afrika Aliko Dangote, sasa anashika nafasi...

READ MORE

Mtuhumiwa Ujambazi Mwanza Auawa Akijaribu Kutoroka

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi. MTUHUMIWA wa ujambazi Msafiri Suleiman maarufu kama Juma Msukuma ameuawa wakati...

READ MORE

Gwiji wa Filamu Anayesujudiwa India

Rajinikanth. WATU wengi walio nje ya nchi ya India hawamjui Rajinikanth, mwanamme shupavu mwenye umri wa miaka 65, ambaye pia...

READ MORE

Mwili wa Mwanahabari Joseph Senga Wawasili Dar, Kuagwa Kesho

Joseph Senga enzi za uhai wake. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, (watatu kushoto), mbunge wa Nsumve...

READ MORE

Ndege asafiri kutoka Finland hadi Uganda

  Kampala, Uganda NDEGE mmoja ambaye inaaminika alitoka nchini Finland amepatikana katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda. Ndege...

READ MORE

Programu ya Kampeni za Hillary Clinton Yadukuliwa

Maafisa wa upelelezi nchini Marekani wamesema kuwa programu ya komputa inayotumiwa na jopo linalosimamia kampeni ya Bi Hillary Clinton imedukuliwa....

READ MORE

Wakazi zaidi ya 100 watimuliwa kwa nguvu nyumba za CDA

WAKAZI zaidi ya 100 leo wameondolewa kwa nguvu katika nyumba zinazomilikiwa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) baada...

READ MORE

Mwanafunzi Mtanzania ashinda shindano la Umoja wa Mataifa

   Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Bw. Mogens Lykketoft akiwazungumza washindi 60 wa Insha kuhusu Lugha Nyingi,...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aitwa Polisi Dar

UJUMBE ALIOANDIKA MBOWE KWENYE UKURASA WAKE WA TWITTER Jana usiku nilipata wito nikitakiwa kwenda Polisi Kanda Maalum Ya Dar es...

READ MORE

Australia: Bawa lililookotwa Pemba ni la Ndege ya Malaysia

SERIKALI ya Australia jana Ijumaa, Julai 29, ilitoa tamko kupitia Wizara ya Miundombinu na Usafirishaji ya nchi hiyo kuwa, kuna...

READ MORE

Zuio la Mikutano ya Kisiasa… Zitto Kabwe leo Amepingana na Rais Magufuli

Maelekezo ya Kiongozi wa Chama (KC) kwa wanachama wote wa ACT Wazalendo ( KC/01/2016 ). Tangu kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Trafiki wakusanya Tsh. Milioni 320 kwa siku nne, Dar

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dar es Salaam limekusanya shilingi milioni 320.2 ambapo fedha hizo ni...

READ MORE

Anayedaiwa baunsa Yamoto Band asakwa kwa mauaji ya mchumba’ke!

Kassim Said ‘Baunsa Rambo’ na marehemu. Stori: Dustan Shekidele, Risasi Jumamosi MOROGORO: Kijana aliyefahamika kwa jina la Kassim Said ‘Baunsa...

READ MORE

Audio Magufuli: Nitayapiga mnada majengo ya wizara yaliyopo Dar

Rais John Magufuli akiwahutubia wakazi wa Manyoni, Singida. WAKATI suala la serikali kuhamia mkoani Dodoma likiwa dhahiri zaidi kila siku...

READ MORE

Waziri Mkuu amjulia hali Spika wa Bunge, Job Ndugai

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es...

READ MORE