×

Habari

Bodaboda Wakaidi Agizo la RC Makonda

LICHA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwataka waendesha bodaboda na abiria wake kutii sheria ya...

READ MORE

Jiji la Dar Linavyong’aa

Mapambo ya uzio yenye rangi ya bendera ya Tanzania yakiwa na minyororo, yameonekana kuwa kivutio katika sehemu mbalimbali ndani ya...

READ MORE

LHRC Yampokea Mwanaharakati Geline Fuko Aliyetajwa na Obama

Geline Fuko (kushoto) akipokea maua kutoka kwa wafanyakazi wenzake wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),ikiwa ni ishara ya...

READ MORE

Rwanda na Burundi Bifu Tena!

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza. UHUSIANO baina ya Burundi na Rwanda umeingia tena shubiri baada ya serrikali ya Burundi kuyazuia...

READ MORE

Mtoto wa Obama Aondoka Ikulu, Aamua Kuwa Mhudumu wa Mgahawa

Sasha Obama akihudumia mgahawani. Marekani IKIWA imebaki miezi miwili tu ili utawala wa Rais wa Marekani Barack Obama ufikie ukomo,...

READ MORE

Video: Jamaa Atoka Singida Hadi Dar kwa Miguu na Ujumbe kwa JPM

Mohammed Nasoro akihojiwa na Global TV Online baada ya kuwasili Dar akitokea Singida kwa miguu. STORI: Kelvin Shayo , Risasi...

READ MORE

A-Z Mauaji Denti Chuo Kikuu Dodoma

Fredrick Joseph Kisaina enzi za uhai wake. Stori: Leonard Msigwa, Risasi Jumamosi DODOMA: Kufuatia kuuawa kwa kuchomwa na vitu vyenye...

READ MORE

Olof Palme: Waziri Mkuu aliyeuawa mitaani akitoka sinema kwa miguu

UNAWEZA usiamini; waziri mkuu wa nchi anauawa mitaani akiwa anatembea kwa miguu kutoka ukumbi wa sinema na mkewe! Hilo lilitokea...

READ MORE

Tundu Lissu Aaachiwa kwa Dhamana ya Mil 10

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu. Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye leo amefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

READ MORE

Ijumaa lapasua anga za Mvuti, wasomaji walichangamkia

  Msomaji wa Ijumaa aitwaye, Bakari Mohammed (kushoto) Mkazi wa Charambe akielekezwa jambo na ofisa masoko wa Global,Yohana Mkanda. Muuzaji...

READ MORE

Uhamiaji Imewanasa Watumishi wawili wa Serikali ambao si Watanzania

Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Kanda ya Dar es Salaam John Msumule akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)...

READ MORE

Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa Julius Mwita Akamatwa na Polisi

KATIBU Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) Julius Mwita amekamatwa na Jeshi la Polisi...

READ MORE

Waziri Kigwangalla Atoa Saa 24 kwa Polisi Kumkamata Dk. Mwaka

Dk. Juma Mwaka. NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Hamisi Kigwangalla leo ametoa saa 24 kwa Jeshi la Polisi kumkamata mmiliki...

READ MORE

Undani Askofu Aliyefunga Siku 40 Kufia Chumbani

Mwili wa maehemu Askofu wa Kanisa la Taliteha, Ubungo jijini Dar, Fred Mwarusi ukiwa kwenye gari la polisi. Waandishi wetu,...

READ MORE

Lissu Anyimwa Dhamana, Atupwa Rumande, Kupandishwa Kizimbani Leo

JESHI la Polisi, kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemnyima dhamana, Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na...

READ MORE

Mtu wa ajabu… akigongwa gari haumii!

  The body of Graham with his huge chest, inflated head, extra nipples and absence of a neck has been...

READ MORE

Gazeti la Uwazi gumzo kila kona

GAZETI namba moja kwa habari za kiuchunguzi na kijamii, Uwazi linalotoka kila Jumanne limegeuka na kuwa gumzo kila kona ya...

READ MORE

Vodacom Yakabidhi Vifaa kwa Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu (VPL)

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Nandi Mwiyombella akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi vifaa kwa timu...

READ MORE

Mchungaji Afariki kwa Kufunga Siku 30 Akijaribu Kuvunja Rekodi ya Yesu

LILE andiko la usimjaribu bwana Mungu wako lililosemwa na Yesu Kristu limejidhihirisha baada ya mchungaji maarufu nchini Afrika Kusini, Alfred...

READ MORE

Etihad Yazindua Vyumba vya Mapumziko ya Kisasa Uwanja wa Los Angeles

Muonekano wa eneo la mapumziko ya kisasa yaliyozinduliwa na Etihad kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Los Angeles, Marekani. Uzinduzi wa...

READ MORE

Minoti ya sabodo ikigawanywa kila Mbongo anapata Tsh. 200,000

Mustafa Jaffer Sabodo DAR ES SALAAM: Jumanne iliyopita ilikuwa ya gumzo kuhusu tamko la mfanyabishara  maarufu Bongo, Mustafa Jaffer Sabodo...

READ MORE

Mmasai adaiwa kumuua kaka’ke kwa mkuki

Mwili wa marehemu Mitiaki Paul. Leonard Msigwa, Amani MANYARA: WAKATI vitabu vya dini vikifundisha wanandugu kukaa pamoja kwa upendo, hali...

READ MORE

Tundu Lissu Akamatwa na Polisi… Msigwa Ahutubia Iringa

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amekamatwa na polisi muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji...

READ MORE

Kange Lugola na wenzake wafutiwa mashtaka

Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), amewagwaya wabunge watatu; Kangi Lugola wa Mwibara na wenzake wawili, waliokuwa wakikabiliwa...

READ MORE

Basi la kisasa zaidi lazinduliwa China

MAFANIKIO ya Kiteknolojia yanazidi kupiga hatua sehemu mbalimbali duniani! Hii ni baada ya nchi ya China kuzingua basi la kipekee...

READ MORE

Ndege ya Emirates ikiwa na watu 300 yawaka moto wakati ikitua

Dubai Ndege ya Shirika la  Ndege la Emirates iliyokuwa ikijiandaa kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Dubai imewaka moto  na...

READ MORE

Rais amteua mkewe kuwa mgombea mwenza wa urais

Rais wa Nicaragua, Daniel Ortega (70) amemteua mkewe kuwa mgombea mwenza nafasi ya makamu wa rais wakati huu ambapo anawania...

READ MORE

Njoo Uzijue Siri za Kufanikiwa Kwenye Hali Ngumu ya Uchumi

Njoo Uzijue Siri za Kufanikiwa Kwenye Hali Ngumu ya Uchumi, Wakati Biashara Inadorora, Wewe Uchanue! Ni Jumapili hii ya Agosti...

READ MORE

Kituo cha Televisheni Cha TV 1 Kurusha Mechi za EPL

Meneja Mkuu wa TV One, Joseph Sayi (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Ofisa Masoko wa TV One, Gillian Rugumamu...

READ MORE

Kasulo yazidi kuzama Airtel Rising Stars

Mshambuliaji wa timu ya JMK Park, Amour Gerald (kushoto) akimtoka mchezaji wa Vijana Sports, Omary Rashid katika mechi ya mashindano...

READ MORE

Mwalimu aliyetuhumiwa kujihusisha kimapenzi na wanafunzi auawa

MWALIMU Daniel Msalika (42) wa shule ya msingi Nyasosi, wilayani Bariadi, mkoa wa Simiyu amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa...

READ MORE

Imani za kishirikina…. anaswa mlangoni kwa sangoma

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ASP Murilo Jumanne. Na Paul Kayanda, RISASI Mchanganyiko GEITA: MTU mmoja aliyefahamika kwa jina...

READ MORE

Kingunge azua hofu

Na Mwandishi Wetu, RISASI Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Ukimya wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombare Mwiru umezua hofu kubwa baada...

READ MORE

Watoto wa wafanyakazi wa Airtel watembelea Makao makuu ya Airtel, Dar

Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akiongea na watoto, wakati wa program maalum ya Airtel  inayofanyika kila mwaka inayowawezesha...

READ MORE

Mwanamke na toroli kazini!

IKIWA imezoeleka kuwa vijana wa kiume ndiyo wenye wajibu wa kuendesha matoroli ya maji, leo kamera yetu imemnasa mwanadada akifanya...

READ MORE