×

Habari

Gari la Mwananchi lapata ajali mbaya Kitonga

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Gari iliyokuwa imebeba Magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwenda mkoani Mbeya imepata...

READ MORE

Walioua watu 14 Marekani nao wauawa

Mmoja wa ndugu wa marehemu akifarijiwa. Polisi katika Jimbo la California nchini Marekani wametaja majina ya washukiwa wawili ambao wameuawa...

READ MORE

Kasongo Mpinda ‘Clayton’ afariki dunia

King Kiki (kulia) akiimba sambamba na Aboubakar Kasongo Mpinda ‘Clayton’ enzi za uhai wake. Aboubakar Kasongo Mpinda ‘Clayton’ akiwa na...

READ MORE

Kasi ya Magufuli ya kupunguza matumizi yawakuna wengi Afrika

Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Kutokana na kasi ya Rais...

READ MORE

Afrika Kusini yaongoza kwa ufisadi Afrika

Waafrika wengi wanasema kuwa ufisadi umeongezeka katika kipindi cha miezi 12 na serikali nyingi za bara hilo zikionekana kushindwa kukomesha...

READ MORE

Unending Love -58

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kutoa figo yake moja na kumpa Anna ambaye alikuwa na...

READ MORE

Basi lagongana na lori na kuua watu Singida

WATU 12 wamekufa papo hapo na wengine 18 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Taqbir kugongana na lori la...

READ MORE

Mgomo wa mabasi Mwanza abiria wateseka saa 10 stendi

Baadhi ya abiria wakisubiri usafiri bila mafanikio. Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Mwanza, Juma Kasendako akiongea na madereva wa...

READ MORE

Hatimaye mwili wa Mawazo wazikwa Geita

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwa majonzi makubwa akiweka udongo kwanye kaburi la kamanda wake Alphonce Mawazo. Katikati ni waziri mkuu...

READ MORE

Sheikh Ponda aachiwa huru

Sheikh Issa Ponda. Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya jinai...

READ MORE

True Memories Of My life-144

wiki iliyopita niliishia kwamba kauli za Edward Lowassa kwenye runinga zilinifanya nianze kuwa na wasiwasi kwamba vurugu zingeweza kuibuka nchini,...

READ MORE

Maelfu wauaga mwili wa Mawazo Mwanza

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akiaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa...

READ MORE

Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandarini

Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya...

READ MORE

Rais Magufuli afuta sherehe za maadhimisho ya Ukimwi

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Rais John Magufuli amesitisha maadhimisho ya siku ya Ukimwi kitaifa ambayo yalikuwa yafunguliwe mkoani Singida...

READ MORE

Kifo cha katibu wa chama cha madereva, Makonda atoa neno

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye ni mlezi wa Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADU), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji...

READ MORE

Maporomoko ya udongo yaua watu 90 Myanmar

IDADI ya watu waliofariki kutokana na maporomoko ya udongo katika eneo la Jade nchini Myanmar imeongezeka na kufikia watu 90,...

READ MORE

Watu wenye silaha wavamia hoteli na kuteka watu Mali

Wanajeshi wakijaribu kuingia katika Hoteli ya Radisson Blu mjini Bamako. Hoteli ya Radisson Blu iliyovamiwa leo. Wanajeshi wenye silaha nchini Mali...

READ MORE

Bunge latikisika, wapinzani watimuliwa

Na Elvan Stambuli BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo alasiri limetikisika baada ya wabunge wa upinzani kuwazomea viongozi...

READ MORE

Mtangazaji Prince Baina Kamkuru afariki dunia

Prince Baina Kamkuru enzi za uhai wake. Mtangazaji wa zamani wa Radio Free Afria (RFA), Clouds FM na Star TV,...

READ MORE

Dk. Tulia achaguliwa kuwa Naibu Spika kwa 71.2%

Dk. Tulia Ackson Mwansasu akila kiapo mara baada ya kuchaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge. Dk. Tulia Ackson Mwansasu wakati...

READ MORE

Waziri, Mkuu Majaliwa ashinda kwa asilimia 73.5

Waziri Mkuu Mteule Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na...

READ MORE

Rais Magufuli asaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa Ufaransa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa jijini...

READ MORE

Job Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limemchagua, Mbunge wa Kongwa, Mhe. Job Yustino Ndugai kuwa Spika wa Bunge...

READ MORE

Wabunge wapiga kura kumchagua Spika wa Bunge

WABUNGE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo asubuhi wamepiga kura kumchagua spika wa kuliongoza Bunge la 11 mjini Dodoma....

READ MORE

Chenge ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa uchaguzi wa Spika bungeni

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Thomas Kashilila asubuhi hii amemteua Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM),...

READ MORE

Job Ndugai apitishwa na CCM kuwania Uspika

Job Ndugai. MBUNGE wa Kongwa na aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoisha,...

READ MORE

Jerome Bwanausi ashinda ubunge Jimbo la Lulindi

Jerome Bwanausi. Aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge katika Jimbo la Lulindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jerome Bwanausi ametangazwa...

READ MORE

Kamati Kuu CCM yapitisha majina 3 ya Uspika

KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi leo imewapitisha  Ndugu Job Ndugai, Ndugu Abdullah Ali Mwinyi na Dk. Tulia Ackson Mwansasu...

READ MORE

Wanne mbaroni kwa kuhusika na kifo cha Mawazo

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo enzi za uhai wake. Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia watu wanne...

READ MORE

Nyangumi akutwa amekufa ufukwe wa Coco Dar

Wakazi wa Dar wakichangamkia kitoweo na mafuta ya nyangumi huyo. Wananchi wakizidi kuchukua mafuta na kitoweo cha nyangumi kwenye ufukwe...

READ MORE

JK atinga ofisini kwake Lumumba aanza kupiga mzigo

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu...

READ MORE

Sitogombea nafasi ya Uspika – Anne Makinda

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Anne Makinda akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi...

READ MORE

Wawania uspika waanza kuchukua fomu

Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge...

READ MORE

Kaimu Mkurugenzi mpya Muhimbili akutana na kamati tendaji yake

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma (MNH), Aminiel Aligaesha (kulia) na akimtambulisha Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali hiyo Profesa...

READ MORE

Rais Obama hatimaye ajiunga Facebook

Rais Barack Obama. RAIS wa Marekani, Barack Obama hatimaye amejiunga na mtandao wa kijamii wa Facebook na kuandika ujumbe wake...

READ MORE