×

Habari

Ajali Ya Treni Yasababisha Maandamano Makuba

Maandamano makubwa yanaendelea nchini Ugiriki huku serikali ikikabiliwa na shinikizo la kura ya kutokuwa na imani kufuatia ajali mbaya ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Iftari Na Benki Ya Nmb Pamoja Na Watoto Wanaoishi Kwenye Mazingira Magumu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Machi 05, 2025 ameshiriki hafla ya Iftari na Benki ya NMB pamoja na watoto wanaoishi katika...

READ MORE

Miaka Minne Ya Rais Samia Moi Yaimarisha Huduma Za Ubingwa, Ubingwa Bobezi

Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepiga hatua kubwa katika kuboresha huduma zake, hususan kwa kupanua wigo...

READ MORE

Rais Samia alivyowaandalia Iftar viongozi wa dini na Wazee wa Mkoa wa Dar – Picha

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan Machi 5, 2025 aliwaandalia Iftar viongozi wa dini na...

READ MORE

Korea Kaskazini Yalaani Uchokozi Wa Kijeshi Wa Marekani

Mar 04, 2025 07:43 UTC, Korea Kaskazini yalaani uchokozi wa kijeshi wa Marekani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea...

READ MORE

Profesa Philemon Sarungi afariki dunia

Mwanasiasa mkongwe nchini aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Rorya mkoani Mara na aliyewahi kuwa waziri kwenye wizara mbalimbali, Profesa...

READ MORE

Wananchi Jitokezeni Kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimehamasisha wanachama wake kujitokeza kwa wingi kwenye shughuli ya kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga...

READ MORE

Jukwaa Linaloongoza Katika Huduma za Usafiri, Lathibitisha Kutoa Punguzo kwa Abiria

Dar es Salaam, Tanzania – Bolt, jukwaa linaloongoza katika huduma za usafiri wa mtandaoni, linathibitisha rasmi kwamba punguzo linalotolewa kwa...

READ MORE

Rais Samia Awatakia Wakristo Kheri katika kipindi hiki cha Kwaresima

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatakia wakristo nchini kheri katika kipindi hiki cha kwaresima...

READ MORE

Majaliwa Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Bwawa La Kidunda

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunga...

READ MORE

Rais Trump Azomewa Bungeni, Apata Wakati Mgumu Kuhutubia, Mbunge Atolewa Ukumbini – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025, alikumbana na upinzani mkali wakati wa hotuba yake...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Jinsi Wanawake Wanavyoweza Kuepuka Aibu ya Kukaa Muda Mrefu Bila Kuolewa

Unajua hapa duniani kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na mwanaume mzuri ampendaye ambaye anaona anamfaa kuanzisha naye familia na...

READ MORE

Rais wa Baraza la Taifa na Bunge la Jamhuri ya Cuba Awasili nchini

Rais wa Baraza la Taifa na Bunge la Jamhuri ya Cuba, Esteban Lazo Hernandez, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi...

READ MORE

Kenya Yakabiliana Na Mlipuko Wa Ugonjwa Usiojulikana Katika Jimbo La Kisii

Wizara ya Afya nchini Kenya imetangaza kuwa, imo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana ambao umeathiri zaidi ya watu...

READ MORE

CCM Yawaonya Wanaojipitisha Majimboni na Utenguzi wa Wajumbe

Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla ametoa maelekezo kwa watendaji wa chama hicho ngazi zote nchini...

READ MORE

NBC Yajizatiti Kushirikiana na Halmashauri Kudhibiti Upotevu wa Mapato, Kuunga Mkono Agizo la Rais Samia

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kushirikiana na halmashauri pamoja na mamlaka zote za tawala za...

READ MORE

CPA Makalla: Lissu na Wenzake Hawana Mamlaka ya Kuzuia Uchaguzi

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapunduzi (CCM),CPA Amos Makala amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama...

READ MORE

DC Temeke na Mbunge Kilave Wawafunda Bodaboda Kuiheshimu Kazi Yao

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda pamoja na Mbunge wa Jimbo hilo Dorothy Kilave wamewaasa maafisa usafirishaji kwa njia...

READ MORE

Polisi Watoa Msaada Kwa Wanafunzi Wenye Ulemavu, Jamii Yatakiwa Kuwakumbuka Wenye Uhitaji

Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha kupitia mtandao wa Polisi Wanawake limetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye...

READ MORE

20 Wakamatwa Kwa Kula Mchana Mwezi Wa Ramadhan

Jeshi la Polisi wa Kiislamu (Hisbah) katika Jimbo la Kaskazini Nigeria la Kano, wamewakamata waumini wa dini ya Kiislamu waliokutwa...

READ MORE

Rais wa Guinea-Bissau Embalo Atoa Tishio Dhidi Ya Ujumbe Wa ECOWAS Katika Mzozo Wa Uchaguzi

Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametishia kuufukuza ujumbe wa kisiasa uliotumwa nchini mwake na Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika...

READ MORE

Trump Asitisha Misaada Ya Kijeshi Ukraine

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine kufuatia kuvunjika kwa mkutano kati yake na Rais...

READ MORE

Siri Iliyowasaidia Wanandoa Wengi Kudumu Kwenye Ndoa kwa Muda Mrefu

Jina langu ni Fatma kutokea Tanga, nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa, hakika naweza kusema mimi ni miongoni mwa...

READ MORE

Watu Sita Wamefariki Dunia na Wengine 49 Kwenya Ajali ya Basi, Dodoma

Watu sita wamefariki dunia na wengine 49 wamejeruhiwa baada ya ajali kutokea eneo la Chigongwe, Dodoma, usiku wa Machi 3,...

READ MORE

Dar Kufanya Kongamano Maalum Kuelekea Maadhimisho a Siku ya Mwanamke Duniani

Katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, Mkoani Dar es salaam inatarajia kufanya kongamano maalum machi nne mwaka huu katika ukumbi...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Afuturisha Watoto Wenye Uhitaji Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Machi 3,2025 amefuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji...

READ MORE

Zelensky: Sikufanya lolote baya kwa Trump

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekataa kuomba msamaha baada ya mabishano makali na majibizano ya maneno na mwenzake wa Marekani,...

READ MORE

Elon Musk Aunga Mkono Marekani Kujiondoa UN, NATO

Bilionea Elon Musk ametangaza hadharani kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa Umoja wa Mataifa (UN) na Shirika la Kijeshi la...

READ MORE

Jeshi La Uganda Laingia Mji Mwingine Wa DRC

Jeshi la Uganda limethibitisha kutuma kikosi chake katika mji wa Mahagi, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ili...

READ MORE

Viongozi Wa Ulaya Waunga Mkono Mpango Wa Amani Ukraine

Viongozi wa Ulaya wametangaza kuunga mkono Ukraine katika mkutano wa kilele uliofanyika London, wakiahidi kuongeza matumizi katika usalama na kuunda...

READ MORE

Alitaka Kunidhulumu Mali Niliyonunuliwa na Baba Yangu, Nikaamua Kumkomesha

Naitwa Amani kutokea Babati, unajua hakuna kitu kibaya maishani kama kudhulumu mali ambayo sio yako, kuna watu mikosi haiondoki katika...

READ MORE

Dkt. Gwajima Apongeza Jeshi La Polisi Kuzuia Vitendo Vya Ukatili

Jeshi la Polisi kupitia Mtandao wa Askari Polisi Wanawake (TPF-NET) na Dawati la Jinsia na Watoto nchini limepongezwa kwa kufanya...

READ MORE

Lipumba: Maridhiano ya vyama vya upinzani yamekuwa yakileta madhara na kuwajeruhi

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa maridhiano ndani ya vyama vya upinzani yamekuwa yakileta madhara...

READ MORE

PM Majaliwa: Huduma Jumuishi za Kifedha ni Kiungo Muhimu Cha Ukuaji Uchumi

HUDUMA JUMUISHI ZA KIFEDHA NI KIUNGO MUHIMU CHA UKUAJI UCHUMI - MAJALIWA HUDUMA JUMUISHI ZA KIFEDHA NI KIUNGO MUHIMU CHA…

READ MORE

Tanzania Kuandaa Mkutano Mkubwa wa Nishati EAPCE’25, Fursa Kubwa kwa Uwekezaji wa Mafuta na Gesi

Zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kumi na Moja wa Mafuta na Gesi wa Afrika Mashariki...

READ MORE

Ratiba ya mwezi mzima wa Ramadhan kuanzia muda wa kufuturu mpaka muda wa ukomo wa kula daku

Ratiba ya mwezi mzima wa Ramadhan kuanzia muda wa kufuturu mpaka muda wa ukomo wa kula daku. NB: Ratiba hii...

READ MORE

Viongozi Wa Chadema Wazungumza Na Jukwaa La Wahariri – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, amezidi kutilia mkazo juu ya mfumo wa ugawaji wa...

READ MORE

Balozi Nchimbi Ashiriki Mazishi ya Dkt. Sam Nujoma Namibia

Picha mbalimbali zikimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki shughuli ya mazishi ya...

READ MORE

Vodacom, ZICTIA Zaungana Kukuza Matumizi ya Kidijitali Zanzibar Kupitia Nyaya za Chini ya Bahari

Vodacom Tanzania PLC imetia saini ushirikiano wa kimkakati na Shirika la Miundombinu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA)...

READ MORE