Katika hatua ya kimkakati kusaidia wafanyakazi wa serikali kufikia malengo yao ya kifedha, benki ya Exim Tanzania inajivunia kutangaza maboresho...
READ MOREKadiri Afrika Mashariki inavyozidi kukua kibiashara, Tanzania inaendelea kujizatiti kama kitovu cha uchukuzi wa shehena na biashara, ikichangia kwa kiasi...
READ MOREJeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia dereva aliyefahamika kwa jina la Ernest Okulo (40), mkazi wa Chanika, Dar es Salaam...
READ MOREMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya Usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa...
READ MOREMABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamevuna pointi tatu ugenini kwenye mchezo...
READ MORESERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi...
READ MOREDakika 90 zimemalizika katika Dimba la Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ambapo Yanga wameilowesha Tabora United kwa jumla ya mabao...
READ MOREMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
READ MOREWizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Neema Kilugala ambaye anadai kubadilishiwa mtoto na kupewa aliyefariki dunia baada ya...
READ MOREAsk. Bagonza: Haki ni msingi wa amani Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt....
READ MORENaibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Ryabkov, amekosoa vikali matamshi ya Donald Trump kuhusu Iran, akiyaita...
READ MOREFamilia ya Mzee Flavian Nyendikuu imemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati na...
READ MOREMiili sita ya wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mmeni Chome, Dayosisi ya Pare waliofariki...
READ MOREMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika kuanzia leo Jumatano,...
READ MOREMwanamama Shakira Arsenal, mkazi wa Upanga, Dar es Salaam, anaomba msaada wa hali na mali ili kuikomboa nyumba aliyonunua kwa...
READ MOREMkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta...
READ MOREBenki ya NMB imedhamini na kushiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 kitaifa uliofanyika katika viwanja vya Shirika...
READ MORETaasisi ya kifedha ya EFTA na GSM zimesaini mkataba wa makubaliano ya kusaidia wafanyabiashara wadogo na kati kukuza biashara zao...
READ MOREKIJANA yupi tena wa Kitanzania anaweza asiamini kwamba anaweza kuwa sehemu ya Waafrika waliofanikiwa kimaisha kama atakuwa ni mchapakazi? Kama...
READ MOREJeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia askari wawili wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha kijana...
READ MOREPuma Energy Tanzania imeshiriki katika shughuli za za Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani,...
READ MOREAliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema, ameonesha masikitiko yake kuhusu taarifa iliyotolewa na...
READ MORERais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Baraza la Eid El-Fitr Ukumbi wa JNICC...
READ MOREWAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 31, 2025 amejumuika na waumini wa dini ya kiislam katika Swala ya Eid iliyofanyika...
READ MORERais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kuwa hafanyi mzaha kuhusu nia yake ya kutaka kugombea tena Urais wa nchi hiyo...
READ MORERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam...
READ MORECHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 31, 2025 amejumika na waisalamu wengine kusali...
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua za maandalizi kuelekea sherehe za kuwashwa kwa Mwenge wa Uhuru ambao utazunguka...
READ MOREWatu zaidi ya 1,700 wamepoteza maisha, kufikia siku ya Jumamosi nchini Myanmar kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lilitokea katika maeneo...
READ MOREJeshi la Polisi limemkamata Elia Asule Mbugi almaarufu Dogo Bata, Mnyakyusa, mwenye umri wa miaka 25, mkazi wa Segerea, dereva...
READ MOREWenzako wakipiga pesa ndani ya Meridianbet wewe huwa umelala, basi mimi leo nakwambia hivi amka na ubashiri hapa kwani timu...
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya...
READ MOREYapo baadhi ya matukio yanayouma mno moyo na kuacha majeraha yasiyopona. Vuta picha kijana wako yupo nje na wenzake, wewe...
READ MOREChama cha NCCR Mageuzi Machi 29, 2025, kimetangaza kumteua Haji Ambar Khamis kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano...
READ MORELeyla Shabani Mrosa (23), binti aliyepata ufaulu mkubwa na kufadhiliwa kusoma nchini India lakini baadaye kukatisha masomo kutokana na ugonjwa,...
READ MOREWizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetoa motisha ya sh. milioni 50 kwa wahadhiri kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali nchini wanafundisha...
READ MOREKamati ya Usalama barabarani Mkoa wa Arusha Machi 28, 2025 imekabidhi kompyuta kwa kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha...
READ MOREMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa wananchi kuepuka wakopeshaji binafsi...
READ MOREKampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kusaidia kwa vitendo. Kama ilivyo desturi yao kila mwezi,...
READ MORE