×

Habari

Mke Aangua Kilio Baada ya Mumewe Kutembea na Mama Yake

Kulikuwa na drama na zogo katika mtaa wa Tom Mboya Estate, Kisumu nchini Kenya baada ya mwanaume mmoja aliyeoa kufanya...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Maendeleo Ya Mradi Wa Ujenzi Uwanja Wa Ndege Shinyanga

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa Shinyanga afanye kazi usiku na mchana ili...

READ MORE

Leyla Genius Atokwa Machozi, Zari Mapito Amfanyia Surprise Valentine – Video

Habari njema! Binti Leyla (23) aliyepata scholarship ya kusomea udaktari India na kukatisha masomo yake kwa ugonjwa, tayari ameanza mazoezii...

READ MORE

Wizara Yatakiwa Kubuni Mazao Mapya ya Utalii Kwenye Eneo la Amboni

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya...

READ MORE

Majaliwa: Rais Dkt. Samia Ni Tiba Ya Maendeleo, Kiongozi Anayeona

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Ndugu Kassim Majaliwa...

READ MORE

Vijana 132 Wakamatwa Pwani Kwa Kujihusisha Na Biashara Ya Kitapeli, RPC Pwani Afunguka Tukio Zima – Video

Vijana takribani 132 wenye umri wa kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali, hasa ya pembezoni mwa Tanzania,...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Apokewa Kwa Kishindo Pemba

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi amezisisitiza Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi kuwahamasisha Wanachama na Wananchi kujiandikisha na...

READ MORE

Waarabu Wote UN Wapinga Kutimuliwa Wapalestina Gaza

Kundi la Waarabu katika Umoja wa Mataifa, pamoja na kundi la mabalozi wa Umoja wa Mataifa, wamepinga vikali mipango yoyote...

READ MORE

Mwili Wa Mwanjelwa Kuwasili Nchini Jumatatu

Mwili wa mwanamuziki mkongwe, Bi. Tabia Shabani Mwanjelwa, aliyefariki dunia Januari 25, 2025, huko Saarbrücken, Ujerumani, anakoishi na familia yake,...

READ MORE

Mchengerwa Afanya Mazungumzo Na Kampuni Ya Jospong Udhibiti Taka Mijini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amefanya mazungumzo na wawakilishi wa JOSPONG group of companies ya nchini Ghana,...

READ MORE

Mazoezi ya Kijeshi Kati ya JWTZ na Jeshi la Marekani Yalivyofungwa Msata

Zoezi la Justified Accord ambalo  lilizinduliwa rasmi Februari 10 mwaka huu, ikiwa ni ushirikiano uliopo Katika ya Jeshi la Wananchi...

READ MORE

Raila Ashindwa Katika Kinyang’anyiro Cha Uenyekiti Wa Tume Ya AU

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga ameshindwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)....

READ MORE

Uchukuaji wa Namba za Mbio za Kili Marathoni Waanza kwa Kasi Mlimani City

Zoezi la uchukuaji wa namba za Mbio to za Kimataifa za Masafa Marefu za Kilimanjaro Premium Lager, lililokuwa likisubiriwa kwa...

READ MORE

Kaka wa Lissu Ampokea Nyumbani Kwao Ikungi

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Mhe. Tundu Lissu amepokelewa kwa kishindo Nyumbani kwao Ikungi tangu kuchaguliwa...

READ MORE

Arsenal Yaendelea Kung’ara: Ushindi Dhidi Ya Leicester Waimarisha Mbio Za Ubingwa

Katika msimu wa 2024/2025, Arsenal imeendelea kuonesha uwezo mkubwa katika Ligi Kuu ya Uingereza, ikipambana vikali katika mbio za ubingwa....

READ MORE

Mtoto Wa Museveni Atishia Kuishambulia DRC

Mkuu wa majeshi ya ulinzi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema kupitia chapisho lake kwenye mtandao wa X siku ya...

READ MORE

Njiani Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu Akielekea Nyumbani Kwao Ikungi

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Mhe. Tundu Lissu amesalimiana na  wananchi wa Manyoni akielekea katika mapokezi...

READ MORE

Kanisa La Nabii Suguye Latimiza Miaka 18

Kanisa la WRM Ministries lililo chini ya @prophet_nicolaus_suguye leo linatimiza Miaka18 tangu kuanzishwa kwake huku Prophet Nicholas Suguye akijivunia makubwa...

READ MORE

Shigongo Katika Mkutano Wa IPU Aelezea Umuhimu Wa Afrika Kutumia Maliasili – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki Mkutano wa Mabunge ya Dunia (Interparliamentary Union) unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa...

READ MORE

Papa Francis Apelekwa Hospitali, Chanzo Chatajwa

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, mwenye umri wa miaka 88, alikimbizwa hospitali ya Policlinico Agostino Gemelli mjini Roma...

READ MORE

Adakwa Na Gwanda Za JWTZ Akijifanya Mjeda

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linamshikilia Emmanuel Mapana (24) maarufu kwa jina la Mchambi mkazi wa mtaa wa Sima,...

READ MORE

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson Alivyofunga Mkutano Jijini New York

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson,...

READ MORE

Makamu wa Rais Afanya Mazungumzo na Balozi wa Uganda nchini Kanali Mstaafu Fred Mwesigye

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri...

READ MORE

Mpango Mkali Wa Kutatua Vita Ya Ukraine Wafichuka

Rais wa Marekani Donald Trump aliyeahidi kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine sasa ameanza kufanyia kazi ahadi hiyo. Jana...

READ MORE

Yanga yaichapa KMC 6-1, Aziz Ki ang’ara kwa hat-trick

Young Africans SC wameweka hai matumaini yao ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania baada ya kuibuka na ushindi...

READ MORE

DC Magoti Azindua Taasisi ya Planet Servers Iliyojipanga Kulinda Mazingira

Pwani, 14 Februari 2025: Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amezindua taasisi isiyo ya kiserikali ya Planet Servers Foundation...

READ MORE

DC Magoti Alivyowapa Onyo Kali Watakaosababisha Uzembe Kwenye Elimu ya Watoto Wao

Kisarawe, Pwani. 12 Februari 2025: Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Petro Magoti amewaonya wazazi watakaofanyia mzaha elimu za...

READ MORE

Rais Samia Awasili Addis Ababa Kushiriki Mkutano Wa 38 Wa AU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili leo, tarehe 14 Februari 2025, katika Uwanja wa...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko Kuhusu Mpango Wa Uendelezaji Wa Eneo Maalum La Kiuchumi La Bagamoyo

Serikali ya Tanzania imekanusha taarifa zinazozagaa mtandaoni zikidai kwamba kampuni moja kutoka Saudi Arabia imepatiwa mkataba wa ujenzi na uendeshaji...

READ MORE

Mtoto Wa Elon Musk Azua Gumzo Mitandaoni

Msanii wa muziki wa Kanada anayefanya shughuli zake Marekani, Grimes, amemkosoa vikali aliyekuwa mpenzi wake na baba wa watoto wake...

READ MORE

Trump Kupitisha Fagio Balozi Zote Za Marekani

Rais Donald Trump wa Marekani amezitaka balozi za nchi hiyo duniani kote kujiandaa kwa upunguzwaji mkubwa wa wafanyakazi ikiwa ni...

READ MORE

Watu Watatu Wafariki baada ya Lori kuacha Njia Kimara Stop Over Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema watu watatu wamethibitika kufariki dunia baada ya lori lililokuwa linatokea...

READ MORE

Tamisemi Yaweka Wazi Viwango Vipya Ujenzi Wa Madarasa Na Zahanati

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imefanya mapitio ya bajeti kwa kuzingatia muundo wa kanda...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Viongozi

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi leo, tarehe 13 Februari 2025, katika nafasi za kiutendaji serikalini.

READ MORE

DK. Mwinyi Kutambulishwa Kwa Kishindo Pemba

Chama Cha Mapinduzi kimesema kitamtambulisha mgombea urais wa Zanzibar wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Pemba. Katibu wa Kamati Maalum...

READ MORE

DR Congo Yapiga Marufuku Ndege Za Rwanda

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda kutumia anga yake kutokana na vita vya...

READ MORE

Itakua Aibu Kufungwa Na Yanga Kwenye Uwanja Wetu

Kikosi cha KMC FC kinajiandaa kwa mtanange mkali dhidi ya Young Africans SC (Yanga) kwenye dimba la KMC Complex, huku...

READ MORE

Urusi Yajibu Vitisho Vya Trump Dhidi Ya BRICS

Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imetoa taarifa kuhusiana na tishio la Rais Donald Trump wa Marekani la kutoza...

READ MORE

Waziri Anusurika Kuuawa Baada Ya Kushambuliwa Kwa Risasi

Waziri wa Nchi anayeshughulikia bunge nchini Libya, Adel Juma amenusurika kuuawa baada ya watu wenye silaha kumshambulia akiwa ndani ya...

READ MORE

DK. Nchimbi Akutana Nakuzungumza Na Mabalozi

Mabalozi wa Uganda, Algeria, India, na Marekani wamepongeza uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama...

READ MORE