Kutana na Hassan Omondi ambaye ni baba mwenye upendo na anayejali wa watoto wake wawili, anafanya kazi kama mwalimu katika...
READ MOREWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Paramagamba Kabudi, amewaomba wabunge kuhamasisha shule za msingi kujipatia nakala za...
READ MOREKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza...
READ MOREMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amefafanua kuhusu kauli mbiu ya chama hicho inayosema No Reform...
READ MORERais Donald Trump wa Marekani ameendelea kutoa kauli za dharau kwa mataifa kadhaa mara hii akiishambulia tena Canada akisema haifai...
READ MOREAfisa Mnadhimu namba Moja Mkoa wa Arusha ACP Debora Lukololo ambaye pia ni mwenyekiti wa mtandao wa Polisi wanawake Mkoa...
READ MOREShirika la Upelelezi la Marekani (FBI) limesema limepata ushahidi mpya kuhusu mauaji ya aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy,...
READ MOREJamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu ICJ...
READ MORERais Donald Trump amefanya tukio adimu la kujitokeza hadharani pamoja na mshauri wake mwenye ushawishi mkubwa, Elon Musk, katika Ofisi...
READ MOREHatua ya Rais Donald Trump ya kusitisha misaada yote iliyokuwa ikitolewa na Marekani imeongeza hali ya wasiwasi nchini Jamhuri ya...
READ MOREMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika kama ulivyopangwa...
READ MOREJina langu ni James, siku moja niliingia kwenye chumba changu cha kulala na nikamkuta mke wangu kitandani na baba yangu,...
READ MOREFebruary 11, 2025 Katika Mkutano wa juhudi za kuimarisha utoaji wa huduma za umma kwa njia za kidijitali, mkutano wa...
READ MOREMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA)...
READ MOREMsanii wa Sanaa ya Uchekeshaji nchini, Steven Mweusi ameeleza namna ya hali aliyoikuta katika Bar ya Peda iliyoteketea kwa moto...
READ MORENAIBU Waziri Mkuu na ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dr. Doto Biteko anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika mbio za...
READ MORE“Wahalifu msijaribu uwezo wa Polisi, tutawafikia popote” Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza Jeshi la Polisi...
READ MOREKikundi cha HAMAS kimetangaza kuwa, kinasitisha mchakato wa kuwaachia huru mateka wa Israel uliopangwa kutekelezwa Jumamosi ijayo hadi litakapotolewa tangazo...
READ MORESimba imerejea kwenye kilele cha Ligi ya NBC kwa kufikisha alama 47 baada ya kuwazaba Wajelajela, Tanzania Prisons kwa jumla...
READ MOREWizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imetangaza mipango ya kuunda serikali ya mpito. Katika hatua nyingine, wizara hiyo pia...
READ MOREKlabu ya Young Africans SC (Yanga SC) leo, tarehe 11 Februari 2025, inasherehekea miaka 90 tangu kuanzishwa kwake mnamo...
READ MORERais wa Marekani, Donald Trump, amesaini hati ya msamaha kwa aliyekuwa Gavana wa Illinois kwa tiketi ya Chama cha Democrat,...
READ MOREMWILI wa Kamanda Derick Magoma, Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Mkoa wa Manyara umezikwa leo, Februari 11, 2025 kijiji cha Matufa,...
READ MORESam Mangwana (80) ni mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa dansi wa rhumba ya Kikongo, ambaye ni mwimbaji kutoka Angola, ameifanya...
READ MORENaitwa Ema kutokea Mbagala, nimekuwa nikiishi katika hali ya misukosuko ya mara kwa mara, nikijiuliza kwa nini mimi na mume...
READ MOREMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) unawatangazia wastaafu na wategemezi wote wanaolipwa pensheni ya kila mwezi kuwa kutakuwa...
READ MOREFamilia nne kutoka Uingereza zinazoushtaki mtandao wa kijamii wa TikTok kwa madai ya kusababisha vifo visivyo vya haki vya...
READ MOREAsema kwa mfano Rais Dkt Samia ameboresha kwa kiasi kikubwa sekta ya elimu Je? jamii na wadau wengine wa elimu...
READ MOREMajaji wa Mahakama Kuu nchini Marekani jana, Jumamosi, walipitisha azimio la kumzuia Mkuu wa Idara ya Ufanisi wa Taasisi za...
READ MOREKiongozi wa kidini wa Jumuiya ya Waislamu wa Kishia Waismaili, Aga Khan IV, alizikwa jana Jumapili, Februari 9, mjini Aswan,...
READ MOREWanajeshi 75 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanatarajiwa kufikishwa kizimbani leo wakikabiliwa na mashtaka ya kukimbia mapigano, pamoja na...
READ MOREAbiria waliokuwa wakisafiri na ndege ya Shirika la EasyJet kutoka Misri kuelekea Manchester walijikuta katika kizaazaa kikubwa baada ya rubani...
READ MOREKatika historia ya binadamu, kumekuwa na watu ambao wameacha alama za kikatili zinazodumu kwa vizazi vingi. Hawa ni watu waliohusika...
READ MOREJeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limekuwa likishiriki mazoezi mbalimbali ya kijeshi ya pamoja baina yake na majeshi mengine...
READ MOREWAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Seleman Jafo, amekitaka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kujitangaza nje ya mipaka ya...
READ MOREDodoma, Februari 7, 2025 – Benki ya CRDB imefanikiwa kusaini mkataba wa kusimamia utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya...
READ MOREMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi...
READ MORERais wa Namibia, Dkt. Nangolo Mbumba, ametangaza kwa huzuni makubwa kifo cha Rais wa kwanza wa Taifa letu, Dkt. Sam...
READ MORECorneille Nangaa, aliyewahi kuwa mkuu wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), amehamasisha mapinduzi makubwa...
READ MOREKatika hatua mpya ya kutafuta amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)...
READ MORE