×

Habari

Mahakama Yasogeza Mbele Uamuzi dhamana Ya Boniface Jacob wa Chadema

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Oktoba 1, 2024 imetupilia mbali maombi ya Serikali yaliyowasilishwa wiki iliyopita juu ya kiapo...

READ MORE

Hatima ya Unaibu Rais wa Rigathi Gachagua Madarakani Kujulikana leo

MUSWADA wa kumuondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani utawasilishwa Bungeni leo, Oktoba 1, 2024, Saa 8:30 Mchana. Ikiwa Muswada huo...

READ MORE

Mchezaji wa NBA Dikembe Mutombo afariki

Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu wa NBA, Dikembe Mutombo, ambaye alikuwa mmoja wa wachezaji bora wa safu ya ulinzi...

READ MORE

Bil.6.7 Zaboresha Zaboresha Sekta Ya Elimu Muheza

Takribani shilingi bilioni 6.7 zimetumika katika ujenzi wa shule za sekondari 10 katika wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga katika...

READ MORE

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Azindu Shule ya Kata ya Sekondari

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amezindu Shule ya Kata ya Sekondari Kihenzile iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya...

READ MORE

Waziri Chana Akagua Miradi ya Kimkakati Hifadhi ya Taifa Nyerere

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amekagua maboresho ya miradi mbalimbali ya kimkakati katika Hifadhi ya...

READ MORE

Video za Diddy Zatua Kwa Waendesha Mashtaka

Sakata la staa mkubwa wa muziki duniani, Sean ‘Diddy’ Combs linazidi kufukuta ambapo mashtaka mengine mapya yamefunguliwa dhidi yake, akihusishwa...

READ MORE

Dkt. Biteko Apongeza Benki ya NMB Kwa Kushirikiana na Serikali Kuboresha Sekta ya Elimu Nchini

Naibu waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko amewataka wazazi na walezi Nchini...

READ MORE

China Yavunja Rekodi ya Kurusha Drone Nyingi Katika Onesho la City of Sky

Jioni ya Septemba 26, Shenzhen ilisherehekea onyesho la drones lililopewa jina la City of Sky, Maybe Shenzhen ambapo jumla ya...

READ MORE

Rabia Aeleza Mafanikio ya CCM, Serikali Kwa Wanadiaspora Uingereza

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amekutana na...

READ MORE

‘Waliotumwa na Afande’ Wahukumiwa Kifungo cha Maisha Gerezani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma (Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki) leo Septemba 30, 2024 imewahukumu kifungo cha maisha jela Washtakiwa...

READ MORE

Mume Alitaka Kuniacha Kwa Sababu ya Unene Ila Sasa Ananipenda Ajabu

Baada ya kuzaliwa kwa watoto wangu watatu, mwili wangu ulipata mabadiliko makubwa. Nikiwa na umri wa miaka 35 tu, nilijikuta...

READ MORE

Rais Samia Azindua Kitabu Cha Edward Moringe Sokoine JNICC-Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo Septemba 30, 2024 amezindua Kitabu cha Edward Moringe...

READ MORE

TRA: Leo Septemba 30, 2024 ni mwisho wa kulipa kodi ya mapato ya awamu ya tatu

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inawakumbusha walipa kodi wote kuwa leo Septemba 30, 2024 ni mwisho wa kulipa kodi ya...

READ MORE

Shindano la Sanaa la ‘Uzuri wa Tanzania Fahari Yangu’ kwa Shule za Sekondari na UDSM Lazinduliwa

Dar es Salaam, 30 Septemba 2024 – Vivo Energy Tanzania inajivunia kutangaza uzinduzi wa shindano la sanaa‘Uzuri wa Tanzania Fahari...

READ MORE

Spika Tulia Alivyonaswa Akitengeneza ‘Nguna ya Ukweli’ na Kinamama Lishe

SPIKA wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na   Dkt.Tulia Ackson  amehamasisha Mama lishe na wananchi kutumia nishati...

READ MORE

Serengeti Oktoberfest 2023 Ilibamba Ile Mbaya, 2024 Whats Up?

Kwa wale wapenda burudani zilizokwenda shule, Serengeti Oktoberfest imerudi tena huku ikiwa na surprises za kutosha. Umejiandaaje?  

READ MORE

Jeshi la Polisi Lafanikiwa Kusuluhisha Mgogoro wa Kugombania Mifugo, Mara

POLISI kata wa kata ya Isenye Wilaya ya Serengeti mkoani Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Method Kagina, amefanya jitihada za...

READ MORE

Wabunge Kuwasilisha Pendekezo la Kumwondoa Naibu Rais wa Kenya Bunge la Seneti

Wabunge wanatarajiwa kuwasilisha pendekezo la kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua katika nafasi hiyo, Oktoba 1, 2024 ikielezwa kuwa mchakato wa...

READ MORE

NMB ‘yakazia’ Mafunzo ya Uongozi na Usimamizi Jumuishi kwa Wanawake

MAFUNZO ya Uongozi na Usimamizi Jumuishi kwa Wanawake yaliyofanyika katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani, yamefungwa...

READ MORE

CRDB Kuwekeza Dola Milioni 320 Kwa Wajasiriamali Wanawake na Vijana

Benki ya CRDB imesaini mkataba wa makubaliano wa uwezeshaji wa Dola za Marekani Milioni 320 na Shirika la Kimataifa la...

READ MORE

Wananchi 18,674 Kunufaika na Mradi wa Maji Igawa Malinyi

Wananchi 18,674 kutoka vijiji vitatu vya Igawa, Ligala na Kiwale katika Kata ya Igawa wilayani Malinyi mkoani Morogoro wanatarajiwa kuondokana...

READ MORE

Waziri Lukuvi ‘Serikali Kujenga Kituo cha Afya, Ilolo Mpya’

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani amesema Serikali kupitia Mfuko...

READ MORE

Israeli Yadai Kumuua Kiongozi Mwingine wa Hezbollah, Nabil Kaouk

Jeshi la Israeli kupitia ukurasa wake kwene mtandao wa kijamii wa X (Twitter), limesema kwamba limemuua kiongozi mwingine mkuu wa...

READ MORE

Polisi Moro Yamsaka Dereva wa Gari la Taka iliyosababisha Watu Wawili Kufariki

Watu wawili wamepoteza maisha na wawili kujeruhiwa vibaya baada ya gari la kubeba taka aina ya Isuzu Tiper lenye namba...

READ MORE

Ndege Ya Waziri Mkuu Wa Israel Yanusurika Kutunguliwa Na Waasi Wa Houthi – Video

Waasi wa Houthi wamedai kwamba walirusha kombora la masafa marefu kutoka Yemen kuelekea Uwanja wa Ndege wa Tel Aviv wakati...

READ MORE

Balaa MC Alivyokiwasha Muziki wa Singeli Kwenye Tamasha la Mashindano ya Mapishi

Staa wa muziki wa singeli, Hussein Mashaka almaarufu Balaa MC, jana alifanya shoo ya aina yake kwenye Tamasha la Chakula...

READ MORE

Hezbollah yathibitisha kifo cha kiongozi wake Nasrallah

Kundi la Hezbollah nchini Lebanon limethibitisha kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah aliyeuliwa kutokana na shambulio la bomu lililofanywa na jeshi...

READ MORE

Tukajiandikishe Kwenye Daftari la Mkazi Ili Tupige Kura, Lindi

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Lindi kujitokeza kwa wingi kushiriki...

READ MORE

Wananchi Watakiwa Kuwa Mabalozi Kwenye Mapambano Dhidi Ya Ajali Za Barabarani

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Daniel Sillo amewataka wananchi wote bila kujali jinsia kujitolea kwa kuwa mabalozi...

READ MORE

Waziri Kikwete Alivyozindua Tamasha la Kuwachangia Wenye Changamoto ya Afya ya Akili

Dar es Salaam, 29 Septemba 2024: Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amezindua  Tamasha la  Exim...

READ MORE

Ni Mahaba Makubwa! Maelfu ya Wananchi Walivyojitokeza Kumsikiliza Rais Dkt. Samia, Songea

Maelfu ya wananchi kutoka mkoa wa Ruvuma na maeneo yake wametokelezea kwa wingi, wakiwa na hamasa na furaha tele, kumshuhudia...

READ MORE

Waziri Mkuu Autubia Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79) New York, Marekani

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79) New York nchini...

READ MORE

SBL Washirikiana na Chuo cha Taifa Utalii Kuboresha Ujuzi wa Ukarimu Kwa Vijana wa Kitanzania

Dar es Salaam, 30 Septemba 2024 – Leo, zaidi ya wanafunzi 100 wa ukarimu watanufaika na fursa za mafunzo zilizoboreshwa...

READ MORE

Waendesha Baiskeli Wamuaga Mama Maria Nyerere Wakianza Safari ya Butiama Kesho

Waendesha baskeli zaidi ya 10 kesho asubuhi wakiwa wanatarajia kuanza safari ya kuelekea Butiama katika kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu...

READ MORE

Askari wa KVZ Aliyedaiwa Kupotea Apatikana Akiwa Amefariki

Jeshi la Polisi Mkoa wa Unguja, limeeleza kuwa mwili wa askari wa jeshi hilo, SGT Haji Machano aliyekuwa amepotea tangu...

READ MORE

GANZI ya Maumivu Kwenye Upendo kuwafikia wakazi wa Njombe, Iringa

BAADA ya kuingia mtaani kikianzia Dar na vitongoji vyake kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo sasa kuwafikia wakazi wa...

READ MORE

Rais Samia: Chama cha Mapinduzi Kimeleta Mabadiliko Makubwa Ndani ya Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan leo Septemba 28, 2024 ameongea na Baraza Kuu la...

READ MORE

Wami Ruvu Wakamilisha Ujenzi wa Birika la Kunyweshea Mifugo

Bodi ya Maji ya Bonde la Wami Ruvu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamefanikisha ujenzi wa mradi wa kunyweshea mifugo...

READ MORE

Kiongozi Wa Kundi La Kigaidi La Hezbollah, Hassan Nasrallah Ameuawa

Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha kuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Hezbollah, Hassan Nasrallah ameuawa katika shambulio...

READ MORE